kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Abdul Ghafur

    JamiiForums Tanzania Mafundi Ujenzi, Carpenters, Plumbers wenye uzoefu wanahitajika haraka

    Mafundi ujenzi, plumbers, carpenters wenye uzoefu wanahitajika. Wawe wenye kuijua kazi zao na kuweza kusimamia wengine wasio na uzoefu. Wakiweza kufundisha itakuwa ni plus. Location yetu ni Misugusugu, Kibaha, Mkuranga Mkoa wa Pwani. Kazi zinaweza kuwa za kusafiri na kuhamahama. Kwa maelezo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri BASATA wasanii wetu kazi zao ni za kimataifa sio Tanzania pekee

    Ushauri wangu kwa Basata ni huu kazi za wasanii sio za Tanzania pekee na hamuwezi kukaa vikao bila kuelewa hilo. Usanii ni biashara ambayo serikali inanufaika kwa ubunifu sasa cha ajabu ni watu kuwa katikati na kutaka kuwaeleza wabunifu etu wabuni vipi!. Dhana ya hiki chama ni kusaidia kusiwepo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kazi inapoendelea kila Rais anapohutubia Makamu na Waziri Mkuu nao wapo. Imekaaje hii?

    Mabibi na mabwana awamu hii ina maajabu yake. Imekuwa kila Mama Samia anapokuwa anahutubia hapa nchini, basi waheshimiwa: Mpango, Majaliwa na vigogo wa juu nao never miss. Haiyumkiniki vigogo hawa walipenda pia kuwapo Kampala na Nairobi. Hiiiiii bagosha! Wajameni, hizi gharama za...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Corona ifanye kazi kwa siri, kuepuka madalali

    Hawa jamaa chenga kabisa! Ndugu yako akiwa dalali basi kuwa nae makini sana. Kazi ya udalali ina mapepo. Wapo wadogo na wale wakubwa. Wanaweza kudalalia hata mambo ya hatari cha muhimu wamepewa ofa mezani. Nashauri ile kamati ya mheshimiwa rais kuhusu Corona ibaki siri/ ifanye kazi kwa...
  5. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Msalala - Shinyanga

  6. Mbaga Jr

    JamiiForums Tanzania Nina Diploma in Film Production, natafuta kazi

    Inasikitisha sana wakuu
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ukweli uliofichwa makusudi

    UKWELI ULIOFICHWA MAKUSUDI Kuelimika siyo kufaulu kwa vyeti vya alama za juu, bali kuwa na uwezo wa kuhoji mambo na kuyaelezea katika upeo mwingine wa uelewa. Wakati nasoma moja ya shida nilikuwa napata ni kutopewa nafasi ya kuekezea mambo niyoaminishwa kwa namna nilivyokuwa nikiyaona mimi...
  8. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Je, wamachinga ni watu wavivu wasiopenda kazi?

    Sijui kama ni tafsiri sahihi ili kuna wanaosema wamachinga maana yake ni wazururaji,watembea hovyo. Je, kuna ukweli kwenye hili? Binafsi nafikiri kuna ukweli kwamba Wamchinga ni watu wavivu, ambao wanajificha mjini kufanya kazi ambazo hazina tija.Wamchinga wa zamani walikuwa wanabeba maduka yao...
  9. Guru Master

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi Sales and Marketing

    Sales and Marketing (3 positions) Dar Es Salaam Morogoro Mbeya Three People with At least Diploma who can do Sales and Marketing. The Candidate should be fluent in English and Swahili. Should have high convincing skills. Should be Innovative and creative in Sales, Marketing and Self-Management...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi mikoa ya Nyanda za Juu Kusini. Nimesomea Diploma ya Ualimu

    Wakuu habari za saizi! Mimi ni kijana wa kiume, mhitimu wa diploma ya ualimu lakini bado sijafanikiwa kupata kazi. Hivyo naomba kazi yoyote ya halali ya kuniwezesha kuendesha maisha yangu. Iwe niliyosomea au yoyote nitakayoweza kuifanya. Mimi naishi Dodoma. Kama kazi ikipatikana mikoa ya...
  11. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukizielewa Siasa za Tanzania huwezi kupata tabu. Hongera Rais Samia kwa kuzielewa vyema Siasa za Tanzania, nasema kazi iendelee

