kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kama Slogan yako ni ya 'Kazi Iendelee' kwanini Wamachinga hawana imani nawe?

    Binafsi hivi majuzi tu tena nikiwa Sokoni nimekutana na Wamachinga na Wanyonge ( Masikini ) wakiwa wanasema hauna Upendo Kwao kama aliokuwa nao Mwendazake. Nilijitahidi kukutetea kwa Nguvu zote mpaka pale nilipoona naanza Kuzungukwa nao ( kuwekwa Mtu kati ) huku Nyuso zao zikiwa na Jazba na...
  2. Mowwo

    JamiiForums Tanzania Ikiwa hatutumii asilimia 90 ya tunavyojifunza shuleni, kwanini tunajifunza?

    Kuna maana gani kama 90% ya tunavojifunza shuleni(msingi na sekondari) hatuvifanyii kazi? Elimu ni ufunguo wa maisha, nakubaliana kabisa na hii kauli. Lakini tuje kwenye uhalisia mwanafunzi wa shule ya msingi anasoma sii chini ya masomo 9 hadi anamaliza darasa la 7. Mwanafunzi wa sekondari...
  3. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania CCM wenye GUBU mwacheni Mhe Rais afanye kazi yake.Dhihaka hazijengi, na atawapuuza.

    Salaam za Eid El Fitri! Ndugu zangu wanaccm hasa waliojawa na roho za chuki na Gubu nawaomba ujumbe huu uwafikie siku ya leo mpate kuelewa. Acheni dhihaka zenu za reja reja kwenye mamlaka inayotambuliwa na katiba ya jamuhuri wa muungano wa Tanzania, hizi Gubu,chuki na roho mbaya zenu ni kelele...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais umekosea na umevunja sheria, Biswalo Mganga alistahili kufukuzwa kazi na si kupewa hadhi ya Jaji

    Ameandika hivi kupitia mtandao wa Twitter: Mh. Rais umekosea & umevunja sheria: DPP Biswalo Mganga alitesa watu wasio & hatia kwa mashtaka ya uongo ya uhujumu uchumi & utakatishaji fedha. Wengi wanaozea magerezani kwa sababu yake. Alistahili kufukuzwa kazi chini ya Sheria hii; sio kupewa hadhi...
  5. Dr Rutagwerera Sr

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mdada wa kazi Ruangwa, Lindi

    Habarini. Kama kuna yoyote ana mdada wa kazi anayemjua anatafuta kazi anicheki PM. Anahitajika kwenda kufanya kazi Ruangwa, Lindi. Muhitaji ni mwanamama mtu mzima mtumishi wa serikalini. Hana mtoto wala familia. Watakua ni wao pekee wawili.
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hata kama Sabaya akifutwa kazi hamuwezi kupata 'Politcal Gain'

    Huo ndio ukweli ambao mnatakiwa kuufahamu kwa sasa CHADEMA ni chama mfu kabisa na hakiwezi kupata uhai eti kwa sababu tu Sabaya amefutwa kazi. CHADEMA inatakiwa kujitathimini kwa nini wananchi hawana imani nayo na sio kufurahia tu kuwa Sabaya aliyekuwa anamdhibiti Mbowe huko Hai amesimamishwa...
  7. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kusimamishwa kazi kwa Ole Sabaya, liwe somo kwa wale viongozi wanaopenda kutumia ubabe na kutotii sheria za nchi

    Miongoni ya habari ambazo zimepokelewa kwa shangwe kubwa hapa nchini, ni hii ya kusimamishwa kazi kwa aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai, Ole Sabaya Kulikuwa na malalamiko mengi sana toka kwa wananchi, kwa kipindi kirefu kuwa huyu jamaa, anatumia ubabe, tena kwa kutumia vyombo vya dola...
  8. Tanzanite Digital Agency

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kupata (win) Kazi on Upwork

    Lets keep it straight and simple, Upwork ni platform kwaajili ya professionals so, you have to be an expert in your skills na kama sio expert basi ujue how to source that skill properly. Points you should consider au ku-note kabla hujaapply kwa hizo kazi. 1) Apply to your skills related jobs...
  9. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania DPP Biswalo Maganga kuwa Jaji, Rais Samia umekosea sana

    Miongoni mwa watu walioteuliwa leo na Rais Samia Suluhu kuwa majaji wa mahakama kuu, jina la DPP Biswalo Maganga lipo pia. Hili jambo limetushtua sana wadau wa mambo ya sheria, kuna kitu tunakiona hakiko sawa na kinakwenda kutuharibia zaidi mhimili wetu wa sheria. Nitaweka sababu za msingi sana...
  10. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania BAKWATA: Mwezi haujaandama, Sikukuu ya Eid El-Fitr itakuwa 14 May 2021 Siku ya Ijumaa, Sherehe kufanyikia Dar

    Waislam duniani kote wanasubiria kuandama kwa mwezi ili kujua kama kesho ni sikukuu au laa. Kwasisi hapa Tanzania chombo kinachopaswa kutangaza sikukuu hiyo ni Bakwata. Ewe mwana jf kama utakuwa na taarifa zozote huko ulipo kwa waliopo Tanzania, tujuzane kama mwezi utakuwa umeonekana maeneo...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka umekuwa lini msafi hadi umfundishe Rais kazi?

