kazini

  1. M

    JamiiForums Tanzania Muda wa kutoka kazini kuwa saa tisa na nusu umepitwa na wakati

    Ni sheria zipi zinazosimamia saa kwa mujibu wa Sheria ya Ajira na Mahusiano ya Kazi ya mwaka 2004, muda wa kazi Tanzania ni masaa nane na Kiwango cha juu cha muda wa kufanya kazi kwa siku kilichoelezwa na sheria ni masaa tisa (9) kwa siku. Pamoja na kutamkwa na sheria kuna kazi na ajira...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kuitwa Kazini kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 23-11-2022 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya...
  3. winnerian

    JamiiForums Tanzania Ipo sheria inayomnyima haki mtumishi wa umma kumiliki kampuni na biashara inayofanana na ile anayoitumikia?

    Kama ipo sheria inayomnyima haki mtumishi wa umma kumiliki kampuni na biashara inayofanana na ile anayoitumikia umma ifutwe mara moja. Katika ulimwengu wa sasa huwezi kumnyima binadamu kujiendeleza kiuchumi kwasababu tu ya mgongano wa kimaslahi. Sheria zinazotakiwa kuwepo ni za kulinda mgongano...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Askofu wa KKKT Dkt. Alex Malasusa atangaza kumsamehe Mchungaji Kimaro

    Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama ameomba msamaha kwa Kanisa zima la KKKT, Maaskofu, Wachungaji na Waumini wote Askofu Malasusa amemtangazia msamaha Askofu awataka Waumini waache Ushabiki kwa sababu wanaligawa Kanisa na huo siyo Ukristo Tukio lilikuwa mubashara KKKT Kinyerezi Chanzo...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kutaka Daktari awepo kazini muda wowote unaomuhitaji ni uonevu, mkitaka hivyo ongezeni pesa ya overtime

    Kumbuka udaktari ni kazi kama kazi zingine. Mtu mpaka anakuwa daktari ametumia gharama zake kufika hapo, hakushushwa tu puuuh akawa daktari. Vilevile daktari kama wafanyakazi wengine wana muda wao wa kazi ambao kikawaida huwa ni masaa 8 baada ya hapo ana haki ya kufanya au kutofanya kazi mara...
  6. sammosses

    JamiiForums Tanzania Kumbe wasiojulikana bado wako kazini?

    Pamoja na utawala wa mwendazake kutamatika, bado mbinu chafu zinazoongeza hofu dhidi ya wnanchi na mali zao zinaendelea kwa kasi. Takribani wiki moja sasa imepita,siku ya Ijumaa iliyopita watu wasiojulikana wakiwa na gari nyeusi tinted, walimteka kijana mmoja mwendesha Toyo, maeneo ya kwa...
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mtu akawa wa kwanza kwenye usaili wa kuandika wa utumishi halafu asiitwe kazini

    Kama kichwa kinavyojieleza, Nina mpwa wangu naishi naye alifanya usaili utumishi kwa kada ya sheria. Katika mtihani wake alibahatika kupata 90/100 akaibuka wa kwanza kwenye mtihani wa kuandika. Lakini cha ajabu mpaka sasa hajaitwa kazini. Tumekua nawasiwasi labda alitudanganya. Hivi...
  8. amadala

    JamiiForums Tanzania Kulala kazini nchini Japan sio kosa

    Hello 🤗 #UNAAMBIWA: Nchini Japan kulala ofisini kwa saa kadhaa baada ya kupiga kazi bado kumeendelea kutokuwa ni kosa la kufukuzwa kazi au Boss kuchukizwa. Mfanyakazi anayelala ofisini kwa muda mfupi kidogo huonekana kuwa ni Mfanyakazi hodari na alama ya ushindi kwa Boss kwamba amefanya kazi...
  9. Kaji Bagome

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Magu S/Msingi: Biashara kazini saa za kazi kwa walimu

    JMT; Kazi iendelee. Nilishaandika mara kadhaa kuhusu udhaifu wa uongozi wa Shule ya Msingi Magu; nikiomba uongozi wa Elimu Msingi (W) urekebishe hali hiyo, lakini kila uchao inakuwa kama heri ya jana. Sasa hivi baadhi ya waalimu wanafanya biashara shuleni hapo (wao wenyewe), tena wakati wa...
  10. Broussard

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mtumishi wa Serikali kulipwa mafao Milioni 10 baada ya miaka 39 kazini?

    Habari wakuu, Naomba niende kwenye mada, kwa wenye uelewa na hili naomba kufahamu zaidi. Ni sahihi au kuna upigaji kwenye hili? Miaka 39 kazini Serikalini. Mafao hayazidi 10Million Mshahara aliostaafia Laki 6 (miaka 7) Kabla alikuwa akilipwa 250K-450K Asante
  11. Wababa13

    JamiiForums Tanzania Naweza kuomba uhamisho wa ndani ya Halmshauri bila ya kuthibitishwa kazini?

