Huu wimbo mzuri sana kusikiliza. Tatizo ukija kwenye ujumbe ndio tatizo. Unapinga mahusiano. Tujiunge na Jux na Diamond kwenye upweke na ukapela tukanywe na tucheze juu ya meza.
Nawashauri wasanii wetu hawa wazuri kwamba watengeneze version nyingine ya huu wimbo kwa ajili ya kupalilia mapenzi...
Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Lumbira iliyopo Kata ya Luanda Wilaya ya Mbozi mkoani hapa, Jafari Mwashitete (16) amekutwa amefariki shuleni akidaiwa kujinyoga.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe ACP Theopista Mallya amethibitisha kutokea kwa tukio la kujinyonga kwa...
Habari ya uzima wakubwa kwa wadogo, natumaini uzima upo lakini wale ambao Wana shida ya Afya basi Mwenyezi Mungu awajalie uzima.
Naomba kuuliza kwa wale wenye uzoefu au walishapitia naomba Mnisaidie hapa.
Mfano mtu amemaliza Diploma then akapata kazi akaajiriwa, je anaweza soma Degree akiwa...
Kesi hiyo ya kikatiba imefunguliwa na Wakili wa kujitegemea, Humphrey S. Malenga katika Mahakama Kuu Masjala ya Dar es Salaam ikiwa ni siku chache tangu Rais Samia amuongeze muda Prof. Ibrahim Juma
Profesa Juma, ambaye alizaliwa Juni 15, 1958, amekuwa Jaji Mkuu wa Tanzania tangu Septemba 10...
Wizara ya Afya inapenda kuwataarifu waombaji wa ajira za kada za afya zilizotangazwa kwenye Tovuti ya Wizara ajira.moh.go.tz tarehe 21 Aprili, 2023 na kufungwa tarehe 04 Mei, 2023 kwamba taratibu za kuchambua maombi ya kazi zimekamilika.
Waombaji wote waliofaulu na ambao majina yao...
Tangu nilipokutana na Rostam Abdul Aziz (Mburushi wa Iran, mzaliwa wa Tabora) Jijini Telhaviv nchini Israel mwaka 2012 na kubaini kuwa ni wakala wa CIA katika Ukanda wa Afrika Mashariki nilianza kuogopa.
Mwanafunzi huyu wa CPA kutoka Cambridge University ana akili sana linapokuja suala la...
Habarini,
Nina barua yenye check namba, niliyoambiwa kwamba nionapo tangazo mamlaka yoyote ya ajira nchini ikiwemo sekretarieti ya ajira niombe ili niweze kupangiwa kituo kulingana na uhitaji uliopo.
Sasa kuona tangazo ni ishu ukiliona leo mpaka baada ya miezi au mwaka pia nafasi ni chache...
Video Dada wa kiafrika kakutana na waziri mkuu wa Netherland, anakwenda ofisini kwa mguu akitokea nyumbani kwake... Dada anashangaa anahema kwa mshangao akikumbuka Afrika huku😃 mpaka katibu tarafa ana king'ora
OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imewaita kazini walimu 13,130 kwa ajili ya kufundisha wanafunzi katika ngazi ya shule za msingi na sekondari.
Orodha ya Waombaji ajira iliyochapishwa leo Juni 5, 2023 katika kurasa 515 imehusisha walimu ambao pia wamesoma na kuhitimu...
Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Ndani imeeleza kuwa malipo hayo yalifanyika katika kipindi cha Julai 2022 hadi Mei 2023, kupitia mfuko wa Tuzo na Tozo wa Jeshi la Polisi.
Kati ya fedha hizo, Tsh. 948,335,400 zimelipwa kwa Askari 217 walioumia kazini na kiasi cha Tsh. 252,000,000...
Kitwala aliwahi kuwa mkuu wa Wilaya ya Mkoani Tabora, enzi zake alisimamisha kazi makumi ya watumishi na kuwafukuzisha kazi.
SSH akapita naye kama mwewe, akawa raia wa kawaida.
Kumbe chini ya kapeti akaomba awe Afisa sheria pale PSSSF, cheo Cha chini kabisa kutoka katika ukuu wa Wilaya. Hakika...
Kwenu wanasheria.
Mpwa wangu alikuwa chuo akisoma shahada ya pili!
Kwenye kile kipindi cha giza alitolewa kwenye ajira kwa kisingizio kwamba alikuwa nje ya kituo cha kazi na kwamba muajiri alikuwa hajui alipo.
Amejaribu kufuatilia lakini ngoma ngumu. Japo kuna wadau wanasema anaweza kurudi...
Huyu jamaa yangu natamani arudishwe kazini. Naona yeye bado wenzie wawili tayari. Serikali iwakumbuke hawa wenye vyeti fake wapewe ajira kwanza kuliko wale fresh from schools.
Hawa wenye vyeti fake mkumbuke wengi walishaanza kuwa na family. Please please wote warudishwe kazini.
Waziri wa Sweden akisubiri garimoshi (treni) kurejea Nyumbani mara baada ya kutoka kazini,
Amenunua Baga kama chakula chake cha Jioni.
Hili ni tabasamu lake la wastani mara baada ya kuombwa kuweka pozi kwa ajili ya kupiga picha,
Jina la raia huyu ni Elva Johansson.
Na kazi yake ni WAZIRI WA...
Hii nchi ina vituko kwa kweli.
Bodi ya Tanzania Forest Service Agency (TFS) iliundwa mwaka 2019 ambapo kipindi chake kilitakiwa kiishie mwaka 2021 ila cha kushangaza hadi sasa bodi hiyo ni mwaka 2023 ipo kazini.
Nimekubali Maza anaupiga mwingi.
Maslahi yangu: Mimi ni mwalimu kwa kusomea.
Nimefarijika na hatua zilizochukuliwa na uongozi wa JamiiForums kwa kuondoa/kufuta mada zote zinazowadhalilisha walimu na kada nzima ya ualimu na kuwapa adhabu stahiki wale wote waliokuwa vinara kwenye hilo.
Kuna mahali tuliyumba na tukakosea sana...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameliambia Bunge leo kuwa Fedha hizo zimelipwa kutoka katika Mifuko ya hifadhi ya Jamii ya NSSF na PSSSF ikiwa ni agizo la #RaisSamia kutaka wahusika walipwe stahiki zao.
Fedha hizo ni sehemu ya michango ya Wafanyakazi 14,516 walioondolewa kwa kukosa sifa baada ya...
Habari!
Nikiwa kwenye utumishi wa umma kwa miaka karibu 8 sasa nina experience ya kutosha kuhusu utumishi na maisha ya utumishi.
Kama mlinzi msomi mwenye shahada ya HRM nimefanya utafiti wa kutosha na kujiridhisha kuwa watumishi wa umma % kubwa wanakwenda kazini huku kichwani wamebeba mawazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.