    Naandika hapa nikiwa na maumivu binafsi juu ya clip ya wakili Peter Madeleka. Sipingani na hoja alizotoa kwa sababu nyingi zina mashiko na mjadala aliouibua unatija kwa haki jinai Tanzania. Kilichonisukuma kuandika ni baada yakumsikiliza akitamka haki kwenye vyombo vya habari akijitapa kwamba...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mishael Muze alikataa uteuzi wa Rais ili aendelee na kazi ya Ualimu

    Wengi wamekuwa wakiuliza kama kuna Mtanzania mwenye ujasiri wa kukataa uteuzi wa Rais. Ukweli ni kwamba wapo na imepata kutokea kwa Mwalimu Mishael Muze ambaye alikataa uteuzi wa kuwa mkurugenzi wa maendeleo na kuendelea na kazi yake ya Mkuu wa Shule ya Sekondari Mwenge Mkoani Singida...
  13. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kampuni yatangaza nafasi za kazi ya kulala mshahara milioni 3.2

    Kampuni moja nchini Marekani ambayo hutoa vidokezo vya usingizi imetangaza nafasi za kazi ya weledi wa usingizi. Kampuni ya Eachnight ilisema inawatafuta watu wa kujiunga na kikosi cha utafiti kama weledi wa kulala kubaini umuhimu wa usingizi na hasara yake. "Kwa sasa tunaajiri kikosi cha watu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

    Habari wakuu, naomba kwa anayeweza kujua hili tatizo anisaidie. Nataka kufanya application ya hizi nafasi za ualimu zilizotangazwa, nakutana na changamoto moja, kila nikijaribu Ku log in naaambiwa unauthorized user, nikafili nakosea password. Nikataka kubadili password ikashindikana, coz ili...
  15. HAZOLE

    JamiiForums Tanzania Malimbikizo ya mshahara 2015-2019 kwa aliyeacha kazi

    Umofia Kwenu! Wakuu mimi niliacha kazi (resign) serikalini mwaka 2019. Nimesikia malimbikizo ya nyongeza ya mshahara yatatolewa kwa 2015 kuja 2021. Je, mimi nahusika hapo kujaza na kufuatilia pale zoezi litakapoanza? Naombeni ufafanuzi kwa wajuzi
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msichana wa Kazi wa Jirani yangu ana tabia hizi je, atakuwa anasumbuliwa na tatizo gani labda?

    Kitu chochote tu akikisikia ama kiwe hakichekeshi au kweli kinachekesha atatumia muda mrefu 'kuchekacheka' huku 'akirembua' Macho yake. Na hata akienda Kuchota Maji Bombani utaona akijifunua funua Nguo yake ( Dela ) huku akijiangalia Matiti yake na Makalio yake ambayo hata hivyo Mwenyezi Mungu...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Wimbi la kukimbia kazi Clouds FM

    Kazi iendelee. Inashangaza kusikia mtu kama B12 kuacha kazi Clouds FM, kweli binafsi nilishangaa sana maana ulisikia B12 Clouds inaclick kichwani, Diva Clouds, kuna kina Lilian Mwasha nasikia na Komando Kipensi Casto Dickson naye kaondoka au wameondoka sababu uvuli wa jasiri muongoza njia the...
  18. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wizarani Wasikwapue Kazi za Uandishi Wafanyazo Watumishi Wadogo

    Kumekuwa na tabia ya kipindi kirefu sana, za viongozi waliopo katika Wizara mbalimbali kuwatumia watumishi waliopo katika taasisi zilizopo chini ya Wizara hizi, kutengeneza taarifa mbalimbali. Bahati mbaya sana, viongozi wa Wizara wakitengeneza machapisho kutokana na kazi hizi zilizofanywa na...
  19. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Elon Musk na Falsafa ya hapa Kazi tu

  20. Abdul Ghafur

    JamiiForums Tanzania Mafundi Ujenzi, Carpenters, Plumbers wenye uzoefu wanahitajika haraka

    Mafundi ujenzi, plumbers, carpenters wenye uzoefu wanahitajika. Wawe wenye kuijua kazi zao na kuweza kusimamia wengine wasio na uzoefu. Wakiweza kufundisha itakuwa ni plus. Location yetu ni Misugusugu, Kibaha, Mkuranga Mkoa wa Pwani. Kazi zinaweza kuwa za kusafiri na kuhamahama. Kwa maelezo...
Back
Top Bottom