Asanteni kwa Kumbakiza kwa Mganga wa Kienyeji Tanga Mchezaji Aubin Kramo tokea Fainali ya Community Shield na kurejea Dar Juzi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,638
109,004
Na hapa GENTAMYCINE nawaonya wazi kuwa acheni kudhani kuwa Winga Machachari Aubin Kramo karogwa na Yanga SC ila ukweli ni kwamba Karogwa na Mchezaji Mmoja maarufu wa Simba SC kipenzi cha Kocha ila asiyeaminika na Mashabiki.

Niliwaonyeni sana hapa JamiiForums kuwa hakikisheni kabla ya Ligi Kuu ya NBC kuanza itisheni Kikao na Wachezaji (hasa Wazawa ) na muwaambie Waache Kuwaroga Wachezaji Wageni kwani Wanaigharimu Timu mkaniona GENTAMYCINE kana HAMNAZO vile wakati ukweli ni kwamba 75% ya Wachezaji Waandamizi ( Wazawa ) wa Simba, Yanga na Azam ni Wana ( Marafiki ) zangu kabisa na huwa wananipa za ndani na za Motomoto nyingi tu.

Msisahau pia kumwambia huyo Kiongozi wenu wa Wachezaji wawapo Uwanjani aache Kutuumizia Kiushirikina Mshambuliaji Mgeni Onana kwani hata akina Phiri na Baleke wameshamlalamikia sana.

Na mwambieni huyo Beki wenu Msukuma kuwa Henock Inonga kaenda Kwao Congo DR ( Makao Makuu ya kila aina ya Uchawi ) hivyo aanze kujiandaa kwani kwa niwajuvyo Wakongo huyo Aliyemroga atajuta.

Na mwisho Waambieni hao Wachezaji Wawili ( wa zamani na waliokuwa Manahodha ) wa Simba SC Mmoja akiwa ni Kiungo na Mwingine akiwa ni Mshambuliaji ( ambaye anasifika sana kwa Kupiga Chabo ) na Wenzake hadi kupachikwa Jina la Utani la COMMANDO waache mara moja tabia zao za Kuwachukua Wachezaji Wazawa wa Simba, Yanga na Azam kisha wanawapeleka kwa Waganga wao Kienyeji na Wao kupata cha Juu chao ( 10% ) yao.

Na nyie wana Yanga SC nifikishieni GENTAMYCINE Salamu zangu kwa Dogo ( Winga wenu ) Denis Nkane kwa kumwambia kuwa Skudu Makudubela amesharejea kutoka Kwao Afrika Kusini.

Ila na Wewe Mdogo wangu Clement Mzize kuwa na Huruma za Mwenzako Crispin Ngushi kwani anakushinda kwa Vitu vingi ila huwa unaonekana Wewe na Yeye Kuingizwa Sub na Kutolewa tena Sub Kitu ambacho si Kitu cha Kawaida katika Mpira wa Miguu.

Shukran nyingi sana Kocha Mzawa wa Mpira mwingi Simba SC (sasa una Majukumu mengine) kwa kubakia Mahaba Region na Mchezaji Aubin Kramo tokea kumalizika kwa Fainali ya Community Shield ili apikwe vyema Kindumba (Kiushirikina) na amerudi nae Dar es Salaam Juzi na ni Imani yangu kabisa kuwa Safari hii lile tatizo lake la Kuvimba Goti lake la Mguu wake wa Kulia na Kende kila Kocha akimpanga Kuanza Kikosini litamalizika rasmi.

Feisal Salum una taarifa zozote za Mpira Mwingi wa Stephane Aziz K kurejea na sasa Kuupiga Mwingi kama Kazaliwa upya tofauri na pale ulipokuwa nae Kikosini akiwa muda wote anafunga Bandage Gotini huku Ukionekana na Kung'ara Wewe tu kwa Kocha/ Makocha wa Yanga SC.

Haya wale mnaopenda Kuiba hizi Taarifa zangu hapa JamiiForums na Kujifanya ni zenu hasa mkiziwela katika Blogs na Social Media zenu na Wengine kuziongelea Redioni Vipindini nawaomba mkizichukua / mkizitumia semeni kuwa mmezitoa Kwangu GENTAMYCINE na Kuutaja pia na huu Mtandao wangu pendwa wa JamiiForums kwani kwa Taarifa za Ndani (hasa za Simba na Yanga) huwezi Kuzisikia kokote bali ni Kwangu tu GENTAMYCINE wa hapa JamiiForums.

Kibabage muonee Huruma Lomalisa.
 
Asante ila Haters wangu Watakuchukia kwa huku Kunikomgole / Kunisifia Kwako kwani Furaha yao Kubwa ni kuona Mimi Natukanwa na Nachukiwa na Wengi hapa JamiiForums.
Hakuna anayekuchukia wala kukutukana humu wewe lofa ila wewe ndio huwa unawaprovoke watu bila sababu. Nimekuuliza tu, je kuna prove yoyote katika hiki usemao au unachafua watu tu. We ukanitukana. Unagongwa na vibwengo wewe sio bure.
 
Huu upuuzi na upumbavu wa kukashifu watu hausaidii kitu ila huwa unaandika pumba sana we kilaza na huna justifucation ya hivyo uandikavyo so ukiulizwa unakashfu. Pumbavu kabisa wewe.
Rubbish and Nonsensical.
 
Hakuna anayekuchukia wala kukutukana humu wewe lofa ila wewe ndio huwa unawaprovoke watu bila sababu. Nimekuuliza tu, je kuna prove yoyote katika hiki usemao au unachafua watu tu. We ukanitukana. Unagongwa na vibwengo wewe sio bure.
Rubbish and Nonsensical.
 
Back
Top Bottom