Viongozi Wizarani Wasikwapue Kazi za Uandishi Wafanyazo Watumishi Wadogo

tutafikatu

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
3,240
4,466
Kumekuwa na tabia ya kipindi kirefu sana, za viongozi waliopo katika Wizara mbalimbali kuwatumia watumishi waliopo katika taasisi zilizopo chini ya Wizara hizi, kutengeneza taarifa mbalimbali. Bahati mbaya sana, viongozi wa Wizara wakitengeneza machapisho kutokana na kazi hizi zilizofanywa na watumishi hawa wa chini, huwa hawaandiki majina ya waandishi halisi, na hata shukrani tu huwa hazipo.

Hii imekuwa ikitokea kila siku kwenye Wizara za Afya, Madini, Maliasili, Uchukuzi n.k

Wizara kama zimewapa watu fulani kazi ya kuandika au kukusanya taarifa fulani, kwenye chapisho la mwisho wahakikishe hao watu majina yao yanaorodheshwa kama waandishi na sio kuficha majina ya waandishi halisi na kisha kujimilikisha kazi za watu.

Hata majuzi Wizara ya Afya chapisho kuhusu Corona lililochapishwa kwenye Jarida la Kimataifa limebeba majina ya watu (akiwamo aliyekuwa CMO) ambao walikuwa na ushiriki hafifu na viongozi, likawaacha watu walioshiriki kwa undani.

Huu si uungwana.
 
Mkuu inaonekana hii kazi uliifanya
 
Lakini mdogo ni mtumishi wa mkubwa, hivyo usitegemee kupata credit kama uko chini ya mtu.
 
Hii imekuwa ikitokea kila siku kwenye Wizara za Afya, Madini, Maliasili, Uchukuzi n.k

Wizara kama zimewapa watu fulani kazi ya kuandika au kukusanya taarifa fulani, kwenye chapisho la mwisho wahakikishe hao watu majina yao yanaorodheshwa kama waandishi na sio kuficha majina ya waandishi halisi na kisha kujimilikisha kazi za watu.
Watapataje ujiko kwa mama!
 
Back
Top Bottom