kazini

  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kazini muda leo

    Baraka na Neema za Mwenyezi Mungu zikaonekane katika kazi na majukumu yako yote ya leo. Mwenyezi Mungu akubariki na akusimamie. Nakutakia kazi na majukumu mema rafiki. Amen 🙏
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

    Mwalimu Kalokola, huku akishushia kangala la mkopo akiwa na kishikwambi kapwani. Mwalimu huyu anasema walimu wana maisha magumu sana. Mshahara ukichelewa kidogo tu na mikopo inaongezeka. Walimu wengi walitarajia mishahara kutoka Jumamosi tar 21 lakini haijatoka. Huenda ikatoka kesho tar 23...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kurejeshwa kazini with check number

    Habarini wadau, Mimi ni mdau nilie kwenye utaratibu wa kurejeshwa kazini. Nina barua yenye check namba..... inanitaka niombe kazi nionapo tangazo limetangazwa ili niweze kurejeshwa upya kwenye mfumo HCMS na kuweza kupangiwa kituo cha kazi. Swali je nikiomba tu psrs au mamlaka yoyote ya ajira...
  4. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Serikali toa tamko kuhusu Balozi Nchimbi kutenguliwa kisha kurudishwa kisiri siri kazini bila umma kutangaziwa

    Serikali itoe taarifa kwa umma kama utenguzi wa Balozi wa Tanzania nchini Misri ulifutwa ama laa. Tarehe 15 August 2023 Rais Samia alifanya mabadiliko ya vituo vya kazi na utenguzi wa mabalozi na kumrejesha nyumbani Balozi wa Misri Nchini Tanzania Ndugu Emmanuel Nchimbi, na nafasi yake...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kurejeshwa kazini

    Wadau, nilipost habar ya kureshwa kazini kipindi cha nyuma. Kwa Sasa nimepata maelezo ya kunisisitizia nionapo tangazo niombe, Sasa nashindwa kuelewa sijui nimefanyiwa kiini macho au laa; kwa sababu ajira kutangazwa lazima kuwe na interview na mimi wananiambia niombe tangazo nilionapo. Tufanye...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Serikali yatumia Sh27.83 bilioni kulipa fidia ajali, magonjwa kazini

    Katibu Mkuu,Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi,Vijana,Ajira na Wenye ulemavu,Mhandisi Cyprian Luhemeja,amesema gharama za fidia zimeongezeka kutoka Sh13.19 bilioni kwa kipindi kilichoishia Juni 2021 hadi kufikia Sh27.93 bilioni kwa kipindi kilichoishia Juni 2023 huku taarifa ya baadhi ya mifuko ya...
  7. vnn

    JamiiForums Tanzania Mwajiri anapokataa kukuthibitisha kazini bila sababu ya msingi nini kifanyike?

    .
  8. O

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza waliofanya oral interview community Development kama wameitwa kazini tayari

    Habarini, Naomba kuuliza waliofanya oral interview ya community development Ile ya watu 800 kama tayari wameitwa kazini, kama Bado wadau kama Kuna mtu anayejua lini wataita atujuze. Asante
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kama huu mkataba (IGA) ulikuwepo zaidi ya mwaka, HGA pia ipo zaidi ya mwaka sasa, kinachofanyika ni maandalizi muafaka ili uanze HGA iingie kazini!

    Kuna hoja dhaifu kuwa kwa kuwa IGA katika mkataba wa bandari una matatizo, basi tuje tuwe macho kwenye maandalizi ya HGA ili yale madhaifu ya kwenye IGA yarekebishwe na HGA. Kwanza kwa faida ya baadhi yetu ni kwamba HGA (Host Government Agreement) ni makubaliano ya msingi kati ya mwekezaji wa...
  10. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kuitwa kazini Utumishi

  11. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Epuka hizi tabia kazini la sivyo wenzako wanaweza kujaribu kukuharibia; ukizifanya hakikisha una kinga

    Ukizifanya hakikisha una kinga aidha ya Muumba, Ndumba, Bosi, n.k. Vitu vinavyoweza kufanya wengine kutaka kukuharibia Over archievement: Yani unakuwa ni kama toleo la mtu mzima la mwanafunzi yule anaependa kumkumbusha mwalimu kutoa homework, huko kazini ukiwa mchapakazi sana kuzidi wengine...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Consession na lease agreements zinapoandaliwa muda huu, watendaji serikalini wakumbuke maana ya usiri kazini (confidentiality)

