Msaidizi wa kazi za ndani (binti) anatafuta kazi

munimuni

Senior Member
Aug 19, 2014
110
69
Binti wa miaka 25 mkazi wa Dar es Salaam anatafuta kazi iwe ni usaidizi wa kazi za nyumbani za kwenda na kurudi au mgahawani.

Ni mchapakazi, msafi na mpishi mzuri sana.

Kwa anayehitaji AniPM
 
binti miaka 25 mkazi wa dar es salaam anatafuta kazi iwe ni usaidizi wa Kaz za nyumbn za kwenda na kurudi au mgahawani ni mchapakazi msafi na mpishi mzuri sana be kwa anahitaji Ani pm
Taja location ili tuone urahisi wa kua anakuja na kuondoka asije kua anaishi Bunju kituo cha kazi Chanika

Sent from my SM-A305F using Tapatalk
 
Kuna wahindi hapa Dar wanaongeaga na wale madalali wa wadada wa kazi za ndani.Aisee huwa wanatafutiwa pisi kali za ki rangi zinawaka balaa huwezi kudhani kuwa ni beki tatu.Nadhani huwa wanawatafuna.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wee! Aisee,embu lete taarifa kamili nimestuka sana niliposikia maneno pisi kali,kirangi, na kuwaka balaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom