Electrical Engineer Graduate natafuta kazi

Ha slaka

Member
Mar 14, 2018
18
13
Habari,

Rejea kichwa cha habari hapo juu. Nimemaliza Chuo mwaka 2020 , natafuta sehemu ya kufanya interniship ili niweze kupata uzoefu katika fani yangu.

Nina ufaulu mzuri wa masomo yangu ya engineering (Nina upper second class GPA) na nina ufahamu wa juu kuhusu:-

1. PLC programming, Installation and troubleshooting.

2. Installation and troubleshooting of Industrial Data Communications such as RS 485, Fiber Optics, HART, Profibus, Profinet, Modbus, Ethernet/IP.

3. Troubleshooting and calibration of Industrial Instrument devices such as Pressure, Temperature, Level, Flow.

4. Knowledge of VFDs, VSDs and PID controllers.

5. Motor maintenance and troubleshooting.

Na nipo tayari kujifunza na kufanya kazi kwa bidii.

Kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia kwa namna moja au nyingine naomba anisaidie ili niweze kupata internship.

Namba ya simu. +255 676 957 955
 
Hongera sana kwa hizo skills ulizonazo, inaonekana ulikuwa unapenda kujisomea maana sidhani kama kuna chuo kinafundisha hizo skills. Wakuu watakuja kukusaidia kupata hiyo kazi. Mungu akutangulie.
 
Habari,

Rejea kichwa cha habari hapo juu. Nimemaliza Chuo mwaka 2020 , natafuta sehemu ya kufanya interniship ili niweze kupata uzoefu katika fani yangu.

Nina ufaulu mzuri wa masomo yangu ya engineering (Nina upper second class GPA) na nina ufahamu wa juu kuhusu:-

1. PLC programming, Installation and troubleshooting.

2. Installation and troubleshooting of Industrial Data Communications such as RS 485, Fiber Optics, HART, Profibus, Profinet, Modbus, Ethernet/IP.

3. Troubleshooting and calibration of Industrial Instrument devices such as Pressure, Temperature, Level, Flow.

4. Knowledge of VFDs, VSDs and PID controllers.

5. Motor maintenance and troubleshooting.

Na nipo tayari kujifunza na kufanya kazi kwa bidii.

Kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia kwa namna moja au nyingine naomba anisaidie ili niweze kupata internship.

Namba ya simu. +255 676 957 955
Mkuu huku mtaani kazi zetu ni wiring na kurekebisha shoti za umeme tu. Sasa sijui kama tutaweza kukuajiri
 
Habari,

Rejea kichwa cha habari hapo juu. Nimemaliza Chuo mwaka 2020 , natafuta sehemu ya kufanya interniship ili niweze kupata uzoefu katika fani yangu.

Nina ufaulu mzuri wa masomo yangu ya engineering (Nina upper second class GPA) na nina ufahamu wa juu kuhusu:-

1. PLC programming, Installation and troubleshooting.

2. Installation and troubleshooting of Industrial Data Communications such as RS 485, Fiber Optics, HART, Profibus, Profinet, Modbus, Ethernet/IP.

3. Troubleshooting and calibration of Industrial Instrument devices such as Pressure, Temperature, Level, Flow.

4. Knowledge of VFDs, VSDs and PID controllers.

5. Motor maintenance and troubleshooting.

Na nipo tayari kujifunza na kufanya kazi kwa bidii.

Kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia kwa namna moja au nyingine naomba anisaidie ili niweze kupata internship.

Namba ya simu. +255 676 957 955
Good Evening Good People

I am Looking for an Electrician to work with Super meals ASAP

Experience at least 3 practical years, Having VETA Certificates is an Added advantage

Please apply through hr@coolblue.co.tz

Deadline 20/07/2021
 
Ili ujiajiri mwenyewe unataka vifaa gani na shughuli zipi utafanya?
Kwangu Mimi ili niweze kujiajiri nahitaji mambo makuu matatu.
1. Practical experience ya hicho nachotaka kufanya. Mimi ni bado ni Graduate sina hiyo practical experience.
2. Capital. Hii inajieleza sana.
3. Connection za kazi. Hii huwa inakuja automatic baada ya watu kukuamini kwamba unaweza kufanya kazi.

Kwahio swala la kujiajiri kwa sasa si rahisi sana ingawa ni matarajio yangu ya mbeleni.
 
Kwa hiyo unataka kuniambia hapo ulipo ukipewa mtaji huwezi kujiajiri kwa sababu bado ni graduate?

Swali la pili: Hujui kuwa dunia ya sasa inakuhitaji graduate uwe na project yako japo ndogo na watu wakuone wakupe kazi au kukuongezea mtaji badala ya kuajiri mtu kuja kufanya Mazoezi?

Swali la tatu: Mda ulipokuwa feald haukujifunza kitu na kutoka ukiwa vizuri kwenye Jambo fulani?

Swali la mwisho: Huoni Sasa Yale ulioandika kuwa unaweza kufanya ukweli ni kwamba huwezi na unagusagusa tu ?
Hitimisho vipi tunaweza kukuamini katika hayo uliosema uko vizuri ikiwa hata huwezi kujiajiri ukianza na kidogo.
 
