Mafundi Ujenzi, Carpenters, Plumbers wenye uzoefu wanahitajika haraka.

Abdul Ghafur

JF-Expert Member
Sep 18, 2017
305
500
Mafundi ujenzi, plumbers, carpenters wenye uzoefu wanahitajika.

Wawe wenye kuijua kazi zao na kuweza kusimamia wengine wasio na uzoefu. Wakiweza kufundisha itakuwa ni plus.

Location yetu ni Misugusugu, Kibaha, Mkuranga Mkoa wa Pwani.

Kazi zinaweza kuwa za kusafiri na kuhamahama.

Kwa maelezo zaidi, shatsapp au Telegram au piga 0625249605Abdul Ghafur.
 
Abdul Ghafur

JF-Expert Member
Sep 18, 2017
305
500
vipi mafundi umeme hawaitajiki
Fundi umeme kwa sasa hahitajiki, lakini, ikiwa una uwezo wa kufundisha masomo ya awali ya umeme ambayo yanakubalika na VETA basi unaweza kuja tuongee kufungua darasa la ufundi umeme.

Itakubidi uende VETA ukachukue vigezo na mwongozo wa kufungua darasa la umeme, sisi tutawekeza hapa kwetu Madrassatul Abraar kufungua darasa hilo linalokubalika kitaaluma na kisheria.

Fursa hiyo/hizo ni kwako na kwa yeyote mwenye taaluma ya ufundi wowote ule na anaona anaweza na anakidhi matakwa ya VETA kwa fani yoyote ya ufundi kwa kuufundisha kwa vitendo, sisi hapa Abraar tupo tayari kuwekeza kwenye gharama za kuanzisha darasa hilo / madarasa hayo.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Abdul Ghafur 0625249605.
 
May 15, 2021
3
20
Mafundi ujenzi, plumbers, carpenters wwenye uzoefu wanahitajika.

Wawe wenye kuijua kazi zao na kuweza kusimamia wengine wasio na uzoefu. Wakiweza kufundisha itakuwa ni plus.

Location yetu ni Misugusugu, Kibaha, Mkuranga Mkoa wa Pwani.

Kazi zinaweza kuwa za kusafiri na kuhamahama.

Kwa maelezo zaidi, shatsapp au Telegram au piga 0625249605Abdul Ghafur.
Mimi ninauzoefu plumbing nahitaji kazi
Kwako nipo maeneo ya mombasa
 
May 15, 2021
3
20
Mafundi ujenzi, plumbers, carpenters wwenye uzoefu wanahitajika.

Wawe wenye kuijua kazi zao na kuweza kusimamia wengine wasio na uzoefu. Wakiweza kufundisha itakuwa ni plus.

Location yetu ni Misugusugu, Kibaha, Mkuranga Mkoa wa Pwani.

Kazi zinaweza kuwa za kusafiri na kuhamahama.

Kwa maelezo zaidi, shatsapp au Telegram au piga 0625249605Abdul Ghafur.
Nipo tayari kwa upende wa plumber
 
Abdul Ghafur

JF-Expert Member
Sep 18, 2017
305
500
Nipo tayari kwa upende wa plumber
Karibu sana uje kujionea na tuongee tunavyofanya shughuli zetu.

Tupo mtaa wa Vitendo, Kata ya Misugusugu, Wilaya ya Kibaha, Mkoa wa Pwani. Ukija kwa kutumia usafiri wa mabasi unashuka kituo cha Miyomboni shule au kwa jina lingine Misugusugu shule (usishuke Misugusugu check point), hapo utachukua bodaboda, takriban wote wanafahamu tulipo, unamwambia bodaboda nipeleke Abraar kwa Mzee Ghafur. Unafikishwa.

Kwa maelezo zaidi tupigie 0625249605.
 
Ok
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom