kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Per Diem

    JamiiForums Tanzania Norway kazi za risk zina pesa nyingi, tusiogope risk katika maisha

    Nimeona watu wengi sana wakiogopa kazi ambazo ni risk. Lakini wanashindwa kuelewa kuwa kazi ambazo zina risk kubwa ndio zenye pesa nyingi. Simaanishi huku Norway kazi ambazo hazina risk hazina pesa, hapana. Kwanza kazi zenye pesa ni zile za wale skilled ambazo kwa mhamiaji huwezi kupata...
  2. 2

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi halali ya usiku, nipo Dar es Salaam

    Habari Wana Jf Mimi ni kijana na umri wa miaka 24, MALE, makazi yangu kwa sasa nipo Kigamboni Dar es Salaam Tanzania. Natafuta Kazi yoyote ikiwemo usaidizi, data entry, customer care, receptionist & ,casinos, ambayo naweza kufanya kwa muda wa usiku, au nyingine yoyote nje ya nilizopendekeza...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Niko tayari kujitolea katika taasisi yoyote ya maswala ya Bima/ insurance kwa kazi yoyote nia kujifunza zaidi kwa elimu niliyonayo Asanteni

    Habari Wana JF, Kwa Jina Naitwa Steven Naishi Ilala Dar es salaaam namiaka 24 Pia ni Kijana mchapa Kazi mwaminifu kwa kila majukumu nayofanya, Katika swala langu la kielimu nimehitimu level zote ikiwemo O level, Advanced level na kwa sasa ni kijana naehitimu elimu yang yangu chuoni nikiwa...
  4. EMMANUEL JASIRI

    JamiiForums Tanzania Raisi samia Suluhu Hassan tumwache aifanye kazi yake kwa amani, vinginevyo tutajikwamisha kwa namna hii

    Sasa hivi katika mitandao ya kijamii Kuna kundi ambalo linaweka mijadala mingi ya kumlinganisha Raisi huyu utendaji wa Marehemu Magufuli Hili kundi linaongozwa na Veronica France Ni kama kundi hili lipo kinyume,halijaridhika kuona Samia Suluhu akiwa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  5. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Secretariati yetu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kufanya kazi mbili maana muda si rafiki

    MAONI YANGU KWA SECRETARIATI YETU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM, KUFANYA KAZI MBILI KWA MAANA MUDA SI RAFIKI. Leo 11:11hrs 05/06/2021 1. Kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-25 2. Kuimarisha Chama Cha Mapinduzi kwa kusimamia maswala yote ya Ukuaji wa Chama kwenye maeneo...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kazi kubwa ya Serikali ni kurudisha Imani ya Wananchi kwa Serikali yao

    Ilifikia wakati Wananchi akiwemo mimi nilianza kupoteza imani kwa Viongozi wa Serikali kutokana na kutofautiana sana kati ya kauli na matendo yao, na kati ya mambo yalivyo na yanavyotakiwa kuwa. Mfano: 1. Wafanyakazi wanaambiwa warudi nchini lakini wanaporudi wanafikia TAKUKURU na mahabusu. 2...
  7. DIDAS TUMAINI

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote inayomhusu graduate wa Mathematics, Research and Statistics

    Wakuu Salaam, Natafuta kazi yoyote katika fani ya Mathematics, research and statistics. Napatikana muda wote kwa namba hizi: 0712778881 Nina experience ya kutosha.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mwandosya tuliambiwa asiye na Wizara maalum, Mkuchika kazi maalum. Kazi zipi hizo?

    Ninakumbuka Jk alipounda baraza lake la kipindi cha pili cha uongozi wake, alimteua pro. Mark Mwandosya akatuambia kuwa amemteua kama waziri asiyekuwa na wizara maalum. Sasa hivi tena ameteuliwa waziri Mkuchika ambaye tunaambiwa kuwa ni waziri kazi maalumu. Kwa uelewa wangu mambo yote ya...
  9. Posho City

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Lawson haupatikani; Tatizo ni nini?

