kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda

    Wakuu ipo hivi nilisafiri toka Jutano mkoa fulani plan ya kurudi ilikuwa Jumamosi kesho jioni lakin nikaamua tu nirudi leo kwa sababu kazi nilionda kufanya imeisha toka jana jioni. Sasa nikampigia mchepuko wangu leo narudi aje anipokee leo narudi zangu Dar , na nikamwambia nitafika saa kumi na...
  2. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane kazi alizofanikisha Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

    Mengi sana yanasemwa kuhusu mafanikio ya Mwendazake kama vile watangulizi wake hawakufanya lolote. Kimsingi JK amefanya kazi kubwa sana. Kimsingi amefanya hata kazi za awali kwa yale aliyoyakamilisha Mwendazake kama uwanja wa Terminal III, Daraja la Mfugale, Daraja la Kijazi, SGR na barabara...
  3. Jumbe Brown

    JamiiForums Tanzania RC Amos Makalla: Kuhusu "vigodoro" nitalifanyia kazi

    RC Amos Makala ametema CHECHE ya kwamba ,kuhusu "vigodoro" na ngoma zake anavifahamu na ATAVIFANYIA KAZI. Hii imekuja baada ya baadhi ya wanadarisalama kuchoshwa na "VIGODORO " na kuonekana kuwa ni CHANZO CHA UVUNJIVU WA MAADILI kwa watoto, vijana na wana ndoa. #DarYaAmosMakalla #KaziIendelee
  4. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa wasanii wa Tanzania ya kufanya kazi na Akon

    Boomplay na Hitlab wametangaza Shindano la kuvumbua vipaji kidijitali kwa wasanii Chipukizi linalomshirikisha nyota wa muziki wa Marekani mwenye asili ya Senagali, Akon. Dar es Salaam, Tanzania, Mei 26, 2021. Boomplay na Hitlab wameungana kuwawezesha wasanii chipukizi kufanya kazi na nyota wa...
  5. Napoleone

    JamiiForums Tanzania Ukitaka uishi maisha yenye furaha kwenye mahusiano...

    Kwanza hakikisha unatafta mwenza (well for men only) 1. Mpite miaka zaid ya 10 2. Elimu yake kibongo bongo awe La saba or form4 or six 3. Awe hana kazi inayoeleweka yaan wewe ndio mtaftie mchongo hapo mjini or else asiwe na kazi yoyote ile 4. Hakikisha anakusikiliza wewe kwa lolote yaani wewe...
  6. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Andrea Pirlo atatimuliwa kazi Juventus muda wowote kuanzia sasa

    Ripoti kutoka Italy zinasema kocha wa timu ya Juventus na staa wa zamani wa timu hiyo, Andrea Pirlo atatimuliwa kazi muda wowote kuanzia sasa! Klabu hiyo imekuwa na matokeo mabaya msimu huu huku wakimaliza nafasi ya 4 katika Serie A. massimiliano Allegri kocha wa zamani wa timu hiyo anatajwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya kazi iendelee: Tuanze na makusanyo ya kodi

    Kodi ndio msingi Wa kila kitu. Katikà kutekeleza mipango ya Taifa lolote. Hebu tusaidiane kupeana mrejesho Wa makusanyo ya kodi kwa mwezi Wa NNE na watano. Mama amesisitiza watu walipe kodi bila shurti. Mwitikio ukoje?
  8. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) na Wizara ya Mifugo na Uvuvi

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Kumb.Na.EA.7/96/01/L/122 26 Mei, 2021 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) na Wizara ya Mifugo na...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita, natafuta kazi

    I am Ismail Abdul. I am looking for a job, I am form six leaver I am after any job that I can work for and gain a salary. Contact me if you are pleased with my request 0711660552. I call apon your response please.!!!!
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa ajira hadi kwenye kazi ngumu

    Siku ya leo palikucha sina ramani na sielewi natoboaje, nikaona ngoja nizame viwandani. Nikapiga moja moja mpaka ubungo garage kiwanda cha sabuni cha mo nikakuta raia kiasi nikasubiri nje, watu wakaanza kuchaguliwa wale wakongwe na wapya wachache, tuliobaki tukakosa. Nikona fresh sio zali...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ndani ya Dar es Salaam

