Mazee
Leo tarehe 7/2/2024 ndiyo ile siku nimekuja ofisini alafu kichwa hakina ushirikiano na mimi
Suluhisho:
Kwakua nimejiajiri, nakwenda lunch ndefu mpaka mpira wa Nigeria na South Africa uishe
Suluhisho hili weka mbali na watoto au wale wafanyakazi walioajiriwa
AWESO AELEKEZA MKANDARASI ENEO LA CHANZO CHA MAJI RUANGWA KURIPOTI KAZINI, ARIDHISHWA NA UJENZI WA TENKI
Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso ametembelea na Kukagua ujenzi wa Mradi wa Maji wa vijiji 34 vya wilaya ya Ruangwa na Vijiji 21 vya Wilaya ya Nachingwea kutoka Chanzo cha mto Nyangao.
Aidha...
Japo madaktari wote ni makasuku wanaomeza madesa ya shule na kuyakariri jinsi yalivyo, lakini mnyonge mnyongeni, nchi hii walikuwepo madaktari bwana!
Kuna madaktari ukiwaambia naumwa kichwa anakimbilia kukudunga chanjo ya FANSIDA, sijui ni kukariri ama ndivyo walivyofundishwa huko mashuleni...
Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Tumaini Nagu, ametoa agizo la kupiga marufuku matumizi ya simu na mazungumzo ya kibinafsi kwa watumishi wa afya wakati wa kazi katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini.
Agizo hilo limekuja baada ya ongezeko la malalamiko kutoka kwa wananchi kuhusu udumavu...
Pakistan imemuita nyumbani balozi wake alieko nchini Iran na pia imesema haitomruhusu balozi wa Iran alieko nchini Iran kwa likizo kutorudi Pakistan.
Uamuzi huo wa serikali ya Pakistani umetolewa baada ya jeshi la mapinduzi la Iran (IRG) kufanya mashambulizi ndani jimbo la Balochistan lililoko...
Wakuu, hii kitu nawaambia ni kweli kabisa.
Nimegundua baada ya kautafiti, kutokana na kukosekana kwa uaminifu hasa kwa wadada walivyo wepesi kutumiwa hasa makazini, kama kazaa na MTU utagundua kwa ufanano wa sura, tembeleeni maofic ya wake zenu au jengeni ushkaj na wanaofanya kaz nao...
Mke wangu ni mwalimu lakini hela yake anaona haistahili kutumika yote kwenye familia. Kule jeshini wakati tuko kwa mwaka mmoja kwa mujibu wa sheria baada ya kumaliza form 6 tulikuwa tukilipwa wote wake kwa wanaume sh, 300 (kichele) kila mwezi, lakini siku ya malipo wanawake wanaomba matumizi...
Shule ambazo mtoto anaenda asubuhi na anarudi jioni saa 11 ama saa 12 jioni sio nzuri kwa future ya mtoto.
Mtoto anapaswa atoke shuleni mapema. Ili awe na muda wa kujifunza skills za mtaani
Siku ya mtoto haipaswi kuishia kujifunza ya shuleni tu, anapaswa apate muda wa kujifunza...
Naandika hii mada nikiwa na uchungu moyoni.
Sasa hivi nina miezi kama 4 hivi natumia Daladala kwenda na kurudi kazini na mara chache, tena chache sana huwa natumia bodaboda kazini mpaka home, home mpaka kazini.
Kutoka Nyumbani mpaka kazini nikipanda bodaboda direct ni elfu 15. Go and return...
Habarini,
Yaani mtu kabla ya kuongea chochote, let's say kwenye group la Whatsapp, mtu anawaza mara tatu tatu ndiyo aongee, mtu anakua veeery careful kuhusu anachoongea.
Utakuta unaona changamoto fulani kwenye idara, iliodumu kwa muda mrefu kiasi, na kuna uwezeoano mkubwa ikiendelea itaenda...
Hello!
Kipindi naanza kazi kazini watu walisimama kupiga madili kwa kipindi cha mwaka mmoja hivi wakiusoma mchezo. Nilijua baadaye sana kuwa kulikuwa na madili yalikuwa yakifanyika lakini walisitisha wakihofia kuwa Mimi nimekuja kuwazoom. Kumbe Mimi nimeletwa na njaa zangu tu.
Baadaye Mzee...
Aliyekuwa CEO wa Kampuni ya Open AI ambayo imejikita katika masuala ya akili Bandia Bwana Sam Altman
Amekubaki kurudi Tena kuiongoza Kampuni hiyo baada ya kufukuzwa kazi siku chache zilizopita.
Ikumbukwe baada ya Sam Altman kufukuzwa kazi Kampuni hiyo imejikita ktk changamoto kubwa ikiwemo...
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombajikazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 26-11-2022 na tarehe 04-10-2023 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katikatangazo hili. Orodha ya majina haya...
Uzinduzi wa Zoezi la Usambazaji wa mfumo wa kutathmini na kuhakiki utendaji wa kazi wa Watumishi na Taasisi yaani PEPMIS/ PIPMIS NA HR Assessment limefanyika mapema tarehe 20 Novemba 2023 katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa, mjini Iringa.
Akizungumza wakati anazindua mpango huo wa usambazaji...
Msanii wa kizazi cha leo na kesho aliyetambulishwa recently na lebo namba moja Africa ya WCB Wasafi.
Kwa jina anaitwa D Voice aka Jini aka London Boy au Temeke Boy.
Huyu ndio future ya muziki wa bongo kwa ujumla. Ndio anaenda kuibeba mabegani industry ya muziki wa bongo ni suala la muda tu...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ameishauri Serikali kuwarejesha kazini Walimu wakuu wa Shule za Msingi zilizopo Tunduma Mkoani Songwe waliovuliwa vyeo baada ya kusambaa kwa video ikiwaonesha Wanafunzi wakicheza wimbo wa Msanii Zuchu uitwao ‘Honey’.
Spika...
Si kawaida kuwasagia kunguni wahandisi wanzangu, lakini hii tunayoiona kwenye picha sijui niite uzembe, uhujumu aukukosa uelewa kabisa juu ya masuala ya barabara.
Lakini kwa vyovyote kichofanyika pale Mapinga kuelekea kilima cha Kerege , ni uharibifu ambao unaiondoa barabara ya Dar-Bagamoyo...
Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema serikali itahakikisha inawalinda vijana kwenye soko la ajira kwa kuhakikisha ajira zao za kwanza kwenye utumishi zinazingatia vigezo vya utaalamu wa kada husika na sio uzoefu kazini.
Kikwete amesema hayo leo Jumatano Novemba...
Friends of Simba wamerudi kazini
TAJIRI na kipenzi cha mashabiki wa Simba, Mohammed Dewji ameteua wajumbe 21 wa Baraza la Ushauri ambao kati yao 13 ni kutoka kwenye kundi lenye nguvu la Friends of Simba.
Duru za ndani ya Simba zinasema kuwa uteuzi huo ambao vigogo saba waliwahi kuwa viongozi...
Ni kama rafiki japo naweza kumuita bro, ana miaka 40 na kitu ?
Binafsi hii ndio starehe yangu japo kwa sasa huwa ni stiki mbili ama tatu kwa wiki.
Sasa huyu bro sijui ni kipi kilichomshawishi atake kujaribu haya mambo umri ukiwa umeshaenda mithiri ya jua la saa kumi na moja.
Mara ya kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.