Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 1,709
- 5,699
Habarini,
Yaani mtu kabla ya kuongea chochote, let's say kwenye group la Whatsapp, mtu anawaza mara tatu tatu ndiyo aongee, mtu anakua veeery careful kuhusu anachoongea.
Utakuta unaona changamoto fulani kwenye idara, iliodumu kwa muda mrefu kiasi, na kuna uwezeoano mkubwa ikiendelea itaenda kuwa a bigger problem, na iyo changamoto inakuhusu na kuku-affect wewe, ukiifikisha kwenye group la whatsapp kwa namna ya adabu, heshima, ukweli na nia njema, superiors wako wanaku-crash na kukwambia you're disappointing, una utoto, ingetakiwa utuambie sisi kwanza, md akiona hiyo changamoto, atatuona wote tumeshindwa hio kazi, na anaweza akaamua tu kukufukuza, au wote hapa tukafukuzwa.
Sasa nashindwa kuelewa, bosi utamfukuzaje employee wako aliekuambia kwa heshima kwamba sehemu fulani ina changamoto moja, mbili, tatu?
Na mko group Moja la Whatsapp aliloanzisha MD mwenyewe, wakati wote mnafanya kazi pamoja for a mutual success of a company.
Au labda mimi ndo sielewi siasa za kazini, wenye uzoefu naomba mnijuze.