TFF, Benchi la Ufundi la Taifa Stars huko CHAN 2021 nimeshamaliza Kazi kwa Kikosi hiki Namibia leo na Guinea Wiki ijayo wanakufa!

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
ANGALIZO

Tafadhali kisibadilishwe na pia Kicheze kama ambavyo nimekipanga kwani Kiunyangindo kimeonyesha Mafanikio na tutashinda mechi zilizobakia.

Kikosi cha Kuanza kiwe hiki tu....

1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Yassin Mustafa
4. Ibrahim Ame ( kama bado hajapona aanze Dickson Job )
5. Bakari Mwamnyeto
6. Erasto Nyoni ( kama bado hajapata ruhusa ya Vipimo vya CORONA aanze Feisal Salum )
7. Deus Kaseke
8. Said Ndemla
9. Ditram Nchimbi
10. John Boko ( kama bado hajawa vizuri Kiafya aanze Adam Adam )
11. Farid Mussa ( na huyu asibadilishwe hadi dakika zote 90 kwani ndiyo atakuwa mwiba kwa Wapinzani au Kutufungia pia )

Wachezaji wa Akiba wawe hawa tu....

1. Juma Kaseja
2. Edward Manyama
3. Dickson Job
4. Feisal Salum
5. Adam Adam
6. Lucas Kikoti
7. Ayoub Lyanga

Sihitaji malipo yoyote kwa Unyangindo ( Ushirikina ) nilioufanya hapa Nyumbani Pemba ninapoishi kwani nimejitolea Kuipigania Tanzania yangu. Naomba kwa aliye karibu na Rais wa TFF Karia au Katibu Mkuu Kidao au Msemaji Ndimbo au Benchi la Ufundi la Taifa Stars wawafikishie upesi mno huu Uzi wangu na hasa hasa hiki Kikosi kwani nina uhakika nacho na Kikipangwa kama nilivyokipanga hapa Watanzania wote kuanzia leo tutafurahi na kusahau Machungu yote kwani Namibia leo na Guinea wiki ijayo watakufa ( watafungwa ) mapema tu.

Nahodha wa leo ahakikishe sana tunaanzia Goli la Kusini ili mwisho tuje kumalizia la Kaskazini na ule Mzigo ( Hirizi ) leo avalishwe Farid / Deus tu.
 
IMG_20210123_124357.jpg
 
Yaani Fei Toto aanzie benchi, aliyekuroga kafa.
 
Ndio shida yabkukomaa na wachezaji wazee kila wakati wanaumia tu. Ona sasa wwnamuambukiza na Ame!
 
Back
Top Bottom