kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Rais awasamehe Makamishina walioshirikiana na Kangi Lugola uliokuwa na viashiria vya ufisadi

    Nafuatilia Hotuba ya Mh Rais Magufuli akiwa anahutubia Askari Magereza katika sherehe ya uzinduzi wa jengo la ofisi za Magereza, sasa hivi kupitia TBC1 amekiri kuwasamehe wale viongozi wote walioshiriki kusaini mkataba uliokuwa na viashria vya rushwa akiwemo aliyekuwa Kamishina Jenerali wa...
  2. muksinihamisi

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kufanya naye kazi. Nina ujuzi wa kutengeneza bidhaa za aina mbalimbali lakini sina mtaji

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22, Elimu yangu ni ya secondary nimemaliza mwaka 2017.Nashukulu mungu nilipata ufaulu mzuri ila sikuweza kupata chaguzi.Kutokana na uchumi sikuweza kuendelea na masomo bali nikajiingiza kwenye ujasiriamali kwa bahati mzur nikapata ujuzi wa kutengeneza bidhaa...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwasasa nikiambiwa nichague kazi nitachagua kuwa askari wa barabarani (traffic)

    Ile kazi naimiss sana kwasasa. Ni kazi ambayo nikiambiwa nichague basi itakuwa first choice huku kazi za uhasibu na ugavi nikiziweka pembeni. Nina hamu sana kuongoza magari barabarani. Nyie mnaomiliki vyombo vya moto mngenipenda sana.
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Chad: Mkuu wa Majeshi afukuzwa kazi baada ya kumkosoa Rais

    Mkuu wa Majeshi nchini Chad, Ahmat Koussou Moursal amefukuzwa kazi baada ya kuandika barua ya wazi kumkosoa Rais Idriss Deby. Katika barua yake, mkuu huyo alimlaumu Rais kuwasahau rafiki zake waliokuwa wote jeshini, kusini mashariki mwa Chad, Guera. Pia alizilaumu mamlaka kwa kutowalipa fidia...
  5. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mkuu wa Mkoa wa Morogoro awa nje kituo chake cha kazi kwa takriban mwezi mmoja kisa Ubunge wa Monduli

    Wanajamvi salama? Wakati joto la uchaguzi likizidi kupanda hatimaye mkuu wa mkoa wa Morogoro bwana Loata Sanare amediriki kuwa nje ya kituo chake cha kazi mwezi mmoja sasa Nilizozipata asubuhi ya leo kutoka vyanzo vyangu zinàsema tokea ateuliwe amekuwa akisononeka sana moyoni na kuanza...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachamwene na Mchakato wa mahabusu kufanya kazi wakiwa Magerezani

    J. W Nyoka katika Makala ya Kona ya Haki Jinai anaeleza: Niliwahi kuandika katika moja ya makala zangu kwamba asiyefanya kazi asile, kwa wafungwa nikasema ni sawa, je, kwa mahabusu vipi, nao wasile? Yawezekana andiko langu hilo limetoa tafsiri mbali mbali kwa wasomaji, na wiki iliyopita wakati...
  7. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli basi kazi ipo

    Kwamba. Watu ambao wakienda kuoga kwa kuanzia kujimwagia maji kichwani huwa ni Werevu kuliko wale wanaoanzia Mabegani au Miguuni. Unaikubali au unaikataa hii?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hesabu za haraka kama Magufuli akiamua kuwabeba wageni, basi CCM asilia wajiandae kutafuta kazi zingine

    Ukijaribu kufanya simple caluculation kwa kuangalia idadi ya wapinzani ambao wamekimbilia CCM kwa imani kuwa wanaweza kuendelea kupata ulaji ndani ya serikali ya awamu ya tano kwa kuwa kule upinzani hawana uhakika nako, utagundua kuwa wamekuwa wengi na huenda wakazidi kuongezeka kadiri siku...
  9. Kapepo

    JamiiForums Tanzania Kaniacha baada ya kukosa kazi

    Dah! Kama utani hivi, jana kani-text "Vipi kuhusu interview uliyoenda kufanya?" nikamjibu "hapana sikufanikiwa", akanitakia usiku mwema wakati si kawaida yake. Asubuhi kanichunia, nikamtafuta kajibu text moja tu na kunipotezea. Sasa hapokei simu wala hajibu text naona ndio nishaachwa mimi...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ili RPC afukuzwe kazi au ahamishiwe Makao Makuu inahitajika matukio mangapi ya kihalifu yatokee kwenye Mkoa wake?

