kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. The Boss

    Ndugu yako akifanya kazi hii "Mmempoteza"

    Sielewi shughuli zingine zina nini ..lakini Mtu akijiingiza Tu huko na tabia inabadilika moja kwa moja ...harusi tena kuwa Yule wa zamani... Hii kazi ya udalali hapa Dar ..mtu akishajiingiza Tu ..basi very soon anakuwa 'haaminiki' 'mpigaji' "Utapeli" "Usanii".. Yaani hata Ndugu zake...
  2. Askofug

    Natafuta kazi ya udereva, hasa Uber na Bolt

    Ninaitwa Eliah Gwamaka. elimu yangu ni diploma ya IT. Pia nina leseni yenye madaraja C1, C2, C3, E na D.nina uzoefu wa kufanya Bolt kwa zaidi ya mwaka mmoja. Napendelea mkataba hata kama gari sio mpya. Napatikana ukonga Banana Dar es Salaam. Namba yangu ya simu ni 0686 574164. Natanguliza...
  3. M

    Kazi ya unesi inahitaji moyo

  4. sekion27

    Nahitaji kazi ya uhasibu Arusha

    Nahitaji kazi ya uhasibu nipo Arusha, elimu yangu ni bachelor of accounting and finance nimemaliza 2019. Nina zoefu wa kutumia tally na kuandaa cash statement vizuri katika computer. Pia nina uzoefu wa kufanya marketing and sales. Nilikuwa nafanya biashara ila mambo yangu yameenda tofauti kwa...
  5. A

    Kazi za kujitolea nazo ni muhimu katika maendeleo ya Jamii

    Kazi za kujitolea ni kazi ambazo mtu au watu wanaamua kufanya kwa ajili ya lengo la kutoa msaada katika jamii. Misaada hiyo inaweza ikawa katika mfumo kifedha, mawazo,elimu na nguvukazi, kulingana na mahitaji ya jamii inayosaidiwa. Kuna baadhi ya watu huwa wanahisi kuwa kazi za kujitolea ni...
  6. M

    Nafasi 35 za Kazi at Tujijenge Tanzania – Loan Officer

    Job Positions 35 Loan Officer at Tujijenge Tanzania. Tujijenge Tanzania’s mission is to improve the quality of life for families in Tanzania through the provision of microfinance. We are a microfinance organisation, offering products through group and individual lending, targeting micro and...
  7. S

    Je, Mgonjwa ana haki ya kujua jinsi dawa inavofanya kazi?

    Kuna hoja imeibuka hapa hasa baada ya mzigo wa chanjo kuwasili. Kwanza niseme tu kwamba iwapo chanjo ya COVID itakuwepo na nikapewa taarifa sahihi na fursa ya kuchanjwa na mimi mwenyewe nikawa na sababu na uwezo wa kwenda kuchanjwa basi nitaenda kuchanjwa. Hivo andiko hili halilengi kukebehi...
  8. Mr Samba

    Msaada wa kazi, nina shahada ya Human Resource

    😂😂
  9. Doreen27

    Afisa Muuguzi II natafuta kazi ni nipo Dar es Salaam

    Habari za wakati huu wanajamii? Mimi ni muuguzi, jinsia Ke, umri miaka 28, naishi Mbezi beach Dar es Salaam, nina leseni ya uuguzi, nina uzoefu wa kazi hii ya uuguzi wa mwaka mmoja. Naomba connection ya kazi kwenye hospitali, au kwenye mashirika ya Afya ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali...
  10. EL ELYON

    Huyu hakuwa tayari kwa ndoa?

    Nina rafiki yangu mmoja tumeshakuwa kama ndugu maana tulikutana a level mpaka chuo kikuu tuko wote na kitaa tupo wote. Sasa alioa mke wake sasa ni miaka 3 wako kwenye ndoa halali kabisa. Mkewe ni mnyaturu, shida inayojitokeza yule mkewe pia anafanya kazi. Tatizo ni kwamba yule mwanamke anaishi...
  11. B

