Dear All,
This is for your information and action.
Regards.
Duhhhh wengine cm zetu cjui zipoje,haifunguki
Kumbe hivyo tena, nilijua huko ndo kwenye mpungaShida hawa watu mishahara yao inakuwaga shallow sana
roughly kama sh. ngap ivi kwa undergrad?Shida hawa watu mishahara yao inakuwaga shallow sana
kuna ndugu yang aliwahi fanya kazi pale nyarugusu kama nurse(certificate),kwa mwezi alikua analipwa tsh 500kroughly kama sb. ngap ivi kwa undergrad?
Sasa kwa certificate ndogo hyo??ulitaka alipwe bei gani??kuna ndugu yang aliwahi fanya kazi pale nyarugusu kama nurse(certificate),kwa mwezi alikua analipwa tsh 500k
wapi nimesema ndogo?, mi nmemjibu huyo jamaa aliuliza punguza ukurupukajiSasa kwa certificate ndogo hyo??ulitaka alipwe bei gani??
Sio mdogo kwa certificateSasa kwa certificate ndogo hyo??ulitaka alipwe bei gani??
Kwan huoni tarehe hapo juu.?Samahani wakuu...naomba kuuliza izi ajira ni mpya..?
ndio ni mpyaSamahani wakuu...naomba kuuliza izi ajira ni mpya..?