    Hili ni swali ninalompelekea IGP Simon Sirro, kwamba Ili RPC aonekane ameshindwa kazi ya kulinda usalama wa Raia na mali zao kunahitajika uhalifu wa kiwango gani utokee? Jana ni Lissu, leo ni Mbowe, kesho ni nani? Ili ionekane RPC kishashindwa kazi ni kipi kinatakiwa kitokee, na je ni Umri upi...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mjue tapeli aliyewatapeli graduates wengi kwa kuwahadaa nafasi za kazi NMB

    Jamaa Facebook anajiita Venance Mbike akitaka kukutapeli anakuanzia mbali kidogo kwenye kipengele cha kukuomba urafiki. Kisha anajifanya mlisoma wote aidha chuo kikuu au sekondari lakini yeye alikutangulia kidogo but anakufahamu sana. Kama unapenda siasa atakupeleka huko, kama u mpenzi wa mpira...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya Naibu Waziri wa Zimbabwe kumdhihaki Rais Magufuli, ZANU PF ya Zimbabwe yaiomba radhi CCM na Watanzania

    Chama tawala Zimbabwe cha ZANU PF kimeiomba radhi CCM kutokana na matamshi ya kashfa ya aliekua naibu waziri wa habari wa nchi hiyo aliyoyaandika kwenye mtandao wa twitter mwezi uliopita. Naibu waziri huyo Bwana Mutodi aliandika kwenye mtandao wake wa twitter kua Magufuri kwa maombi bila zuio...
  13. James_patrick_

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye kuhitaji dereva mwenye sifa nzuri, napatikana

    Habari! Jina langu naitwa James Patrick nina miaka 24. Naishi Kunduchi, Dar es salaam. Elimu yangu mimi ni kidato cha nne na tokea nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana magari. Kwa sasa fani yangu ni udereva ambao nimeanza tokea 2014, na nimefanya kazi kwenye kampuni nyingi tu, kitu ambacho...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kazi ya Reservation kwenye mbuga za wanyama zinafanyika kwenye maeneo gani?

    Naomba kufahamu mtu akiwa anafanya upande wa Reservation ndani ya mbuga za wanyama anafanya upande wa Serikalini au Ni kwenye hotel za kitalii tu zilizoko ndani ya mbuga za wanyama? Majibu tafadhali
  15. T

    JamiiForums Tanzania Manyanyaso ya awamu hii yalinifanya nikaacha kazi. Wenzangu vipi mnaendeleaje na utumishi wa Umma? Mie siwapi kura CCM

    Na kilichoniumiza zaidi ni pale Mkuchika aliposaini kurekebisha Kanuni za Utumishi wa Umma - Januari 2018 ile iliyofuta Kanuni ya 107(2) iliyofuta baadhi ya haki muhimu za watumishi wa Umma. Ukweli kura siwapigii CCM! Labda wajirekebishe sana kwa muda huu mfupi uliobakia. Nyie wenzangu...
  16. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Content Writer at NileMart Group Company Ltd

    Company: NileMart Group Company Ltd Location: Tanzania State: Zanzibar Jobs Job type: Full-Time Job category: IT/Telecom Jobs in Tanzania NileMart Group Company Ltd The ideal candidates possesses a passion for writing and an innovative ability to create successful marketing campaigns and aid in...
  17. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Trafiki wanafanya kazi kubwa, wapongezwe

    Katika hali isiyo ya kawaida na ambayo haijawa kutokea toka tupate Uhuru Tanganyika na baadae Tanzania , Polisi wa Usalama Barabarani toka mwaka 2015 wamefanya kazi zao kwa weledi wa hali ya juu. Mwaka 2017 Mpwendwa Wetu Rais JPM aliona mateso yao na kuruhusu kuchukua shekheli ya ku-futia...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi sales and marketing, customer service au data entry.

    Habari za mchana viongozi. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Tanganyika Instant Coffee PLC

    1. POSITION: PROCUREMENT OFFICER Tanganyika Instant Coffee PLC Duties and Responsibilities Responsible and or reports directly to Procurement & Logistic Manager Responsible for determining the item to be stocked: programming stock, control and storage system related to procedures. To give...
  20. Daisy Llilies

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kazi ya kuchuma matunda Uingereza kiangazi cha 2020

    Berry farm vacancies 2020 Thank you for showing an interest in working on one of our fruit farms this summer. As a result of the business impact of COVID-19, we know many people are looking for work and we have numerous seasonal vacancies available on our farms up and down the country. From...
Back
Top Bottom