    Niliahirisha uamuzi wangu wa kumtongoza baada ya kuniuliza nafanya kazi wapi

    Kuna mdada mmoja nilikutana naye kwenye mgahawa wa mama ntilie akiwa kama mpishi na muhudumu, alikuwa mrembo nikaona huyu akinikubali na tukiendana, atanifaa for long term relationship even marriage if possible..na nlivomu-approach huyu dada sikujitutumua na kujifanya nina pesa. Nikaanza...
  12. Isaya mwakyoma8

    Natafuta kazi, elimu yangu ni Form Four

    Naitwa Isaya Joseph Natafuta kazi yoyote ukuweza kujikimu kimaisha. Elimu yangu ni Form Four Kazi nilizowahi kuzifanya awali ni kama ifuatavyo-: Stationary miezi 6 Mashine za kusaga nafaka miaka 2 Afisa mikopo kwa wajasiliamali wadogo wadogo mwaka 1 Uwakala wa m-pesa, tigopesa mwaka mmoja...
  13. Ngengemkenilomolomo

    Nipo Mwanza natafuta kazi, nilisoma mpaka kidato cha tano

    Wasalaam ndugu zangu katika jukwaa hili... Mimi ni kijana wa miaka 24 nipo mwanza manispaa ya ilemela ñaomba mwenye nafasi yoyote ya kazi sehemu yoyote na mahali popote nipo tayari kufanya kaz elimu yangu ni kidato cha nne nilibahatika kufika mpk kidato cha tano lkn sikuweza kumaliza kutokana...
  14. M

    Tangazo la kazi TARURA

    Wadau mambo vip naona TARURA wametangaza Kazi kwa Engineer na Watu wa Manunuzi kazi kwenu.
  15. B

    Mishahara ya wafanyakazi na watumishi iendane na kiwango cha elimu, ugumu wa kazi au kiwango cha kazi anachofanya mhusika

    Elimu ni uwekezaji kama aina nyingine za uwekezaji hivyo muwekezaji anategemea kupata faidia baadae, ila kuta baadhi ya taasisi au mashirika, mtu ana shahada ila analipwa mshahara wa astashahada. Au unakuta sehemu mtu ana elimu ya dalasa la saba ila analipwa mshahara zaidi ya mtu mwenye...
  16. Amaizing Mimi

    Mfumo wa 'salary slip' haufanyi kazi

    Natumai hamjambo. Toka jana najaribu kufungua salary slip, matokeo ni kuwa huduma haipatikani. Mh. Mwigulu umeona tozo hazitoshi sasa umeamua kufunga mfumo ili tusione mnavyotuibia? Hebu fungueni tuone HELSB walivyofanya mwezi huu maana hawaamiki tena.
  17. L

    TAKUKURU tunaomba Msaada: Kijana huyu alipata ajira Serikalini lakini akaporwa kituo cha kazi na kupewa mwingine

    UPDATE: MLALAMIKAJI AITWA KAZINI ----- NAMNA KITUO CHA KAZI KILIVYOPORWA Donald Mshani aliomba kazi serikalini mwezi February 2021 baada ya tangazo la nafasi ya MUHIFADHI WANYAMA PORI DARAJA LA 3 katika halmashauri ya wilaya ya Njombe. Alipata bahati ya kuiitwa kwenye usahili uliofanyika...
  18. ROJA MIRO

    SoC01 Somo la Stadi za Kazi kwa Shule za Msingi unavyoweza kuzalisha ajira kwa watakaoshindwa kuendelea na Sekondari

    Kwa mujibu wa muhtasari wa somo la stadi za kazi kwa wanafunzi ambao umeadaliwa kutokana na mtaala wa elimu ya msingi kuanzia darasa la 3 hadi la 6 wa mwaka 2016 muhtasari ambao kwa sasa umefutwa,kupitia muhtasari huu mwanafunzi aligemewa kujenga stadi za usafi,mapishi tofauti,ujasiriamali,na...
  19. S

    Changamoto wanazopitia wasaidizi wa kazi majumbani

    Wasaidizi wa kazi ( almaarufu wafanya kazi za ndani ) hawa ni watu muhimu sana katika familia na ustawi wake kwani huwapunguzia wanafamilia hasa baba na mama majukum ya nyumbani na kuwa na mawanda mapana ya kufanya shughuli zao za kiuchumi na maendeleo hata kama wana watoto nyumbani. Pamoja na...
Back
Top Bottom