kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. barafu

    JamiiForums Tanzania Kutana na Mabior Garang De Mabior, Waziri wa Maji wa Sudani Kusini, Waziri "msela" aliyefukuzwa kikaoni sababu ya mavazi

    Huyu bwana mdogo ni mtoto wa Garang,Juzi kati amefukuzwa kwenye kikao cha baraza la mawaziri la Sudan Kusini baada ya kuingia akiwa amevaa swag zisizo na hadhi ya Uwaziri.Rais akamtimua toka kwenye kikao,dogo alivyotoka nje akawambia waandishi kuwa "badala Rais azingatie ukosefu wa mafuta Sudan...
  2. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Marekani tena kazi ipo

    Taifa la Marekani limetoa taarifa ifuatayo, kumbuka kaimu balozi wa Marekani aliitwa Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa kimataifa kuhojiwa, one does not have to be a genius to understand this.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kama taarifa ya janga la korona haina umuhimu Tanzania kwanini vyombo vyetu vya habari viendelee kutoa taarifa za mataifa mengine?

    Baadhi ya vyombo vya habari kama ITV na UTV hapa nchini kila baada ya taarifa ya habari hutoa summary ya mwenendo wa maambukizi ya korona duniani. Je kuna faida au madhara gani kwa wananchi kusikia taarifa ya mwenendo wa Korona kwa mataifa ya nje tu bila kujua kinachoendelea nchini? Je...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hakuna namna tuwe wavumilivu tuchape kazi

    Nimetafakali sana hali ya maisha jinsi ilivyo. Nimepata jibu hapa ni kuchapa kazi tu. Kilimo,kuingia kwenye uvuvi,kuchimba madini na biashara. Maana kwa hii serikali ambayo imedhibiti wizi na rushwa huwezi kutoboa kwa shortcut.
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnaofanya Kazi katika 'Madawati ya Jinsia' msipokuwa makini na aina ya 'Maswali' yenu kwa Wanaume mtakuja 'Kupigwa' siku moja

    Viswali swali vya Kipuuzi kama hivi msivyovibadilisha Watu wengine kama akina GENTAMYCINE tusio na Uvumilivu mtakuja Kupigwa! 1. Mkeo umefanya naye Mapenzi lini? 2. Huwa una tabia ya Kumkuna hasa Mkeo? 3. Kwa kawaida Mkeo huwa unampiga Bao ngapi? 4. Mara yako ya mwisho Kumkatia Mkeo Viuno...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Google wataanza kufanyia kazi ofisini Julai 6

    Baadhi ya kampuni za teknolojia na habari zimewaambia watumishi wake kuwa wataendelea kufanyia kazi nyumbani muda wote, makampuni mengine yamepanga kuendelea na kazi katika ofisi zao hivi karibuni Moja kati ya kampuni litakalofungua ofisi zake ni Google. Mkurugenzi Mtendaji wa Google amesema...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kabla sijaacha kazi nilishiriki siasa na niliona makosa ya wazi kabisa!

    Katika nafasi yangu kuna wakati nilitakiwa kutoa taarifa mbalimbali ili kusifia ufanisi wa Serikali. Kuna wakati tulikuwa tunaona kabisa hamna ufanisi lakini tulipaswa kusifu tu. Kuna siku wakaguzi Wizara ya Fedha walikuja kukagua mradi ambao tulikuwa tunautekeleza kwa fedha zao. Katika mradi...
  8. OLS

    JamiiForums Tanzania Kosa la uzururaji bado lina mantiki kwa hali ya sasa?

    Wakati wa mkoloni watu wengi waliokosa kazi rasmi ‘formal employement’ walikuwa wakikamatwa kwa makosa ya uzurulaji. Swala hili lilifanyika kwa malengo ya kuwanufaisha wakoloni kwa muda mrefu sana. Pamoja na sababu nyingine zilizowekwa kuwa ni makosa ya Uzurulaji ilikuwa pia kwa sababu ya...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

    Kuna mda huwa tunafanya makosa mengi sana katika maisha tena mengine ya kujitakia kabisa ambayo ukiyakumbuka baadae unayajutia sana. Binafsi kama ningetumia mda vizuri ningekuwa mbali sana sana kimafanikio kuliko nilivo sasa. Kipindi namaliza O' level baada ya matokeo kutoka nikapangwa Moshi...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwanamke ajitokeza kuwania Urais kupitia CHADEMA. Ni Msomi, Mwanamke wa Shoka, Ana uwezo na Jembe Kweli, ila...

