Usipende kwenda kwa waganga wa kienyeji

Ukiwa na shida usiende kwa waganga wa dunia, muite mfalme wa amani anajibu maombi.
Kwa kuongezea, Shetani anaomba kibali kwa Mungu ili amjaribu mwanadamu.

Na Mungu anapotoa kibali maana yake anaamini jaribu hilo wewe unaliweza.

Sasa unapoanza kwenda kwa njia ambazo ni za Miungu ya dunia hii unakuwa unamtia aibu Mungu wa Mbinguni.

Someni manano ya mwanzo ya kitabu cha Ayubu mtaelewa nimachosema.
 
Ya kwamba unachepuka si ndivyo...?
 
Back
Top Bottom