Wanawake mnaofanya Kazi katika 'Madawati ya Jinsia' msipokuwa makini na aina ya 'Maswali' yenu kwa Wanaume mtakuja 'Kupigwa' siku moja

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,922
Viswali swali vya Kipuuzi kama hivi msivyovibadilisha Watu wengine kama akina GENTAMYCINE tusio na Uvumilivu mtakuja Kupigwa!

1. Mkeo umefanya naye Mapenzi lini?
2. Huwa una tabia ya Kumkuna hasa Mkeo?
3. Kwa kawaida Mkeo huwa unampiga Bao ngapi?
4. Mara yako ya mwisho Kumkatia Mkeo Viuno wakati unafanya nae Mapenzi ni lini?
5. Una uhakika kuwa huwa unamchezea vizuri Mkeo kabla hamjaanza Kufanyana?
6. Umeshawahi Kumnyonya Mkeo muwapo Ngononi?
7. Mkeo analalamika sana kuwa unawahi Kukojoa ( Kupizi ) je, anakusingizia?

Nashukuru sana Mwenyezi Mungu kuwa siku hizi Roho Mtakatifu mara kwa mara ananitembelea hivyo Hasira zangu zimeyeyuka pia.
 
Mwanamke anae jielewa sidhani Kama anaweza akaenda kwenye hayo madawati ya kipuuzi, labda tukama mwanamke huyo hana hitaji la kuendelea kuishi kwenye hiyo ndoa

labda kwa Kukusaidia tu Mkuu ni kwamba huko nimekutana na Watu Maarufu kadhaa ambao Wake zao nao ' Wamewalengesha ' huko huko pia.
 
Sasa bora hata haya Maswali akuulize akiwa Mwenyewe lakini anakuuliza huku akiwa na Wenzake kadhaa. Ipo Siku tutawafundisha Nidhamu hasa.
Wewe nawe chenga tu ulienda huko "MMU" kufanyanini ? Huko wanaenda wanaume walio na uzoefu Wa MMU JF
 
Hahaha, aise hayo maswali yako kiundani sana sana, kwanza kabla sijamjibu ningependa kujuwa je wao wanafanyiwa hayo yote na waume zao?!
Wengi wao waweza kuta wameachika ama kuzaa hovyo tu mtaani, wapuuzi kabisa...
 
Viswali swali vya Kipuuzi kama hivi msivyovibadilisha Watu wengine kama akina GENTAMYCINE tusio na Uvumilivu mtakuja Kupigwa!

1. Mkeo umefanya naye Mapenzi lini?
2. Huwa una tabia ya Kumkuna hasa Mkeo?
3. Kwa kawaida Mkeo huwa unampiga Bao ngapi?
4. Mara yako ya mwisho Kumkatia Mkeo Viuno wakati unafanya nae Mapenzi ni lini?
5. Una uhakika kuwa huwa unamchezea vizuri Mkeo kabla hamjaanza Kufanyana?
6. Umeshawahi Kumnyonya Mkeo muwapo Ngononi?
7. Mkeo analalamika sana kuwa unawahi Kukojoa ( Kupizi ) je, anakusingizia?

Nashukuru sana Mwenyezi Mungu kuwa siku hizi Roho Mtakatifu mara kwa mara ananitembelea hivyo Hasira zangu zimeyeyuka pia.
King Kong III upo hapa?
 
Back
Top Bottom