kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi yoyote, nipo Morogoro

    Habari wakuu, Nahitaji kazi yoyote kwa sasa, kiwango cha elimu yangu ni shahada ya ualimu. Ila nipo tayari kufanya kazi yoyote nipo Morogoro maeneo ya Oil Com.
  2. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, bodi ya mikopo(HESLB) inakuharibia kazi

    Na Thadei Ole Mushi. Bodi ya Mikopo acheni kucheza na watanzania....huyu ni mnufaika wa Bodi ya Mikopo kwenye salary slip ya mnufaika huyu inaonekana mshahara wake baada ya kukatwa 141,000 Balance ya Deni lake lilikuwa 2,727,860. Hivyo kama angelikatwa Mwezi wa Sita Tena 141,000 balance...
  3. mama D

    JamiiForums Tanzania Serikali, Wizara, Halmashauri, Agencies za umma (TRA, BRELA, BOT, TRA, TIC) mkiendelea na kazi kwa mazoea mtaendelea kuwa wahujumu uchumi namba 1

    Nchi yetu imepita kwenye mabadiliko makubwa sana ndani ya miaka sita. Kumekua na mageuzi makubwa sana kiutawala na kiuchumi tangu 2015. Kukataa kwamba mfumo uliokuwepo kabla ya 2015 ulishavunjwa na hauwezi kurudishwa ni kujidanganya, kinachotakiwa ni sasa ni kutembea na mabadiliko kwa serikali...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania DC Simalenga awasimamisha kazi viongozi wa vijiji tuhuma za wizi Songwe

    Mkuu wa wilaya ya Songwe Simon Simalenga amewasimamisha kazi viongozi wote wa kijiji cha Saza ili kupisha uchunguzi kuhusu tuhuma za wizi wa makinikia ya dhahabu, utawala wa mabavu na kuminya uhuru wa wananchi kujieleza, malalamiko yaliyoibuliwa na wananchi kupitia vituo vya ITV/Radio One...
  5. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Kolabo yangu na Wanamuziki wa kike wa MAREKANI Kama video queens imekamilika. Kazi ni mpya kabisa

  6. A

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa kazi ya shift

    Kazi ya shift inaweza kuwa shift ya asubuhi, mchana au usiku kutokana na ratiba inayowekwa na kiongozi. Ukiwa unafanya kazi ya shift, ni rahisi sana kuwakwepa wanao kudai. Ukipigiwa simu unasema niko kazini hakuna anaejua shift yako ya leo.
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Askofu Benson Bagonza: Kuweka nchi sawa ni kazi isiyoisha

    Askofu Dkt. Benson Bagonza, Askofu Mkuu wa kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe "Nampongeza mama kwa "100 kwanza". Namwombea "100 tena" zenye maono mapana zaidi" "Haki na uhuru ni misingi imara ya kuweka nchi sawa. Ukiyaahirisha unajitwisha mzigo mzito. Dai la katiba mpya lina faida kubwa kwa...
  8. Mapondo Mapoka

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi serikalini, je niondoke vipi huku private?

    Madam tajwa hapo juu yahusika sana. Nimekua sekta binafsi kwa miaka kadhaa sasa, hadi kufikia kupewa madaraka makubwa tu kazini. Natakiwa kwenda kuripoti na hapa niko najiuliza namna gani nzuri ya kuaga uongozi na wafanyakazi wenzangu. Naombeni ushauri wenu wakuu.
  9. iron finger

    JamiiForums Tanzania Nimeipata hii nukuu toka kwa mdau wa Twitter wakati wa Mjadala wa Katiba

    Ni maneno yaliyonipa tafakari kubwa sana hasa wakati huu ambao kila sehemu kuna praise team kuanzia Upinzani hadi Chama Tawala ni maneno ya kufikirisha toka kwa mdau huyo akisema. "Kadiri kelele na shangwe za kusherehekea amani, huku wakila na kunywa ndipo wakati wa uwangamivu ulivyokuwa...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Natafuta vijana 10 wenye uwezo wa kutengeneza sabuni za unga na kipande

    Natafuta vijana 10 wenye uwezo wa kutengeneza sabuni za unga na kipande. Wawe na umri wa kuanzia miaka 23-33. Wawe wanaishi Dar es Salaam. Kama upo njoo PM.
  11. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu Podcast, ni kitu gani? inafanyaje kazi?

