Natafuta kazi mashambani na viwandani

masause

Member
Sep 20, 2018
52
97
Habari wakuu Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27 nipo dar
Kwa miaka 10 sasa nimekuwa nikijishughulisha na Kazi za ukarani (tally clerk),operation manager, c&f agent na mtunza kumbukumbu za maghala katika makampuni mbali mbali

Kutokana na mifumo ya Kazi nilizowahi kufanya nimekuwa bado siwezi kidhi mahitaji Yangu Kwa wakati ,hivyo kutokana na uzoefu nilonao ninaomba Kazi zinazofanana na nilizoorodhesha hapo juu au ninaomba Kazi yoyote ile yenye kuniwezesha kupata mahitaji ya kila siku
-kama itakuwa ya shamba iwe ni
1_kulima
2_kupalilia
3_kuvuna
4_kumwagilia
5_kusimamia mifugo
6_kusimamia shughuli za shambani

Kama itakuwa viwandani
I we
1_stuffing
2_distuffing
3_loading
4_offloading
5_tallying
6_supervision
7_weighbridge clerk
8_cargo inspection
9_warehouse keeping
10_store keeper

Na kwa vile sina ajira yoyote Kwa sasa Npo tayari Kwa Kazi yoyote ile na katika mazingira yoyote
Ndani ya Tanzania mkoa wowote
Namba ya simu yangu ni 0684738720
 
usisahau kuleta mrejesho
 
kuna kazi ya kuhudumui shamba na mifigo Moshi ---0717157640
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom