RC Chalamila: Dar ni washamba tu hapa Mbeya tunafanya kazi na kupiga bia kila siku hatusubiri kufunguliwa Jumapili

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,873


Akiongea na wananchi wa Mbalizi mkuu wa mkoa wa Mbeya mh Albert Chalamila amesema mkoani kwake wanatwanga bia kitambo hawasubiri party ya Jumapili kama Dar.

Amedai kuna wakati alifungia bar kwa siku moja na kesho yake akaruhusu watu watwange bia hadi saa 7 za usiku.

Amemalizia kwa kusema Mbeya ni jiji la wajanja hata yeye ukimzingua anapaki gari pembeni mnazichapa kavu kavu ukimdunda poa tu

Maendeleo hayana vyama
 
Back
Top Bottom