    Habari naitwa John Niko Dar natafuta kazi yoyote. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu Kenya, ila kwasasa Niko likizo. Natafuta kazi yoyote. Kazi ya halali. Mawasilano yangu: +254781847643( WhatsApp) +255755938804 +255714540040
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka wa Kurekebisha Taasisi za TRA na PCCB kufanya kazi kwa Weledi

    Katika kipindi cha awamu ya tano kilichojibatiza na kujiita serikali ya "mwendazake" ampapo mzee wa Lupaso RIP Ben Mkapa alilikemea hilo bila kificho. 1. TRA waligeuka kuwa genge fulani la wahalifu kwa kupora pesa kwa wafanyabiashara kwa kuwabambikiza kodi za juu na za uongo ili kutengeneza...
  13. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Matrafiki Wanaongoza Magari Wakati Taa Zinafanya Kazi

    Matrafiki Wanaongoza Magari Wakati Taa Zinafanya Kazi Kwa wale wanaojiunga hivi punde na haya yanayojiri, ambao bado wanajiuliza kwani je vipi somo mbona trafiki kuongoza magari wakati taa za kuongozea magari zinafanya kazi? Hii hapa historia fupi. Miaka ileeee palizuka kelele nyingi kwa nini...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta kibarua au kazi yeyote ile halali

    Habari ndugu zangu. Mimi ni kijana wa kiume Elimu: Bachelor of science in mathematics and statistics. Ninatafuta kazi au kibarua chochote kile halali, hata kuwa msaidizi kwenye shughuli yeyote ile halali. Hata kazi za kuanzia jioni mpaka usiku sana nafanya. Ninaweza kufanya masuala yahusiyo...
  15. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Prince Harry na Mkewe: Ni Kazi Kazi

    👇👇👇
  16. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi yeye kazi tu, hakuna mibarakoa

    Baada ya kufanya ziara katika maeneo ya Kichwele na Salem Mkoa wa Kaskazini Unguja, nimeamua kubadili matumizi ya mashamba ya mpira kuyafanya kuwa maeneo ya viwanda kufuatia mashamba hayo kutotumika ipasavyo na kuleta tija kwa Taifa.
  17. Influenza

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kununua Umeme wa LUKU: Waziri Kalemani amsimamisha kazi kwa siku 10 Meneja wa TEHAMA wa TANESCO

    Waziri wa Nishati, Medard Kalemani amewasimamisha kazi kwa siku 10 Meneja wa TEHAMA na Huduma za Biashara wa TANESCO, Lonus Feruzi na wasaidizi wake Frank Mushi na Idda Nja. Ametaka watoe maelezo ya tatizo la mifumo ya LUKU, na kuagiza maelezo yao yasipojitosheleza waondolewe kazini. == Waziri...
  18. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Tovuti ya Serikali ya 'Wananchi' hivi inafanya kazi kweli?

    Hii tovuti wananchi.go.tz inaendeshwa na iko chini ya Wizara ya habari, utamaduni na michezo. Lengo lake kubwa ni kwa kila mwananchi mwenye kero, malalamiko, maoni, ushauri, kutoa ripoti za uhalifu, rushwa nk kuandika kero au taarifa yake kwa maandishi na wao wizara wanaipokea na kisha...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla

    Amos Makalla karibu sana katika mkoa wetu wa Dar es Salaam na ikikupendeza tusaidie pale Magufuli Bus Terminal ujenzi ukamilike kwa eneo la abiria kadhalika sehemu ya kuservice mabasi. Mengine tutakujulisha ukishafika. Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UN: Vifo 745,000 vimetokona na kufanya kazi sana

    Utafiti wa Shirika la Afya duniani WHO, na la kazi duniani ILO unaonesha kufanya kazi kwa muda mwingi katika kipindi cha mwaka 2016, kumechangia vifo 745,000. Katika utafiti weao huo, mashirika WHO na ILO kwa pamoja yanakadiria watu 398,000 wamekufa kutokana na ugonjwa wa kiharusi na 347,000...
Back
Top Bottom