Naogopwa sana kazini, hata bosi wangu ananiogopa

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,716
36,186
Hello!

Kipindi naanza kazi kazini watu walisimama kupiga madili kwa kipindi cha mwaka mmoja hivi wakiusoma mchezo. Nilijua baadaye sana kuwa kulikuwa na madili yalikuwa yakifanyika lakini walisitisha wakihofia kuwa Mimi nimekuja kuwazoom. Kumbe Mimi nimeletwa na njaa zangu tu.

Baadaye Mzee mmoja mstaafu akaanza kufanya vidili vyake na kunifundisha kupiga vidili vidigovidogo . Wengine wote hakuna aliyethubutu kuniambia issue yoyote.

Kuna ule upigaji kwa mtindo wa posho za safari huku hujasafiri mabosi hutumia account za watumishi kupata pesa, account yangu haijawahi kupitishiwa hata sh. Mia za za issue.

Sijui ukimya ndio unawachanganya na kuhisi kuwa niko na mission nyingine niwapo kazini. Kuna makosa mengine ya jumla, unakuta wengine wanapewa warning letter lakini Mimi hata kuulizwa siulizwi.
Hata bosi ananiogopa ukimwangalia usoni.

Tabia ya umbea na kujipendekeza kwa viongozi sina.
 
Kwenye maisha ya kazi za kuajiriwa Epuka sana kujenga mazingira ya kuogopwa au kujiweka kwenye nafasi ya kuwa suspect wa kunusa ubadhirifu.
Utaishia kupauka na kukosa deals za pesa. Narudia, usijimwambafai au kujiweka kwenye sura hiyo utatengwa mwenye mipango yote ya pesa na safari za magumashi hutopewa wana wataogopa huenda ukafungua Codes.
 
Hello!
Kipindi naanza kazi kazini watu walisimama kupiga madili kwa kipindi cha mwaka mmoja hivi wakiusoma mchezo. Nilijua baadaye sana kuwa kulikuwa na madili yalikuwa yakifanyika lakini walisitisha wakihofia kuwa Mimi nimekuja kuwazoom. Kumbe Mimi nimeletwa na njaa zangu tu.
Baadaye Mzee mmoja mstaafu akaanza kufanya vidili vyake na kunifundisha kupiga vidili vidigovidogo . Wengine wote hakuna aliyethubutu kuniambia issue yoyote.
Kuna ule upigaji kwa mtindo wa posho za safari huku hujasafiri mabosi hutumia account za watumishi kupata pesa, account yangu haijawahi kupitishiwa hata sh. Mia za za issue.
Sijui ukimya ndio unawachanganya na kuhisi kuwa niko na mission nyingine niwapo kazini
Kuna makosa mengine ya jumla, unakuta wengine wanapewa warning letter lakini Mimi hata kuulizwa siulizwi.
Hata bosi ananiogopa ukimwangalia usoni.
Tabia ya umbea na kujipendekeza kwa viongozi sina.
Sasa ukishaogopwa ndio inakuwaje sasa hii ni bongo..

Alafu hakina aliyesitisha dealnkwa sabubu yako sema hupewi taarifa zzte wamekuacha na uzombi wako.
 
Hello!
Kipindi naanza kazi kazini watu walisimama kupiga madili kwa kipindi cha mwaka mmoja hivi wakiusoma mchezo. Nilijua baadaye sana kuwa kulikuwa na madili yalikuwa yakifanyika lakini walisitisha wakihofia kuwa Mimi nimekuja kuwazoom. Kumbe Mimi nimeletwa na njaa zangu tu.
Baadaye Mzee mmoja mstaafu akaanza kufanya vidili vyake na kunifundisha kupiga vidili vidigovidogo . Wengine wote hakuna aliyethubutu kuniambia issue yoyote.
Kuna ule upigaji kwa mtindo wa posho za safari huku hujasafiri mabosi hutumia account za watumishi kupata pesa, account yangu haijawahi kupitishiwa hata sh. Mia za za issue.
Sijui ukimya ndio unawachanganya na kuhisi kuwa niko na mission nyingine niwapo kazini
Kuna makosa mengine ya jumla, unakuta wengine wanapewa warning letter lakini Mimi hata kuulizwa siulizwi.
Hata bosi ananiogopa ukimwangalia usoni.
Tabia ya umbea na kujipendekeza kwa viongozi sina.
Wewe ni kama mimi yaani wameniheshimu hadi kunipatia kipaumbele kwenye masuala makubwa ila nikiwazoom nauona uoga machoni mwao 😅😅.

Basi mimi nikijiona jinsi nilivyo nacheka tu kimoyo moyo ila usoni nakaza.
 
Hizi ni tetesi tu ukitaka kuzithibitisha ziwe rasmi J3 wahi sana kazini halafu wakati bosi wako anaingia muulize mbele za wengine muulize kwa nguvu kwa kutumia jina lake.

"Kati ya wewe na watendaji unaowaongoza nani anatakiwa awe amefika ofisini mapema?"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom