Ikiwa hatutumii asilimia 90 ya tunavyojifunza shuleni, kwanini tunajifunza?

Mowwo

Member
Aug 15, 2015
40
95
Kuna maana gani kama 90% ya tunavojifunza shuleni(msingi na sekondari) hatuvifanyii kazi?
Elimu ni ufunguo wa maisha, nakubaliana kabisa na hii kauli. Lakini tuje kwenye uhalisia mwanafunzi wa shule ya msingi anasoma sii chini ya masomo 9 hadi anamaliza darasa la 7.
Mwanafunzi wa sekondari anasoma sii chini ya masomo 7 mpaka anamaliza kidato cha 4
Sasa kuna changoto mimi binafsi naiona hapo, kwanini tusingejifunza vile ambavyo tutavifanyia kazi?
Kitu gani wewe mdau umewahi kujifunza katika elimu uliyoipata na hujakifanyia kazi? Mimi naanza na four figure😃
 
Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
2,477
2,000

Una ranchi hapo?
 
MO11

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
17,834
2,000
Hautumii asilimia 90 sawa ila wewe ndio utaamua katika hizo 100 utumie 10 zipi
hivyo unapewa chaguo kubwa baadae uchague kinachokufaa

ulipo kuwa mtoto ulitaka kuwa rubani ulivyokuwa mkubwa ukatambua hesabu hujui
ukaangukia kwenye siasa ukapiga watu ukawa ole sabaya
 
kirikou1

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
4,175

Nadhani nafaa kuendorse hii comment
“Kukupa machaguo nini unataka kikufae mbeleni”
 
Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
2,477
2,000
Hautumii asilimia 90 sawa ila wewe ndio utaamua katika hizo 100 utumie 10 zipi
hivyo unapewa chaguo kubwa baadae uchague kinachokufaa

ulipo kuwa mtoto ulitaka kuwa rubani ulivyokuwa mkubwa ukatambua hesabu hujui
ukaangukia kwenye siasa ukapiga watu ukawa ole sabaya
Mkuu vipi wale hawajasoma mlundikano wa masomo na maisha yanaendelea tena kuwazidi wenye madigrii. Kuna watu hawajasomea kabisa biashara na wanaendesha biashara, tena wapo malaki kila mkoa.
Wengine wanalima ila hawajawahi soma kilimo na wanamashamba makubwa kuliko hata mabwmwana shamba.
Kusoma masomo mengi ni utamaduni tu wala hauna tija, hata yakipunguzwa masomo hakuna kitakachopungua.
 
Hahaha sasa ingekua izo 90% tumeziweka kwenye mambo yale tunayofanyia kazi, tusingepata kina Sabaya
 
Mowwo

Member
Aug 15, 2015
40
95
Mkuu vipi wale hawajasoma mlundikano wa masomo na maisha yanaendelea tena kuwazidi wenye madigrii. Kuna watu hawajasomea kabisa biashara na wanaendesha biashara, tena wapo malaki kila mkoa.
Wengine wanalima ila hawajawahi soma kilimo na wanamashamba makubwa kuliko hata mabwmwana shamba.
Kusoma masomo mengi ni utamaduni tu wala hauna tija, hata yakipunguzwa masomo hakuna kitakachopungua.
Ni kweli unachosema mkuu, japo nadhani wakipunguza vipo vitakavyopungua. Kwa mfano anaesoma kidato cha 5 na 6 anasoma vichache na vinakuja kumsaidia akiwa chuoni. Mfano pia mwalimu wa Art unakuta alisoma masomo ya sayansi lkn hakuyatumia kufundishia popote...anakua hajafanyia kazi japo alisomea
 
MO11

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
17,834
2,000
Mkuu vipi wale hawajasoma mlundikano wa masomo na maisha yanaendelea tena kuwazidi wenye madigrii. Kuna watu hawajasomea kabisa biashara na wanaendesha biashara, tena wapo malaki kila mkoa.
Wengine wanalima ila hawajawahi soma kilimo na wanamashamba makubwa kuliko hata mabwmwana shamba.
Kusoma masomo mengi ni utamaduni tu wala hauna tija, hata yakipunguzwa masomo hakuna kitakachopungua.
Ulivyokuwa unasoma jiographia ulifikiri unasoma ili iweje
kwamba njombe inaongoza kwa kulima viazi
sasa kama unataka kulima viazi utaenda mtwara au njombe ulipojifunza darasa la tatu ?

tuliza akili usitake kubishana kuna vitu basic ulijifunza wakati upo shule ya msingi leo unatumia ulipo
 
Uko sahihi mkuu wangu.
Jiulize pia utakua umetumia asilimia ngapi ya vile ulivyosoma shule ya msingi au sekondari? Vingapi umesoma lakini hujavifanyia kazi
 
wewe unataka vifanye kazi kwa pamoja

ila niamini unatumia sana tu
zile alama za barabarani ulisoma darasa la ngapi
kila kitu unachokiona umekisoma shule ila umeamua tu kubishana
na nishamaliza
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom