Naombeni kazi yoyote ile ya halali nifanye wakati huo nikisubiri majibu ya kampuni za ulinzi nilizo omba

Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
14,153
21,294
Mkuu kampuni gan umeomba

Mbona garda ukiomba unaanza mafunzo hapo hapo haina kusubili subili hovyo hovyo
 
Ukikamilisha kila kitu ,haina haja ya kusubili wanakwambia njoo siku flan unakuta wenzio tayar ,unaanza training ukimaliza ,unapangiwa lindo ,unanza kuingiza 250k ,kwa mwezi

Hakuna sijui subili subili
😭😭😭
 
Mkuu wewe uko Garda
 
Wakuu nimeomba kazi za ulinzi kwenye makampuni ya ulinzi baada ya kutoka JKT kama mlivyo nishauri kwenye uzi wangu nilio uweka wiki mbili zilizopita wa kuomba kazi yoyote ile ya halali.

Wengi walinishauri niombe kazi kwenye kampuni za ulinzi kwani ndipo mafunzo yangu yalipo bobea nami bila kuwaangusha nimefanya hivyo na sasa nasubiri majibu.

Hivyo ombi langu nilikuwa naomba kama kuna mtu yeyote mwenye kibarua nacho weza kufanya wakati huo nasubiri majibu ya kampuni nilizo omba anipe maana sijui ni muda gani utatumika kutoa majibu na mimi kukaa bila shughuli yoyote ile ya kufanya ndio siwezi maana nimezoea kuchachalika.

Nipe dili lolote la halali,
elimu yangu kidato cha nne
Nipo Arusha kwa sasa
0654635623.
Fanya betting
 
Ungekuwa Dar ningekwambia njoo kesho mapema asbh bsndarini nikuuungainshe na kiongozi wa magenge uwe kuli uwe unalipwa kulingana na ukataji wako wa contena ila sasa japo ni pesa ndogo ila si haba lkn sasa upo Arusha tunafanyaje....
 
Mkuu ninashida nayo hiii
Msaada please
 
Pesa Tsh ngap mkuu
Contena ya 40 ni sh elfu 40 contena ya 20 ni shilingi elfu 20 na kila genge ni watu wa4 sasa kama genge lenu mpo watu wa4 mkskata cotena 4 za 40 au cotena 4 za 20 mnafedha nzuri tu kwa siku ĺkn lzm muwe na vitambulisho vya suma port service amba yo zita waruhusu kuingia na kufanya kazi bandarini ni hivyo....lzm uwe na refleta muhimu...
 
Mkuu nakuomba nisaidie mimi please sina ishu ya kufanya nakuomba please nipo Kigamboni
 
Kamanda niasaidie iyo ishu ndugu yangu nipo tabata hapa nisaidie sana ndugu yangu
Contena ya 40 ni sh elfu 40 contena ya 20 ni shilingi elfu 20 na kila genge ni watu wa4 sasa kama genge lenu mpo watu wa4 mkskata cotena 4 za 40 au cotena 4 za 20 mnafedha nzuri tu kwa siku ĺkn lzm muwe na vitambulisho vya suma port service amba yo zita waruhusu kuingia na kufanya kazi bandarini ni hivyo....lzm uwe na refleta muhimu...
 
Contena ya 40 ni sh elfu 40 contena ya 20 ni shilingi elfu 20 na kila genge ni watu wa4 sasa kama genge lenu mpo watu wa4 mkskata cotena 4 za 40 au cotena 4 za 20 mnafedha nzuri tu kwa siku ĺkn lzm muwe na vitambulisho vya suma port service amba yo zita waruhusu kuingia na kufanya kazi bandarini ni hivyo....lzm uwe na refleta muhimu...
Hivyo vitambulisho vinapatikana vipi au nikigezo gn kinatumika kupata kitambulisho
 
Ungekuwa Dar ningekwambia njoo kesho mapema asbh bsndarini nikuuungainshe na kiongozi wa magenge uwe kuli uwe unalipwa kulingana na ukataji wako wa contena ila sasa japo ni pesa ndogo ila si haba lkn sasa upo Arusha tunafanyaje....
Pesa ndogo kama shilingi ngapi?
 
Huu uzi unakoelekea ni kupata kazi wengine kabla ya aliefungua uzi.
mimi naona kipaumbele cha kwanza apewe aliefungua uzi.
 
Back
Top Bottom