Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 570
- 1,229
Habari wanjf.
Jamani nmeexperience baadhi ya Askari wa Jeshi fulani wakistaafu wanakua na Maisha fulani tofauti kabisa na vile walivyokuwa katika utumishi. Maana ni wazi kuwa serikali yetu inajari Sana Askari wake.
Sasa je Nini kinawafanya waishie kwenye pombe na ulinzi baada ya kustaafu. Inakuwa na akili zao zimechoka na kazi ngumu?
Wengi utaskia wakijisifia baada ya kulewa nilvyokuwa jeshini, sikuwa na masihara.Hili likoje na Nini kinawakuta kwa wastaafu. Karibu kwa mjadala.