Wimbi la kukimbia kazi Clouds FM

lulu za uru

JF-Expert Member
Aug 7, 2015
1,638
2,000
Kazi iendelee. Inashangaza kusikia mtu kama B12 kuacha kazi Clouds FM, kweli binafsi nilishangaa sana maana ulisikia B12 Clouds inaclick kichwani, Diva Clouds, kuna kina Lilian Mwasha nasikia na Komando Kipensi Casto Dickson naye kaondoka au wameondoka sababu uvuli wa jasiri muongoza njia the mastermind Ruge hayuko?

Kuna na huyu babie kabae Clouds 360 haonekani haieleweki, Musa wa Leo tena hayuko alishaondoka dohhhh maisha haya. Jozeee angalia wasiishe ila joyze anaonekana peacefully hata kina diva wanamsifia pengine jini mkata kamba tu kapita
 
FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
5,076
2,000
Clouds siku hizi hawapati matangazo kama zamani.. mapato yakipungua maana yake posho za staff zinapungua pia... wafanyakaz wanaona wananyonywa...

Balaa lote hili limeletwa na mtoto wa tandale na wimbo wake wa mbagala uliomfanya tanzania tumjue na tumpokee..
 
Mnyatiaji

JF-Expert Member
Dec 13, 2018
2,566
2,000
Ila jasiri was genious sasa hivi angekuwepo hii game ingewaka moto alikuwa anasimamisha watu kumuopose mond akajaribu kiba na aslay ikafeli jamaa hawana nyota harmo kidogo anatoa upinzani jasiri angemsaport sana makonde maana anajua kujibeba
kwani walikuwa hawana team work
 
Peramiho yetu

JF-Expert Member
May 25, 2018
2,462
2,000
Kiwanda cha habari kwa miaka hii 6 kilikuwa kimapato hakipo sawa huko USAFINI akina MWANAIDI utawasikia wakiwa LIVE wanaulizia bonasi za Matangazo ujue hali s shwar pengine SASHA atalegeza vyuma vilegee
 
Puncler

JF-Expert Member
Jul 17, 2017
555
1,000
Kiwanda cha habari kwa miaka hii 6 kilikuwa kimapato hakipo sawa huko USAFINI akina MWANAIDI utawasikia wakiwa LIVE wanaulizia bonasi za Matangazo ujue hali s shwar pengine SASHA atalegeza vyuma vilegee
Noted; SASHA.
 
Mwalimu wa Zamu Tz

JF-Expert Member
Jan 2, 2021
395
1,000
Acha uchonganishi mkuu wote uliowataja wapo komando kipensi Yupo Diva hakuacha ila alifukuzwa sema tu wamefanya kwa peace ionekane kaondoka B12 inafahamika ni rafiki sanasanasana na jizzo so akaamua kuhamia efm ao wengne wanapewa likizo tu
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
41,904
2,000
Nimemuona wamemuajiri yule jamaa wa clip za kuchekesha tall mweupe ,ambaye anauliza maswali ya kuwachanganya wadau na kuwaingiza chaka.
 
Noelia

JF-Expert Member
May 26, 2017
14,499
2,000
Acha uchonganishi mkuu wote uliowataja wapo komando kipensi Yupo Diva hakuacha ila alifukuzwa sema tu wamefanya kwa peace ionekane kaondoka B12 inafahamika ni rafiki sanasanasana na jizzo so akaamua kuhamia efm ao wengne wanapewa likizo tu
Si useme huyo B12 ni mchepuko wa jizzo, hiyo urafiki sanasanasana inakuwaje hapo,,,
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
17,975
2,000
Clouds siku hizi hawapati matangazo kama zamani.. mapato yakipungua maana yake posho za staff zinapungua pia... wafanyakaz wanaona wananyonywa...

Balaa lote hili limeletwa na mtoto wa tandale na wimbo wake wa mbagala uliomfanya tanzania tumjue na tumpokee..
Acha Uongo.

Sasa kama Clouds mapato yamepungua, Radio nyingine si ndio zinakufa kabisa.

Ukweli ni kwamba, watangazaji wengi pale Clouds hawana mikataba. Walichokuwa wanakifanya ni kutoa platform kwa mtu yeyote mwenye uwezo kuonesha uwezo wake kwa maana ya kutangaza bure, halafu utaambulia posho kulingana na wenyewe watakavyoona.

Vile vile, walitoa nafasi ya mfanyakazi yeyote pale kujiongeza na ikitokea ana kimradi cha pembeni then anaweza kutumia Radio kujitangaza bure.

Sasa inavyoonekana Kusaga na bahili hatoi hata posho wala hayuko karibu na wafanyakazi kama alivyokuwa Ruge. Fiesta yenyewe tangu Corona iingie haijafanyika.

Sasa mtu hawezi kukaa tu pale malipo yoyote. Pia kuhama au kuacha kazi ni kawaida, hakuna radio ambayo watu hawahami wala kuacha kazi. Hivi karibuni tu Jonijoo kahama Wasafi, Sam misago kaacha kazi EATV, Mpoki kaacha kazi Efm.

Vipi na huko mapato yakoje?

Huu mfumo wa kutumia watu bila malipo radio nhjngi zinautumia, ilamradi unapenda kuuza sura au kusikika radioni na unaweza weza unacjukuliwa. Sasa hivi EFM comedians kibao wamejaa pale hadi Kingwendu, sasa usidhani wameajiriwa kama watangazaji wanalipwa.

Pia kwa watangazaji wakubwa, nadhani wanatafuta namna ya kukua na maslahi kutokana na ukweli kwamba monopoly ya Clouds imepungua ( hata kama ni kidogo ) kutokana ujio wa Wasafi na Efm sokoni.

Na hii ndio maana wasanii na watangazaji wamepata aktenatives.
 
Darmian

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
12,757
2,000
Clouds siku hizi hawapati matangazo kama zamani.. mapato yakipungua maana yake posho za staff zinapungua pia... wafanyakaz wanaona wananyonywa...

Balaa lote hili limeletwa na mtoto wa tandale na wimbo wake wa mbagala uliomfanya tanzania tumjue na tumpokee..
So kina nani wanapata matangazo kuzidi clouds?..biashara ya media miaka sita hii imekuwa hovyo kwa jumla.

Mtu kama Casto ni mtangazaji wa maana kweli?,Lilian Mwasha alikuwa sio mtangazaji wa kila siku kipindi ni Jumamosi tu..Diva alikuwa kama amepoteza akili..Bdozen tunajua why kaenda Efm

Siku wakiondoka kina Millard Ayo,Masoud Kipanya,Gea Habib,Gadner ndo tunaweza kuongea..hawa wengine wanaoondoka wengine unaweza kukuta hawana hata mikataba.
 
mjasiliaupeo

JF-Expert Member
Apr 21, 2013
1,975
2,000
Siku clouds wakikosa matangazo basi ujue biashara ya radio imeshakufa. Ila biashara imeyumba, clouds imebeba watangazaji wengi sana wengine hawana hata session. Hivi castro alikuea ana session gani pale ya maana? Hao ni kama wakina george mkali, wanasubili fiesta wapate pesa. Clouds fm ina vipindi mama ukisikia gadner au millard, gea, dauu wamesepa ndio ujiulize hayo maswali.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom