Hakuna namna tuwe wavumilivu tuchape kazi

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Nimetafakali sana hali ya maisha jinsi ilivyo. Nimepata jibu hapa ni kuchapa kazi tu.
Kilimo,kuingia kwenye uvuvi,kuchimba madini na biashara.

Maana kwa hii serikali ambayo imedhibiti wizi na rushwa huwezi kutoboa kwa shortcut.
 
Back
Top Bottom