Dawa ya kienyeji ya mtoto mchanga mwenye mafua

Show Game

JF-Expert Member
Nov 7, 2023
318
1,084
Hii ni dawa ya Asili(dawa ya kienyeji)

Mtoto mchanga kama ana mafua au amevuta maji wakati wa kujifungua hivyo akashindwa kupumua.

Fanya kitu kimoja:

Tafuta kondoo, mshikilie huyo kisha mpandishe mtoto huyo ukiwa umemshikilia mtoto

Kisha mtembeze huyo kondoo kidogo tu huku umeshikilia mtoto akiwa mgongoni mwake

kisha mshushe mtoto acha kondoo aondoke

Baada ya wiki utaona mafua yamepona na hayatokaa yamrudie (mafua yasiyopona)
 
Kawaida ya mafua ni siku 3, yanatakiwa yaondoke yenyewe.
 
Na ukilala.katakata vitunguu maji usiku weka kwenye sahan anapolalaa weka karibu yake akiamka asubui inshaalah atakua vizur
 
Acha kufundisha watu uchawi, alafu ukimaliza hapo mtoto mshampa uchawi...
 
Acha kufundisha watu uchawi, alafu ukimaliza hapo mtoto mshampa uchawi...
Hujawahi ambiwa ukiamka kabla hujaongea na mtu chekea kinu? Kwa wale waliokwisha pata ile kimtoto cha jicho sijui nn
Ile unakuta jichoni pamevimba flan hivi

Mara kwikwi inatulizwa na nyuzi, unachukua uzi kutoka ktk nguo yako unauwekea mate kisha unaweka kwa paji la uso aka komwe
 
Back
Top Bottom