kazini

  1. M

    JamiiForums Tanzania kamwe arejeshwa kazini

    Rais wa clabu ya yanga Eng. Hersi pamoja na makamu wake Arafat Haji wamefanikiwa kumrejesha kazini aliyekua msemaji wa yanga Ali Kamwe katika nafasi yake ya meneja habari na mawasiliano na kumsainisha mkataba mpya wa miaka miwili ndani ya klabu hiyo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kujua utaratibu wa Mtumishi wa Umma kujiunga na Vyama vya Wafanyakazi

    Naomba kujua utaratibu wa Mtumishi wa Umma kujiunga na vyama vya wafanyakazi. Ni halali mtumishi kuanza kukatwa mshahara wake bila idhini yake na kuchangia vyama vya wafanyakazi? Hatua gani zinaweza kuchukuliwa dhidi ya mtu au chama kilicbokata pesa ya Mtumishi bila idhini yake?
  3. Dr Salla

    JamiiForums Tanzania Kupandishwa Cheo Kazini baada ya kutokutwa na Jinai kwenye Utumishi wa Umma

    Wadau ninaomba kufahamishwa kuwa ni kifungu gani cha sheria katika Sheria ya Utumishi wa Umma ambacho kinatamka kwamba mtumishi wa umma aliyetuhumiwa kwa makosa ya jinai akikutwa hana hatia arejeshwe kazini na apewe stahiki zaje zote ikiwemo na kupandishwa cheo?
  4. S

    JamiiForums Tanzania TRC kuongeza treni kati ya Dar na Moro ni vizuri, hofu ni tabia ya Watanzania kutokuwa makini kazini kunakoweza kuleta treni kugongana!

    Nimeona utendaji wa kazi na watu kutoka nchi mbalimbali, na katika uchunguzi wangu nimegundua kwamba Watanzania wengi tuna tatizo kubwa sana la tabia ya uzembe kazini, inayosababishwa na uvivu, kutojali, kutokuwa makini, au kufanya kazi ikiwa tu tunasimamiwa na bosi. Hatujui kujituma kwa hiari...
  5. Kayera s

    JamiiForums Tanzania Viatu vya kanisani na mitoko na kazini

    0712163738
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Yule Jaji aliyetajwa kusapoti wahuni wanaoiba ardhi za watu bado yuko kazini?

    Naomba kujua kilichotokea baada ya Mheshimiwa Waziri wetu mpendwa wa Ardhi Jerry Silaa kusema kuna jaji anayeunga mkono wahuni kushinda kesi wanapoiba ardhi za watu. Je, mpaka sasa Tume ya Maadili mmemwita huyu mtu? Je, mpaka sasa bado yuko kazini na hamuoni madhara makubwa kama ataendelea na...
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu Biteko: Aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini

    "Siyo sawa, aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini," Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza katika Mkutano wa Kumi na Moja wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania uliofanyika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri Wilaya ya Moshi wanachelewa kutoa barua za kuthibitishwa kazini bila sababu za msingi na kinyume na utaratibu

    Halmashauri ya Wilaya Moshi kuna changamoto ya watumishi kucheleweshwa kupewa barua za kuthibitishwa kazini bila sababu yoyote ile angali utaratibu ni mtumishi akitimiza mwaka mmoja anapaswa kupewa barua. Lakini huku inaweza chukua hata miaka kuanzia miwili na muda mwingine watumishi hulazimika...
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Konda na dereva wa daladala kuwa wachafu na rafu kazini kwao

    Kuanzia sare zao za kazi yaani, shati na suruali. kwanza ni vichafu, lakini pia ni vichakavu na sielewagi vinachakaaga kwa kazi gani au kuvaliwa wapi zaidi ya humo humo kwenye daladala 🐒 Sawa, kazi ni kazi ilia angalau wawe wanaoga, wawe wanasafisha midomo, walau kunyoa ndevu na kua nadhifu...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mambo ya chama Kigamboni yanapelekea kufunga daraja kwa saa zima watu wasiende kazini

    Ile kauli mbiu ya kazi iendelee iko wapi! Daraja linafungwa zaidi ya saa kwa mambo ya chama watu wanachelewa makazini! Hivi tupo serious kweli hii nchi? Wamekosa maeneo mengine ya kuwangia hadi wafanyie shughuli darajani? Wangetangaza mapema kama ilikuwa lazima iwe hivyo!
  11. RUKUKU BOY

