Habari JF
Narudi tena kwenu baada ya kupata wadada wa awamu ya kwanza kazi ya kuserve, Tunaendelea kupeana liziki nahitaji wadada wawili tena wa kutafuta oda za chakula hapa Dodoma twn na kusambaza. Ni kazi ambayo ina target yake angalau kwa siku upate angalau oda 30.
Mshahara ni 220000 kwa...
Habari wana JF mimi ni binti wa miaka 24 natafuta kazi ya aina yoyote ile nitafanya iwe tu halali.
Elimu yangu nimemaliza chuo mwaka jana kozi ya ualimu kwa masomo ya kiingereza yaani literature na linguistic UDSM.
Lakini nitafanya kazi yoyote itakayopatikana naombeni msaada wenu tusaidiane...
Natafuta kazi yoyote halali.
Elimu yangu ni kidato cha nne pia nimehitimu mafunzo ya udereva veta ila sina uzoefu sana sababu sijawahi fanya kazi ya udereva popote ila nikipewa kazi nafanya properly.
Habari za Leo wakuu,
Leo nilikua najaribu kuiuliza akili yangu swali lifutalo.
Hivi inakuwaje mwanadamu mwenye akili timamu anakaa ofisini kuwafanyia watu kazi kwa zaidi ya miaka mitano?
Yaani kwamba mwanadamu unafanya kazi za watu ambazo sio zako.
Yaani hapo ndio najiuliza, wakuu.
Wakuu...
Habari wanajukwaa. Imekuwa ni kawaida kwa Kiongozi Mkuu wa nchi hasa nchi zinzotumia title ya Raisi, kama hii ya kwetu, kutumia kigezo cha siku 100 za kwanza za Raisi kuwa Ikulu kufanyiwa tathimi ya utendaji kazi wake.
Wachambuzi wa mambo ya siasa, wasomi, wanazuoni na Wananchi wa kawaida...
Nafikiri ukiacha Shaaban Robert na Kezilahabi huyu, bwana naye yumo kati ya waandishi magwiji. Baadhi ya kazi alizoandika ni.
1.Mzimu wa watu wa kale
2. Kisima cha Giningi.
3. Duniani kuna watu
4.Siri ya sifuri
5.Mke mmoja waume watatu
6. Mwana wa yungu hulewa
7. Kosa la bwana Msa.
Habarini za muda huu ndugu zangu,
Malalamiko yangu ni kwa Idara ya Elimu Sekondari katika wilaya ya Ulanga. Hawa jamaa sijui ni uzembe au kujisahau katika majukumu yao.
Kumekuwa na utofauti wa ulipwaji stahiki mbalimbali kati ya idara ya msingi na sekondari. Mfano, suala la ulipaji nauli za...
Good morning future Billionnaires[emoji23]
Miaka ya nyuma iliyopita tulikuwa tunawapa credit sana wanawake kwenye kutoa huduma sehemu nzuri, ukimkuta dukani, awe mapokezi au sehemu yoyote ile hutoa huduma nzuri.
Lakin kwa utafiti wangu usio rasmi kwa sasa wanawake mnayumba sana hamtoi huduma...
Msemaji wa Serikali na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais( Ikulu) ni nafasi mbili tofauti zenye majukumu tofauti.
Lakini kwa uteuzi wa Gerson Msigwa na Jaffari Haniu itakuwa vigumu sana kutenganisha majukumu haya na kuleta picha kwamba Gerson anamfunika Jaffari au anaingilia kazi zake.
Kwanini...
Habari ya leo wakuu,mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 29,nna mke na mtoto mmoja, elimu yangu ni kidato cha nne naishi Dar.
Nimejitokeza hapa kuomba kazi utakayo ona naweza kufanya kwako kulingana na uzoefu nilio nao.
1. USAFI WA KAWAIDA AINA ZOTE
Naweza kufanya usafi wa kawaida nyumbani...
Mwanzo Mimi binafsi nilikuwa nafanya kazi na taasisi fulani ila badae mwaka 2017 ilifunga shughuli zake nchini Tanzania.
Nikapoteza kazi na nikawa muda mwingi nipo nyumbani napanga mipango ya kupata pesa nikiwa nyumbani muda mwingi .
Yaani kwa wiki nilikuwa natoka siku 4 siku tatu nipo...
Habari wana JF.
Mimi ni kijana umri miaka 27 ninaishi Ubungo,Dar es salaam Tanzania
Nina degree ya library and information studies natafuta kazi ya ukutubi katika shule au vyuoni pia ninauzoefu wa kazi hii.
pia ninatafuta kazi ya kutunza kumbukumbu (record management) katika ofisi yeyote au...
Wakuu naombeni mwenye uwezo au conection ya kunipeleka ulaya anisaidie niepukana na haya maisha ya kifukara.
Mara mia nikawe fukara huku duniani kuliko kuwa fukara hapa nyumbani.
Mimi kazi yoyote ile nafanya, isipokuwa kuolewa.
Sihitaji ushauli wa kujiajiri sababu sina mtaji. Hapa tu niko...
Wasalaam wana jamvi.
Baada ya Mtangazaji Diva kuacha kazi kwa mwaka sasa ni rasmi kurejea tena.
Baada ya kukaa muda mrefu bila kufanya kazi na uku hakuna media iliyomfata kutaka kufanya nae kazi baada ya kukaaa muda mrefu nje ya utangazaji.
Mtangazaji Diva aliandika barua kwa kusaga kuomba...
Imekuwa ni kawaida kwa watoto wanasoma Shule za Binafsi kuwabebesha watoto mafurushi ya kazi za kufanya wakiwa likizo almaarufu Kama HOLIDAY PACKAGES na wakati mwingine watoto wanaendelea kwenda shuleni wakati wa likizo kwa kile kinachoitwa HOLIDAY COACHING. Sasa hizi ni likizo?
Likizo...
Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Mh Godbless Lema ameandika katika mtandao wa Twitter kuwa wapo katika mchakato wa kuondoa kazi/videos za Diamond Platnumz katika mitandao ya YouTube na Facebook. Godbless Lema anadai Diamond amekuwa akijali "njaa" kuliko haki, hivyo kijana Huyo kutoka Tandale ni...
Panya wa Tanzania mwenye sifa ya kufichua mabomu kimataifa astaafu Cambodia Magawa (panya) aliyejishindia tuzo kwa ushujaa wake anastaafu katika kazi yake ya kufichua mabomu yaliotegwa ardhini.
Kila ugunduzi alioufanya ulipunguza hatari ya kuumia au kifo kwa watu wa Kambodia. Katika kazi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.