    Habari ya muda huu wadau na Heri ya Mwaka Mpya 2023 Samahani nauliza ivi Mtumishi wa Umma unaweza kuomba uhamisho wa ndani mfano toka Kijiji kimoja kwenda Kijiji kingine na huku bado haujathibitishwa kazini ndani ya Halmshauri iyo iyo unayofanyia kazi?
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mwanachama humu amenikumbusha nilivyomfanyia jamaa mmoja aliyekuwa anajiona kafika kazini

    Huyu jamaa alifika kazini akawa anajiona yeye ndo yeye. Kazi anaipenda sana kuliko sisi wengine. Basi ikawa kila mfano mzuri boss anamsema yeye. Kila jambo jema mfano yeye. Jamaa akaanza kupewa pewa safaris nyingi sana. Akawa anapewa bonus kila mara, yaani kiufupi jamaa alianza kupendeza. Akawa...
  13. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Songwe bado yuko kazini?

    Merhaba! Wakuu Kuna vitu kwenye hii nchi vinakera na kuchukiza sana na kuumiza inakuaje mkuu wa wilaya moja nchini ya songwe eti bado yuko kazini mpaka sasa japokuwa ana tuhuma nyingi mojawapo ni kufanya ukatili wa kijinsia kumpiga mwanamke au msichana na kumjeruhi still mpaka sasa yuko ofisini...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Kazini kwako unapata likizo mara ngapi kwa mwaka?

    Tunaenda kuufunga 2022, naona wadau wengi wanaenda likizo kipindi hiki. Hivi kazi yako inakuruhusu likizo mara ngapi kwa mwaka? Hii ni kwa walioajiriwa sasa maana najua waliojiajiri asilimia kubwa hawanaga likizo.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa hebu saidieni kuelewesha Watendaji maana ya mafunzo kwa vitendo (internship)

    Kumekuwa na unyanyasaji sana kwa watoto wetu wanaochukuliwa kwenye Ofisi za Serikali kwa ajili ya mafunzo ya kazi (internship programs). Ukienda sekata binafsi kuna nafuu kubwa sana sana hasa kwa waajiri wale wa uhakika. Vijana wanaochukuliwa Serikalini hata wanaotokea Taesa hawana chochote cha...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kusifiwa ni jambo la asili, iwe nyumbani, kazini au kwenye siasa, na watu wanapaswa kuelewa hilo

    Nikiwa shuleni kwa muda mref sana sikuweza kupata rafiki wa kike katika shule yetu ya mchanganyiko. Rafiki zangu wote walikuwa na girl friends. Siku moja rafiki yangu mmoja akaniambia, ukitaka msichana akupende msifie, hata kama unachomsifia sio kweli. Sasa nenda kajaribu hilo uone kama hutapata...
  17. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bunge la Kenya lapokea hoja ya kuwaondoa kazini Maafisa wa IEBC waliokataa ushindi wa Rais Ruto

    Bunge la Kitaifa limethibitisha kupokea mapingamizi 4 ya kuwafuta kazi Maafisa 4 wa Tume Huru ya Uchaguzi waliodai Matokeo ya Urais hayakuwa halali. Makamu Mwenyekiti wa Tume, Juliana Cherera, na Makamishna Francis Wanderi, Justus Nyang’aya na Irene Masit walipinga matokeo yaliyotangazwa na...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi ili afukuzwe kazi kwa sababu ya UTORO/KUTOKWEPO KAZINI, Inatakiwa Asiwepo Kazini Kwa Zaidi ya Siku Tano (5) za Kazi Bila Ruhusa

    MFANYAKAZI ili Afukuzwe Kazi Kwa Sababu ya UTORO/KUTOKWEPO KAZINI, Inatakiwa Asiwepo Kazini Kwa Zaidi ya Siku Tano (5) za Kazi Bila Ruhusu au Sababu ya Msingi. Inaletwa kwako na Nyagawa, J (Mwanasheria) Wazee wa Mahakama ya Rufani Wamekubali Kupitia (Review) Upya Maamuzi Yao, Watoto wa Mjini...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Polisi walilia Mishahara na Posho kazini

    Kutorekebishwa kwa mishahara hata baada ya kupandishwa cheo kwa askari wa Jeshi la Polisi, kumezua malalamiko kwamba hali hiyo inaathiri mafao yao wanapostaafu. Licha ya kilio hicho, kwa upande wa askari wa usalama barabarani wao wanalia kufutiwa posho ya pango la nyumba tangu Julai Mosi...
  20. BigTall

    JamiiForums Tanzania WHO, ILO: Hatua mpya zahitajika kukabiliana na matatizo ya afya ya akili kazini

    Machapisho mawili ambayo yote yanalenga ujumbe mmoja wa kushughulikia changamoto ya afya ya akili kazini ambayo ni muongozo mpya wa kimataifa wa WHO kuhusu afya ya akili na uwajibikaji kazini na tamko la pamoja la kisera la WHO na ILO, yanakadiria kwamba takriban siku bilioni 12 za kazi hupotea...
Back
Top Bottom