kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. GIRITA

    JamiiForums Tanzania Msaada naomba kufahamu desktop computer ya kawaida sana kwa kazi za video editing

    Salam ndugu zanguni. Naomba kufahamu ni desktop computer yenye sifa zipi inauwezo wa kufanya kazi za kuzalisha na kuhariri picha za video, naomba kusaidiwa hili kwa wataalamu wa humu jukwaani wanaofanya kazi hizi na wasiofanya. Inatakiwa iwe ya gharama za chini kabisa kuliko zote,Nataka kujua...
  2. OLS

    JamiiForums Tanzania Je, Vyama vya wafanyakazi vimeshawahi kuzungumzia Usalama mahala pa kazi

    Ni kweli kwamba mishahara huongeza ufanisi wa kazi, lakini usalama wa kazi huongeza vitu vingine ikiwamo kuepusha majanga ambayo yangepelekea mtu kulazwa hospitali kwa muda mrefu ambayo kwenye long run inapunguza utendaji kazi. Tunaweza sana kuheshimu mishahara lakini nikitazama mazingira...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania amkeni msitegemee kazi za Serikalini!

    Tanzania kama Dunia inaondoka kwenye jela la kutegemea kazi za serikali. Kazi za serikali zunatakiwa ziwe za muhimu tu lakini kumekuwa na vijana wengi wanasubiri seeikali iwape kazi. Nawajulisha amkeni na tafuteni kazi kwenye kampuni binafsi, anzisheni miradi kama kilimo au katafute kazi nje...
  4. J

    JamiiForums Tanzania DED Godigodi: Madiwani hawana ubavu wa kunisimamisha kazi kwa sababu hawajaniteua wao

    Mkurugenzi wa halmashauri ya Mbozi Bi Godigodi amesema yeye ni mteule wa Rais hivyo madiwani hawana ubavu wa kumchukulia hatua zozote za kinidhamu ikiwemo kumsimamisha kazi. Godigidi amesema hayo baada ya baraza la madiwani la halmashauri ya Mbozi kudai limemsimamisha kazi kutukana na kutokuwa...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania TUCTA: Mishahara kutoongezwa kumepunguza ari ya kazi

    Kaimu Katibu Mkuu wa TUCTA, Said Wamba amesema Wafanyakazi hapa Nchini hawajaongezewa Mishahara kwa miaka 8 kwa upande wa Sekta isiyo rasmi na miaka 6 kwa Sekta ya Umma Amesema, "Hali hii imesababisha kupungua kwa ari ya kazi na hivyo kupunguza ufanisi ya uwajibikaji mahali pa kazi. Gharama za...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Maslahi bora, Mishahara juu, Kazi Iendelee mishahara haijapanda kwa miaka 6!

    Hii kauli mbiu ni kama imebuniwa kumsuta mwendazake. Kwa kweli mimi siyo sukuma gang lakini kaulimbiu hii imekaa kitata zaidi na siyo kisayansi. Kazi Iendelee!
  7. comte

    JamiiForums Tanzania Dada wa kazi: Mfanyakazi pekee yake ambaye akitangaza kuacha kazi bosi anatetemeka wengine tuliobaki wala

    Kheri ya siku ya waajiriwa duniani lakini kwa hali ilivyo ni dada wa kazi tu ambaye akitangaza anaacha kazi bosi anatetemeka wengine waliobaki wala.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kazi yoyote ya halali

    Habari za saizi wakuu? Mimi ni kijana wa kiume mwenye elimu ya diploma kozi ya ualimu, lakini bado sijafanikiwa kupata kazi.Hivyo naomba kazi yoyote ya halali ambayo itaniwezesha kupata hela ya kujikimu kimaisha au kuishi mbali na nyumbani...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Balozi Bashiru Ally Sasa imeiva, Katende kazi,

    Baada ya ufahamu wa siasa za kitanzania kwa muda mrefu, sasa nadhani baada ya kupata uzoefu wa taaluma yako kivitendo kupitia nyadhifa zako tano za kisiasa ndani ya muda mfupi, yaani 1) Kilanja wa tume ya kuchunguza mali za CCM, (2). Katibu mkuu wa CCM, (3) Mh, Balozi (4) Katibu Mkuu Kiongozi na...
  10. Maxence Melo

    JamiiForums Tanzania Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    Freemasonry is a fraternal organisation. Arising from obscure origins (theorised to be anywhere from the time of the building of King Solomon's Temple to the mid-1600s), it now exists in various forms all over the world, and claims millions of members. All of these various forms share moral and...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Aliyemwelewa Zaka za Kazi wa Azam FC anieleweshe

