Hivi hizi kazi za Mtibwa Sugar ni kweli, au utapeli

Monster20

Senior Member
Nov 30, 2020
160
159
Nimeona tangazo la kazi nyingi za Mtibwa sugar, mimeshikwa na wasi wasi maana ni kama kiwanda kipya kinaanza, mwenye taarifa sahihi anisaidie nisipoteze muda kuomba kama ni utapeli

IMG-20210714-WA0000.jpg
 
Nimeona tangazo la kazi nyingi za Mtibwa sugar, mimeshikwa na wasi wasi maana ni kama kiwanda kipya kinaanza, mwenye taarifa sahihi anisaidie nisipoteze muda kuomba kama ni utapeli

View attachment 1853674
Jiulize vifuatavyo..;
1. Hizo email za gmail.com kwa mtibwa sugar haiwezekani. Lazima wana domain yao

2. Tangazo halina Jina la HRM wala sahihi yake

3. Kiwanda ni cha zamani, idadi hiyo ya wafanyakazi wanaohitajika ni kama imewatimua wote waliokuwepo and then wanaanza upya

4. Huwezi weka qualification za aina moja kwa kazi zote...

5. Halafu eti badala ya kuandika dereva, wameandika dreva...!!!

TO ME HILO TANGAZO NI FAKE... ila najua kuna wabongo watapigwa tu..!!!
 
I concur, it's fake
 
Hivi mshahara kazi ya kukata miwa ni sh.ngapi?
Hiki kiwanda kipo morogoro sehemu gani?
 
Nimeona tangazo la kazi nyingi za Mtibwa sugar, mimeshikwa na wasi wasi maana ni kama kiwanda kipya kinaanza, mwenye taarifa sahihi anisaidie nisipoteze muda kuomba kama ni utapeli

View attachment 1853674
Hakuna kampuni siriasi itatumia mail za Gmail,huo ni wizi mtupu,Kuna mishetani inataka kuibia watu,ishindwe kwa Jina mwana wa daudi,Simba wa yuda.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom