linkoln1888
Member
- Jul 9, 2021
- 21
- 15
MTU ANAHITAJI MSAADA WA MAWAZO, NA CASE YAKE NI KAMA ILIVYO HAPA
Kama nilimaliza Degree yangu 2014, kisha mwaka 2016 nikasoma kozi ngazi ya cheti, na mwaka 2019 nikatumia elimu ngazi ya cheti kuomba kazi kupitia sekretariate ya Ajira, nikafaulu ule usaili na kupata kazi, na sasa nalipwa kama mwenye elimu ya cheti, Je mwajiri atanikubalia nikimpa cheti cha degree, ikiwa degree yangu ni ya kabla ya kuajiriwa kwangu hapo ofisini?
Swali
1. Je, haitaleta utata?
2. Je, naweza omba kazi nyingine serikalini kwa degree yangu? Je, nifanyaje kumwomba mwajiri nikipeleka barua ya kuniruhusu nihudhurie usaili kwenye Shirika lingine la umma?
3. Au mwajiri wangu atanikubalia kunifanyia recategorization?
Nisaidieni jamani, kufanya kazi za elimu ya chini wakati nina degree siyo poa, na mshahara ni kidogo kinyama.