    Amani iwe nanyi wadau, Kama nilivyosema kwenye kichwa cha mada yangu hapo juu, Ukizielewa vyema Siasa za Tanzania , huwezi kupata tabu, na kwa siku chache alizokaa madarakani, napenda kusema Mama Samia amezielewa siasa za Tanzania vizuri sana, hivyo napenda kusema wazi, inawezekana kwenye...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Una kijana asiyechagua kazi? Mlete hapa apate kujishughulisha

    Habari zenu wana JF Wanahitajika vijana wawili wa kiume wachapa kazi hodari na waaminifu wakazi wa Dsm. Umri usizidi miaka 25. Lakini pia hata akipatikana wa kike sio mbaya kama atashirikiana na wa kiume jumla yake wapatikane wawili tu. Kuna kijiwe changu cha kuuzia Ashua (mbupu za Ng'ombe...
  13. BILGERT

    JamiiForums Tanzania Natafuta vijana wa kazi za shambani

    Vijana wa kazi za shambani wanahitajika, wawe waaminifu. Eneo la kazi ni Iringa, nikipata vijana watatu wanatosha. Kazi kubwa ni kuhudumia mashamba ya maharage, kuanzia hatua ya kupanda, umwagiliaji, kuweka mbolea pamoja na kupiga dawa. Kazi ni ya msimu wa miezi miwili. Malazi, chakula na Afya...
  14. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanza kuzifanyia kazi changamoto za Kiutumishi zinazowakabili Watumishi wa Umma

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema, Serikali ya Awamu ya Sita imeanza kuzifanyia kazi changamoto za kiutumishi zinazowakabili Watumishi wa Umma kwa muda mrefu ili waweze kutoa huduma bora kwa umma. Akizungumza wakati...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Wanaume muwe waaminifu na ndoa sio kombolela. Angalieni mtaachwa uzeeni na Wamama hatuzeeki

    Ndoa ni kazi isiyo na mshahara lazima uifanyie kazi ndoa yako .Siku hizi wanawake hawataki pesa zenu tupo juu sana .Heshima muweke mbele mtaachwa .Mzee gates ameachwa document zinaonyesha Hivyo .So wanaume muanze kupika ,piga deki na kufua nguo .wanawake tupo juu Sana,habari ndio hiyo .
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kujitolea kufanya kazi za watu ni kujishusha thamani

    Kwanini usijitolee kufanya kazi zako. Kwanini usijitolee kutafuta hata madini wewe mwenyewe. Kwanini usijitolee hata kutoa elimu kwa wengine wewe mwenyewe. Kwanini usijitolee hata kufundisha wengine wewe mwenyewe. Mimi baada ya kumaliza chuo nilijitolea mwenyewe kufundisha vijana table...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Serikali iwatazame vijana hawa katika ajira

    Natanguliza salamu ya Amani na upendo wangu kwenu wote pia nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Baadhi ya viongozi wamekuwa wakisema vijana waliosoma wachangamkie fursa za kujiajiri kwa kulima ,kufuga kuku,kuuza machungwa na biashara nyinginezo ili waweze kujiajiri na...
  18. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Askofu Ruwaichi, Mei Mosi na Teolojia ya Kazi: Mt. Joseph alikuwa mtu wa haki

    Askofu Mkuu Jude Thadeus Ruwaichi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Tarehe 01 Mei 2021, Kanisa Katoliki Duniani lilisherehekea sikukuu tatu kwa mpigo. Kuna kumbukizi ya miaka 130 ya waraka wa Papa Leo wa XIII uitwao “Mabadiliko ya Kimapinduzi (Rerum novarum),” kumbukizi ya miaka 30 ya waraka wa...
  19. J0h13

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote iliyo halalishwa na Serikali yetu

    Natafuta kazi yoyote iliyo halalishwa na serikali yetu Kwa majina naitwa JOHN E BENDERA Ni kijana mwenye umri wa miaka 23 kwa sasa. Ni mchezaji wa mpira pia, ligi daraja la pili Tanzania. Ndoto zangu kubwa niliziwekeza katika mpira, lakini naamini mnajua mpira wetu apa nchini, si lazima...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania VITA: Kazi Vs Pesa! Nani ataibuka mshindi?

    VITA VYA KAZI DHIDI YA PESA. KAZI Vs PESA Kwa Mkono wa Robert Heriel Kazi ni shughuli aifanyayo mwanadamu au kiumbe kujipatia mahitaji yake. Kama vile kilimo, ufugaji, udereva, ualimu, udaktari, ufundi nguo, uchongaji, uongozi, uchungaji, usheikhe, uhakimu, uandishi wa habari miongoni mwa...
Back
Top Bottom