    Naomba kufahamishwa kuhusu hii kitu ndugu zanguni. Inafanyaje kazi. App sijui website zake ni zipi na mtu anawezaje kuimonetize. Natanguliza shukrani.
  12. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Siri kuu ya mafanikio; fanya kazi yako na wawezeshe wengine kufanya kazi zao

    Rafiki yangu mpendwa, Hakuna kitu kimekuwa kinatafutwa kwa muda mrefu kama siri za mafanikio. Mamilioni ya vitabu yameandikwa kuhusu siri za mafanikio. Lakini siri hizo hazijafichwa kwa namna yoyote ile, ziko wazi kabisa. Ambacho watu wamekuwa wanatafuta kwenye siri za mafanikio ni njia ya...
  13. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Ni maswali gani ya kumuuliza Mwanamke ambayo yanaweza kukupa majibu hapa napendwa au natumika?

    Wakuu katika mahusiano kuna wakati kama mwanaume inabidi ujitafakari katika mahusiano ujue kama unapedwa kweli au unatumikaa ktk hayo mahusiano Sometime unaweza ukawa unajiuliza hivi hapa napedwa kweli au nalazimisha maana kama mimi niko na mpenzi ila Sijui kama napedwa au nalazimia mfano...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu ana mrejesho kuhusu kazi za EAC

    Wakuu naomba kama kuna mtu ana mrejesho wowote kwa zile kazi za EAC zilitangazwa juzi. Nakumbuka mwaka jana walitangaza, nikaomba nikaona kimya Mwaka huu wametangaza tena nafasi zilezile ila bado kuna kaukimya. Kuna yoyote ameitwa hata interview wakuu? Nataka ili nisiendelee kuwa na matumaini...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Milioni 350 za faini ya kina Mbowe zinazorudishwa na mahakama unashauri zifanye kazi gani?

    Ni kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350. Zijenge ofisi makao makuu? Zisaidie kulipa faini na mawakili wa kesi zilizobaki? Zisaidie mchakato wa katiba mpya? Zinunue kiwanja cha ofisi makao makuu Dodoma au Dar es salaam. Zisaidie ujenzi wa ofisi za kanda? Zinunue vitendea kazi vya chama...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali 'mliooa' jitahidini kuwaridhisha wake zenu kwani Mabachela waandamizi tumechoka wuwasaidieni kazi Maghettoni mwetu

    Haiwezekani kati ya Wake za Watu Kumi ( 10 ) unaowabandua (unaolala) nao Tisa ( 9 ) ukiwa nao Vitandani wanalalamika kuwa Waume zao wamekuwa 'Goigoi' kama Wachezaji wa Klabu ya Yanga SC na kwamba hawawafurahishi wala kuwaridhisha tena kama walivyokuwa Wachumba wakiwa wanabaiolojiana. Mabachela...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kazi ya mafuta ya transfoma

    Habari waungwana.Niende ktk hoja hapo kipindi cha nyuma nilikuwa nikiona transfoma zilizoharibiwa kutokana na watu kugema mafuta yake sasa swali langu ni jee hayo mafuta yana kazi gani na yana thamani gani hadi kufikia watu kurisk maisha yao kwa ajili ya kuyaiba?
  18. Doreen27

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi, nina shahada ya Uuguzi napatikana Mbezi Beach

    Habari wanajamii? Mimi ni S jinsia Ke, umri miaka 28, elimu yangu ni shahada ya Uuguzi bado sijapata leseni ila nategemea kuipata mwezi wa 7 mwaka huu, Naomba kazi yoyote kwa sasa inayoweza kuniingizia kipato muda huo nikisubiria leseni na ajira, Nina uzoefu huu; 1) Naweza kukutafutia...
  19. Doreen27

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya uzoefu huu;-

    Habari wanajamvi? Mimi ni jinsia Ke, umri miaka 28, Elimu shahada, sekta ya afya, fani ya Uuguzi, bado sijapata leseni hivyo imekuwa ngumu kwangu kupata nafasi kwenye hospitali kwa kujishkisha muda huo nikiwa nasubiria kupata leseni yangu ambayo uwezekano wa kuipata ni mwezi wa 7 mwaka huu. Kwa...
  20. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Nimefukuzwa kazi kisa nimekula chakula cha boss, inauma sana

    Habari wadau. Miezi kadhaa iliyopita nilibahatika nilipata kazi katika kampuni moja kubwa ya uzalishaji . Nilianza kazi vizuri tu, ila siku ya kwanza tu naingia ofisini sekretari wa boss akaonyesha kunichangamkia kama tulishawai kuonana before mpaka nikaogopa, nikajitahidi kumkwepa sana...
Back
Top Bottom