Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,273
Utaratibu wa kulipana kwa masaa mfano kwenye mgahawa wangu, wasaidizi ninawalipa sh 500 kwa saa. Wanatakiwa kufanya kazi kwa masaa kumi. Saa moja la mapumziko halipwi lakini chakula ni bure. Asipokuja kazini halipwi na kila shift anayofanya kazi ana lisaa limoja la mapumziko ya kulipia. Inamaana baada ya siku 30 za kazi atakuwa na likizo yenye thamani ya sh 15,000.
Wafanya kazi wengi wanafanya kazi kwa mazoea, asubuhi anakupigia simu kuwa jirani yake amefariki atakuwa msibani. Anajua mwisho wa mwezi mshahara wake upi kamili.
Hii itakuwa njia ya kuacha kutega kazi. Tumezoea malezi ya kijamaa kuwa faida inagawanywa kwa wote, waliofanya kazi na wavivu.