    Wanabodi, Baada ya kutulia kwa tishio ugonjwa wa Corona, sasa watu hawana uoga tena, hivyo sasa Vuguvugu la kugombea urais wa JMT uchaguzi Mkuu wa October, limeanza kupanda joto, kwa moto wa urais kuwashwa na mwanadada, msomi wa Ph.D, Dr. Mayrose Majinge, amekuwa ndie mwanamke wa kwanza...
  11. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama tusaidie: Ruzuku kazi yake kutibia Viongozi wa vyama? Mbowe rudisha milioni 400 za matibabu

    Kazi ya ruzuku Ni ipi? Kutibia Viongozi wa vyama au kuwalipia faini wakifanya uhalifu? Msajili wa vyama tusaidie.Mbowe alichukua pesa za ruzuku milioni 400 kea kile kinachoitwa kumtibia Lisu.Wateuana kikundi Cha wezi watatu Mbowe,Godbless Lema na Msigwa wakaa muda mrefu Sana Nairobi wakilipwa...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tukianza utaratibu wa kulipa wafanya kazi kwa masaa inawezekana?

    Utaratibu wa kulipana kwa masaa mfano kwenye mgahawa wangu, wasaidizi ninawalipa sh 500 kwa saa. Wanatakiwa kufanya kazi kwa masaa kumi. Saa moja la mapumziko halipwi lakini chakula ni bure. Asipokuja kazini halipwi na kila shift anayofanya kazi ana lisaa limoja la mapumziko ya kulipia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaidizi wa kazi za ndani (binti) anatafuta kazi

    Binti wa miaka 25 mkazi wa Dar es Salaam anatafuta kazi iwe ni usaidizi wa kazi za nyumbani za kwenda na kurudi au mgahawani. Ni mchapakazi, msafi na mpishi mzuri sana. Kwa anayehitaji AniPM
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Makonda atoa siku 10 kwa Wilaya ya Kigamboni kuhakikisha hospitali inaanza kufanya kazi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ametoa siku kumi kwa uongozi wa Manispaa ya Kigamboni kuhakikisha Hospital hiyo inaanza kutoa huduma kwa wananchi ifikapo June Mosi baada ya Majengo yote ya Hospital hiyo kukamilika. RC Makonda ametoa agizo hilo leo wakati wa ziara ya kukagua...
  15. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi, Kahama Urban Water Supply and Sanitation Authority (KUWASA)

    Kahama Urban Water Supply and Sanitation Authority (KUWASA) is a full autonomous public entity established with the water work Act (Cap 272),which has been replaced with the water supply and sanitation Act No 5 of,2019.The authority was established to operate reliable, affordable and sustainable...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi hawapewi kazi za utendaji kama Wanajeshi

    Kitu kinanishangaza kwanini Polisi hasa wastaafu hawahusiswi sana na shughuli za kisiasa kama wastaafu wanajeshi. Wanajeshi wanachaguliwa kama mabalozi, wakuu wa mikoa na kwenye bodi tofauti lakini polisi ni wachache. Polisi wana uzoefu mkubwa sana na wananchi lakini nashangaa kuona hawatumiki.
  17. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Dar ni washamba tu hapa Mbeya tunafanya kazi na kupiga bia kila siku hatusubiri kufunguliwa Jumapili

    Akiongea na wananchi wa Mbalizi mkuu wa mkoa wa Mbeya mh Albert Chalamila amesema mkoani kwake wanatwanga bia kitambo hawasubiri party ya Jumapili kama Dar. Amedai kuna wakati alifungia bar kwa siku moja na kesho yake akaruhusu watu watwange bia hadi saa 7 za usiku. Amemalizia kwa kusema Mbeya...
  18. Themanininamoja

    JamiiForums Tanzania Baba alinikosesha kazi ya ndoto zangu

    Siwezi kumlaumu sana, naheshimu mawazo yake mzee wangu. Lakini nikiwa kama kijana na ndoto zangu nimejikuta leo nikikumbuka jinsi ambavyo ningekuwa naishi katika ndoto zangu na hata kumsaidia yeye mwenyewe. Ilikuwa hivi;- Baada ya kupata nafasi ile kutoka kwa mkubwa wa kitengo kile wa wakati...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Ofisi za umma zinazonyima wananchi huduma kisa Corona au kutovaa barakoa, wafukuzwe kazi

    Mkuu ameshatoa agizo watu wachape kazi, yeye mwenyewe havai barakoa. Sasa kuna ofisi za umma zinanyima huduma wananchi kisa hawajavaa barakoa, hawa wafutwe kazi. Jaji Mkuu na majaji wenzake na mahakimu wametengeneza genge la ulaji, wananunua TV kama wamechanganyikiwa, huu ni ufisadi mkubwa...
  20. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za Ulinzi, Rijk Zwaan Q-Sem Ltd

    Position: Walinzi (3) RIJK ZWAAN Location: Arusha & Moshi Job Summary Kulinda mali za kampuni, mazingira yanayozunguka kampuni na nyumba za wafanyakazi wenye stahiki ya kupewa walinzi majumbani. Kuelewa na kushiriki katika kudhibiti matukio mbalimbali yanayohusiana na majanga ya asili kama...
Back
Top Bottom