    " Kama Azam FC tukiamua Kumuuza Mchezaji wetu Prince Dube kwa hapa Tanzania ni Klabu moja tu itaweza Bei yetu ila kuna Klabu nyingine isithubutu kwani itauza Jengo lake, Chura walioko Jirani na Magodoro yao yanayododa Madukani " Amezungumza haya leo ( jioni hii ) huko Wasafi FM baada ya...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wasanii wanaotumia lugha chafu kwenye kazi zao kikaangoni

    Baraza la Kiswahili Tanzania (Bakita) limesema litaanza kuwashughulikia wasanii wanaotumia vibaya Kiswahili katika kazi zao huku likiwatolea mfano wasanii wa Bongofleva. Hayo yameelezwa leo Alhamisi Aprili 29, 2021 na mhariri lugha wa baraza hilo, Oni Sigala katika jukwaa la sanaa lililofanyika...
  13. The Inspire55

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea ili nipate uzoefu ndani ya Mwanza

    Habari wakuu, Naitwa Juma naishi Mwanza umri ni miaka 21, nina taaluma ya ukemia upande wa madini {mineral processing engineer} na elimu yangu ni basic certificate in mineral processing na uwezo wa kukabiliana na udongo wenye changamoto nyingi, pia uwezo wa kusimamia usalama kazini (OSHA...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Katoto kenyewe kabaya, kaache kafe

    NI STORI NZURI YENYE FUNZO HASA WALE TUNAOCOMMENT KTK MITANDAO YA KIJAMII BILA BUSARA, HEKIMA WALA STAHA. MY STORY: KATOTO KENYEWE KABAYA, NANI ATAKACHANGIA, ANGEKAACHA KAFE TU! Tofauti na watu wengine ambao wakimaliza chuo wanahangaika kupata kazi mimi haikua shida kabisa. Nilizunguka mara...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mhadhiri TUDARCo ashtaki na Kudai fidia kwa kutengenezewa mazingira magumu ili aache kazi

    Mmoja wa waanzilishi wa kitivo cha Sheria kutoka Chuo Kikuu cha Tumaini, Dar Es Salaam (Tudarco), Dk Lucas Kamanija anakidai chuo hicho fidia ya Sh130milioni, akidai kutengenezewa mazingira magumu yaliyomsababishia aachishwe kazi chuoni hapo. Dk Kamanija amedai fidia hiyo, baada ya kufungua...
  16. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Kwanini ujipe kazi ya mama yake mzazi, ukiona hakufai tafuta anayekufaa?

    Kuna ujinga mmoja ambao wadada wanafanya, narudia ujinga ambao mnafanya. Umekutana na mwanaume, ni Malaya, yaani wakati unakutana naye hata kabla ya kumkubali ulishajua kuwa ana wanawake zaidi ya kumi na wewe ni wa kumi na tano. Umemkuta Kaka wa watu ni mlevi anashinda na kulala baa. Yaani...
  17. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Nini kazi ya wazee wa makanisa

    Najua makanisa mengi hasa hapa nchini kwetu yanakuwaga na migawanyo ya kiuongozi, migawanyo ya kazi na majukumu mbalimbali ya uenezaji wa habari ya Mungu. Lakini je, hivi hawa waitwao wazee wa kanisa wanakuwa na jukumu gani?
  18. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Leo Azam hatoki Taifa. Yanga tunamchakaza Vibaya sana. Tunashukuru kwa kazi iliyofanyika

    Pamoja na maneno ya kashfa aliyoyasema Saido habari za kula Mayai Viza n.k sisi hatujali na tumemsamehe bado ana utoto. Ila aulize wenzie watamweleza. Na ashukuru kuwa amesafishwa nyota yake sasa anafunga. Angekuwa hataki hayo asingekubali kupelekwa alikopelekwa na wazee.mwenzake Nchimbi si...
  19. msovero

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy acha kuwasakama wakurugenzi wako. Hata wewe unafanya kazi kwa mazoea

    Mheshimiwa Rais alisema mawaziri wakileta vitu ambavyo havieleweki tuwakosoe. Kwa misingi hiyo naomba nitumie jukwaa hili kumkosoa waziri ummy mwalimu. Jana kwenye press conference na waandishi wa habari waziri ummy alionyesha masikitiko makubwa juu ya watendaji kufanya kazi kwa mazoea. Ummy...
  20. babukijana

    JamiiForums Tanzania Wabunge Babutale na Mwana F A Kazi yao ipi bungeni?

    Hawa waheshimiwa mi naona kazi yao ni kugonga meza tu, hawajengi hoja, hawahoji chochote, labda juzi ndo nimemuona mwana FA kauliza swali rahisi sana na kujibiwa palepale. Hawa wabunge ni vijana wajaribu kuwa wabunifu kwa kuamsha amsha hiyo serikali katika kila jambo. Sio kukaa tu pale na...
Back
Top Bottom