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kufanya interview vibaya lakini bado ukaitwa kazini

    Haya maisha bwana. Mwaka 2019, nilifanya interview na shirika Moja la waingereza, aisee interview ilikuwa kali hatari, nilikuwa natoa jibu linalonijia kichwani. Cha kushangaza baada ya wiki Moja nikaitwa kazini. Je, ushawahi kufanya interview na ukaona umeifanya vibaya lakini ukaitwa kazini...
  12. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Wanaotoka kazini wanapitia Bar inawahusu

    Zamani nilikuwa ninawashangaa sana na kukemea tabia za baadhi ya wanaume ambao wakitoka kazini hawaendi nyumbani wanapitia Bar kupoteza muda ili masaa yasogee. Sasahivi nimegundua kumbe wanakuwa wanaepuka domokaya na maneno ya wakezao, mtazamo wangu juu yao umebadilika. Naomba msamaha kwa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Polisi Mtwara acheni tamaa mnatukwamisha, sisi pia tupo kazini na tuna familia

    Inasikitisha sana siku hizi polisi kama nchi ni ya kwao kabisa.! As if Serikali imeshawapa ruhusa ya wanachokifanya. Mikoa mingine sijui, hapa Mtwara Kilimanjaro kuna hawa polisi wanatoza tu hela kwa wenye magari hata kama huna kosa sijui tuwaite watoza ushuru au polisi maana mauza uza uza tu...
  14. SteveJr99

    JamiiForums Tanzania Mume kumsaidia mke kazi nyumbani siku ambayo haendi kazini ni wajibu au hiari?

    Tunajua wanaume ni viongozi na vichwa katika familia zetu na majukumu ya mwanamume na mwanamke huwa yanafahamika vizuri tu ndani ya nyumba. Sasa ni kwanini siku ambayo mwanamume akipumzika nyumbani yaani haendi kazini mwanamke analazimisha kwamba umsaidie kazi na usipofanya ananuna hii...
  15. Teslarati

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Tukutane hapa wale wazee wa kunyakua pisi mpya mpya zikitua tu maeneo iwe kazini, bar au mtaani. Mbinu, uzoefu, changamoto na tahadhali.

    Jay z anakwambia "Let's just stay in the moment. Smoke some weed, drink some wine. Reminisce, talk some shit, forever young is in your mind" Leo mabaharia wale wazee wa kutabaruku pisi mpya mpya tukutane hapa. Hii inawahusu wale wanaume ambao sisi ili kujiona kwamba ndio wafalme wa zizi/kundi...
  16. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Njia za kutumia ukiwa hujisikii kufanya kazi kazini

    Saa zingine unaenda kazini ila hujisikii kufanya kazi, hizi ni baadhi ya njia ambazo unaweza tumia ili kupata wasaha kidogo usukume siku iende ujafanya kitu. Unawaza jitafakari, kutumia muda wako kujua kwanini hujisijii kufanya kazi siku hio, Umechoka? unamsongo wa mawazo? kuna mazingira ya...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kazini kwa Ahmed Ally kuna kazi.

    Mpira hauchezwi kwenye mwendokasi. Unakaribisha sonona kama usipopata matokeo https://www.youtube.com/watch?v=q5XPwqG7Y-4
  18. Daydream

    JamiiForums Tanzania Kama unaamini kazini kwako una marafiki subiri uachishwe kazi

    Watu wengi wana tabia ya kudharau watu wa mtaani kwake au marafiki zake aliokua nao mara tu baada ya kupata ajira na kupata marafiki wapya wakiamini hao marafiki wapya ni bora kuliko wazamani. Ukitaka kuamini kwamba kazini una marafiki bora au la subiri siku uachishwe kazi (Termination) ndo...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwa haya niliyoyaona kazini, nakushauri mwambie mke wako akae nyumbani alee watoto

    Hello! Mzee wa kulipua nimekuja kuwalipua tena asubuhi hii. Si kwa ubaya lakini. Watoto wanaolelewa na maza 24/7 ni watoto bomba sana kuliko watoto wanaoshinda na dada wa kazi kutwa kutwa. Turudi kwenye mada. Kati ya wadada around 15 kazini kwetu bosi aliowaacha salama ni wale ambao hata kwa...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baada ya Rais kuangukia pua Mahakamani huyu DC atarejeshwa Kazini ?

    Hapa sasa ndio tutaelewa kama Mahakama ina nguvu kweli au ni porojo tu .
Back
Top Bottom