    Kosa la kuruhusu mkataba kuvuja na wasiotakiwa kuuona limeshafanyika na gharama ya kujitetea zimekuwa kubwa kwa upande wa serikalini. Mijadala imekuwa ni mingi kutoka kwa watu wa kada mbalimbali juu ya masuala ya kisheria. Nani alivujisha siri za serikali? Wahusika wanajuana na wameshaiona...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Elon Musk atangaza kuwasadia waliofanyiwa mabaya kazini kwa kushiriki mijadala ya Twitter

    Mmiliki wa X, ambayo awali ilijulikana kama twitter, ametangaza kuwasaidia watumishi waliotendewa vibaya kazini kwa kushiriki kwao mijadala katika mtandao huo. Elon, amewataka watumiaji wa mtandao wake wamwambie mistreatment kutoka kwa waajiri wao walizozipata baada ya ku-like au kupost kitu...
  14. MDAU TZ

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa Kisheria Kanuni za kazi

    Habari wapendwa? Tafadhali naomba ufafanuzi wenu juu ya hili Je, nini maana ya Part time worker? Na sheria ya kazi imetafsiri vipi juu ya Part time? Na je, Huyu Part time worker ni lazima akatwe pesa kwa ajili ya mifuko ya akiba ya kijamii?
  15. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Nimeota nimeokota 10,000 leo mwajiri kanitimua kazini

    UJUMBE KUTOKA KWA BINAMU YANGU. Siku mbili tatu hizi, nilibahatika kupata kazi, kazi ya kusimamia apartments, kuangalia usafi, garden, luku, maji na vitu kama hivyo. Usiku uliopita nimeota ndoto nimeokota 10,000. Leo boss kanipigia asubuhi kwamba jana alikuwepo apartments, na bahati mbaya...
  16. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Husda za kazini mbaya sana

    He'll Kazini husada nyingi watu mtatua bure kisa wivu ni Mungu tu ndio anatupigania wengine hatujui kuroga kama ninyi ila Mungu tu ndio katuonea huruma Kwanini nimesema hivi nnapo fanya kazi kuna vitengo vingi lakini kwenye iki kitengo mara nyingi ikitokea safari ya mkoan yaani kutoka nje ya...
  17. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Economic Hit Men wako kazini, rushwa kwa wanasiasa zinaifunganisha nchi kuibiwa pakubwa!

    Sasa ni dhahiri, kuna International Economic Hit Men wako kazini. Nyenzo yao kubwa ni rushwa ya kuifungamanisha nchi na wao , ili wazichote fedha bila kazi, bila jasho na kwa raha mustarehe. Hili linaonekana hasa za kwetu nchi masikini, na inaelekea watazichota fedha nyingi sana kiulaini...
  18. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji kazini: Kuboresha Utawala Bora kwa maendeleo endelevu

    Utangulizi: Katika kuimarisha uwajibikaji na utawala bora katika sekta yoyote, mabadiliko madhubuti yanahitajika. Makala hii inaelezea jinsi mambo manne yanayohusiana yanavyoweza kuchochea mabadiliko hayo na kuleta maendeleo endelevu. Andiko hili limeandikwa kwa maneno hayazidi 100. Sehemu ya...
  19. benzemah

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa tamko kulaani kushambuliwa waandishi wa Mwananchi wakiwa kazini

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa sana na kinalaani vikali tukio la kushambuliwana, kujeruhiwa na kuporwa mali Wanahabari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), lililotokea Julai 22, 2023, maeneo ya Temeke, mkoani Dar es Salaam, wakati waandishi wa habari wa chombo hicho...
  20. Wichoka Son

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi mafunzo ya elimu kwa vitendo yanavyochochea uwajibikaji kwa wahitimu na wasomi kazini hapa nchini

    JINSI MAFUNZO YA ELIMU KWA VITENDO (FIELD/INTERNS) YANAVYOCHOCHEA UWAJIBIKAJI KWA WAHITIMU NA WASOMI WA ELIMU YA JUU KAZINI HAPA NCHINI. Nchini Tanzania kutokana na ongezeko la vyuo vikuu kumekuwapo pia na ongezeko kubwa la wahitimu wa elimu ya juu kitu kinachopelekea upungufu mkubwa wa ajira...
Back
Top Bottom