Nakushauri utafute a very big & mechanized company ambayo kitengo cha umeme kinaongozwa na foreigner (ikiwa mzungu ni nzuri zaidi). Omba appointment na mkuu wa hiyo idara tajwa hapo juu (usiende kinyonge, wala kuomba ukionyesha unataka huruma ya mtu kupata hiyo appointment). Ukipata nafasi ya kuonana nae muelezee hitaji lako huku ukijaribu kushowcase uwezo wako hata kama bado ni immature (inaweza ikawa hata ni kwa kuonyesha viproject fulani vya kujifunza ulivyovifanya au unavyovifanya). Onyesha kwamba uko willing kujifunza, kuinvest muda na nguvu zako kufanya kazi kwa bidii sana even with no payment. Onyesha kuwa una nia ya dhati ya kuonyesha uwezo wako kama utapewa nafasi.

NB:
Kukushauri mkuu wa kitengo awe mzungu hakuna lengo la ubaguzi ila ni kwa kukusaidia tu kutopoteza muda endapo hakutakuwa na willingness ya kukubaliwa ombi lako. Kwa asili sisi wabongo tuna uswahili wa kutiana moyo kiuongouongo, ukimpa mtu kisogo basi na habari yako ndo imeisha hapohapo wakati mwenyewe bado una matumaini makubwa sana na ahadi hewa uliyopewa.

I wish you all the best
 
Ila wahindi ndio wanaviwanda vingi bongo. Naona hijawataja wahindi na warabu ambao wanamiliki 3/4 ya viwanda.
 
Kwa hiyo unataka kuniambia hapo ulipo ukipewa mtaji huwezi kujiajiri kwa sababu bado ni graduate?

Swali la pili: Hujui kuwa dunia ya sasa inakuhitaji graduate uwe na project yako japo ndogo na watu wakuone wakupe kazi au kukuongezea mtaji badala ya kuajiri mtu kuja kufanya Mazoezi?

Swali la tatu: Mda ulipokuwa feald haukujifunza kitu na kutoka ukiwa vizuri kwenye Jambo fulani?

Swali la mwisho: Huoni Sasa Yale ulioandika kuwa unaweza kufanya ukweli ni kwamba huwezi na unagusagusa tu ?
Hitimisho vipi tunaweza kukuamini katika hayo uliosema uko vizuri ikiwa hata huwezi kujiajiri ukianza na kidogo.
Mkuu hivi vitu vinahitaji mtu aliye na experience ya kutosha ili kufanya kazi, akiwa hana experience lazima afanye kazi chini ya usimamizi. Mistake moja ya programming inaweza kuharibu kiwanda kizima na kuua watu. Si vitu vya kubahatisha.

Kuhusu project, nilishafanya project nyingi na nyingine nilikuwa nawafanyia wanafunzi wenzangu toka nipo mwaka wa pili na mpaka sasa naendelea kufanya simulation za PLC programming and high perfomance HMI designing na ndio maana nikasema kwenye hivyo vitu nipo vizur ila sina experience.

Kitu kingine ambacho pengine labda haujafaham ni kwamba ili upate practical experience ya hivyo vitu lazima uwe navyo na Mimi sina uwezo wa kununua kwasababu vinacost pesa nyingi kwahio naishia kufanya simulations. Na kuhusu project za wanafunzi wenzangu nilikuwa natumia Microcontroller ambayo Nina uwezo wa kuinunua.
 
Nakushauri utafute a very big & mechanized company ambayo kitengo cha umeme kinaongozwa na foreigner (ikiwa mzungu ni nzuri zaidi). Omba appointment na mkuu wa hiyo idara tajwa hapo juu (usiende kinyonge, wala kuomba ukionyesha unataka huruma ya mtu kupata hiyo appointment). Ukipata nafasi ya kuonana nae muelezee hitaji lako huku ukijaribu kushowcase uwezo wako hata kama bado ni immature (inaweza ikawa hata ni kwa kuonyesha viproject fulani vya kujifunza ulivyovifanya au unavyovifanya). Onyesha kwamba uko willing kujifunza, kuinvest muda na nguvu zako kufanya kazi kwa bidii sana even with no payment. Onyesha kuwa una nia ya dhati ya kuonyesha uwezo wako kama utapewa nafasi.

NB:
Kukushauri mkuu wa kitengo awe mzungu hakuna lengo la ubaguzi ila ni kwa kukusaidia tu kutopoteza muda endapo hakutakuwa na willingness ya kukubaliwa ombi lako. Kwa asili sisi wabongo tuna uswahili wa kutiana moyo kiuongouongo, ukimpa mtu kisogo basi na habari yako ndo imeisha hapohapo wakati mwenyewe bado una matumaini makubwa sana na ahadi hewa uliyopewa.

I wish you all the best
Shukrani sana Mkuu kwa ushauri wako, nitaanza kuufanyia kazi sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom