Radio Free Africa na waganga wa kienyeji

TURIAN

Senior Member
Apr 22, 2014
162
225
Radio free Africa naona sasa imeshapoteza credibility yake kitambo.

Sasa hivi imejaa vipindi vya waganga wa kienyeji tu.

Sasa hivi nasikia mtu anajiita chief Magema anajitangaza kuwasaidia watu na kutaja namba zake za simu, kama sio utapeli huu ni nini!!?

Hapa RFA mnaelimisha nini zaidi ya kuwapa nafasi hawa kuwatapeli watu zaidi
 
Sasa hivi nasikia mtu anajiita chief magema anajitangaza kuwasaidia watu na kutaja namba zake za simu, kama sio utapeli huu ni nini!!?
Hapa RFA mnaelimisha nini zaidi ya kuwapa nafasi hawa kuwatapeli watu zaidi
 
Daaaaaaaaa Redio free Africa ,kwel Kila kitabu na zama zakee.
 
Siku hizi kuna waganga wa kienyeji, mpaka wanenao kwa lugha.Promotion kila kona
 
Zimekua kama Radio za Dini za Mbeya. Katikati ya wimbo wa dini wanaweka tangazo la mganga flani 😂😂
 
Radio free Africa naona sasa imeshapoteza credibility yake kitambo.

Sasa hivi imejaa vipindi vya waganga wa kienyeji tu.

Sasa hivi nasikia mtu anajiita chief Magema anajitangaza kuwasaidia watu na kutaja namba zake za simu, kama sio utapeli huu ni nini!!?

Hapa RFA mnaelimisha nini zaidi ya kuwapa nafasi hawa kuwatapeli watu zaidi
GeorDavie hajafika huko kutangaza kufufua misukule ya waumini wake?
 
Radio free Africa naona sasa imeshapoteza credibility yake kitambo.

Sasa hivi imejaa vipindi vya waganga wa kienyeji tu.

Sasa hivi nasikia mtu anajiita chief Magema anajitangaza kuwasaidia watu na kutaja namba zake za simu, kama sio utapeli huu ni nini!!?

Hapa RFA mnaelimisha nini zaidi ya kuwapa nafasi hawa kuwatapeli watu zaidi

Tafuta pesa mkuu!!
Hata wewe unaweza kupeleka tangazo lako la kuuza mkaa hapo RFA na ukatangaziwa vizuri tu!!!
 
Radio free Africa naona sasa imeshapoteza credibility yake kitambo.

Sasa hivi imejaa vipindi vya waganga wa kienyeji tu.

Sasa hivi nasikia mtu anajiita chief Magema anajitangaza kuwasaidia watu na kutaja namba zake za simu, kama sio utapeli huu ni nini!!?

Hapa RFA mnaelimisha nini zaidi ya kuwapa nafasi hawa kuwatapeli watu zaidi
Zingatia maokoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli siku hizi redio nyingi sana zinahangaika na matangazo ya waganga wa kienyeji na kuwapa air time ya kutosha. Ila kinachokera ni kwamba 90% ya hao waganga ni maTP.
 
Back
Top Bottom