    Maafisa utumishi mliopo humu tunaomba mtwambie, sasa ni wiki ya pili mfumo LAWSON haupatikani nchi nzima. Tatizo ni nini na itarejea lini? Fomu yangu ya mkopo imekwama mezani kwa hii wiki ya pili sasa kisa mfumo!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya Welding

    Kwa majina naitwa sabit nganga nimkazi wa kilombero. Fani yangu ni fund Welding. Pia nina uzoefu wa kufanya kazi kwenye viwanda vikubwa vikiwemo KILOMBERO SUGAR COMPANY. Kwaiyo nilikuwa naomba kama kutatokea nafasi yoyote ya kazi tuambizane. Tell: 0627841578.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye shahada ya sheria anaweza kufanya kazi idara ya mazingira?

    Habari zenu wandugu, naomba kujua, hivi mtu ambaye ana fani ya sheria anaweza Fanya kazi ama kuajiriwa kama afisa mazingira au misitu, ama idara yeyote inayo jihusisha na mazingira? Naombeni tufahamishane wandugu kwa wale wenye ufahamu kuhusu hili... Mungu awabariki..
  12. Cards Fantasy

    JamiiForums Tanzania Natafuta binti na kijana wa kiume tusaidiane kazi za Mgahawa

    UPDATE:- Asanteni Nyoote mlio onesha Nia na kuni connect na ndugu zenu. Bado nafanya maongezi, naimani waliojitokeza tukawasiliana wanatosha, kwa Sasa. Shukran Sana.
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi 3 wa Uhamiaji wasimamishwa kazi kwa kosa la kutumia nguvu dhidi ya Alex Raphael

    WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi Idara ya Uhamiaji, imewasimamisha kazi wafanyakazi watatu kutokana na tukio la Askari wa Uhamiaji kutumia nguvu dhidi ya Alex Raphael Kyai kama video fupi iliyosambaa katika mitandao ya kijamii. Akizungumza na wandishi wa habari leo Mei 30, 2021 Kamishina...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Kipanya kinaelezea utendaji kazi wa Polisi Tanzania

    Wazee wa kupiga twende
  15. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi yoyote ile

    Habari wakuu,naomba kazi yoyote ile, Kwa sasa nipo Dodoma ila naweza kuifuata popote pale ilipo ndani ya Tanzania Jinsia ni Me Iwe kusaidia kuhudumia mgahawani Kukaanga chipsi Kuchoma chapati Kufanya usafi gesti au lodge Kuwa houseboy Natanguliza shukrani..
  16. D

    JamiiForums Tanzania Looking for a job marketing positions or insurance principal officer

    I'm Denis sSamwel Mwalumuli 24 age I'm living in Tabata Barakuda, Dar es salaam I'm looking for a job from two kinds writing above heading, marketing position or either insurance principal officer because I have graduate and very experiences in this two derpatment. I'm ready to work any place...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Balozi yeyote aliyeko Ughaibuni asipoleta wawekezaji atimuliwe kazi

    Habari! Ni wakati sasa wa nchi kubana matumizi na kuruhusu matumizi matakatifu tu (matumaini yenye tija). Ni muda muafaka Sasa kwa mabalozi wa Tanzania katika nchi zilizoendelea za Ulaya, Amerika na Asia kufanya ushawishi wa hali ya juu kwa matajiri wakubwa na kampuni kubwa kuja kuwekeza...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa LATRA haufanyi kazi, wasafirishaji washindwa kupata huduma kwa siku kadhaa

    Mfumo wa Mamlaka ya Usafiri wa Ardhini (The Land Transport Regulatory Authority- LATRA). Huafanyi kazi sasa kwa takribani wiki nzima. Watoa huduma za usafiri wa Ardhini ambao wanapaswa kupata leseni toka mamlaka hiyo kupitia mfumo wao wa njia ya mtandao (Online Application) wamekwama. Kila...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda

    Wakuu ipo hivi nilisafiri toka Jutano mkoa fulani plan ya kurudi ilikuwa Jumamosi kesho jioni lakin nikaamua tu nirudi leo kwa sababu kazi nilionda kufanya imeisha toka jana jioni. Sasa nikampigia mchepuko wangu leo narudi aje anipokee leo narudi zangu Dar , na nikamwambia nitafika saa kumi na...
  20. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane kazi alizofanikisha Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

    Mengi sana yanasemwa kuhusu mafanikio ya Mwendazake kama vile watangulizi wake hawakufanya lolote. Kimsingi JK amefanya kazi kubwa sana. Kimsingi amefanya hata kazi za awali kwa yale aliyoyakamilisha Mwendazake kama uwanja wa Terminal III, Daraja la Mfugale, Daraja la Kijazi, SGR na barabara...
Back
Top Bottom