Wizara ya Afya Tanzania
Official Account
- Oct 1, 2020
- 58
- 124
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleoya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amewata wafamasia walioingia rasmi leo kwenye taaluma hiyo wasisubiri kufanya kazi za kuingiza dawa au kumpatia mgonjwa dawa bali wametakiwa kuwa wabunifu kwa kutengeneza dawa kwenye maeneo yao kazi ili kuweza kuipunguzia gharama Serikali