kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Miss Zomboko

    Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya

    Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba, amesema jambo hilo tayari limefika...
  2. Hamayser hamisi

    Jinsi matangazo ya kazi katika Halmashauri za Tanzania yanavyowanyima fursa vijana waishio vijijini

    Tumaini langu mko salama, kunachangamoto kubwa sana kwa vijana wanaoishi kijiji kupoteza fursa za kazi ambazo Halmashauri huwa wanazitangaza, matangazo haya mara nyingi huwa hayawafikii vijana hawa mara nyingi fursa hizi ufaidika vijana waoshio makao makuu ya Halmashauri. Hii kutoka na miundo...
  3. pista

    Natafuta kazi kwa yeyote mwenye ofisi au kampuni

  4. Analogia Malenga

    Ujerumani yakubali kurudisha kazi za sanaa zilizoibwa Nigeria

    Serikali za Nigeria na Ujerumani zimekubaliana muda wa mwisho wa kurejesha vinyago vya kuchingwa vilivyoibiwa kutoka nchini Nigeria. Waziri wa habari na utamaduni wa Nigeria ameyasema hayo katika mkutano wa waandishi wa habari mjini Lagos, uliolenga kuwafahamisha Wanigeria ni wapi zipofikia...
  5. MAHANJU

    Hivi Bunge la Tanzania linafanya kazi gani hasa?

    Tunapojiita kua tuna bunge badala ya kufanya kazi ya kuishauri na kuisimamia serikali badala yake linafanya kazi ya kuitetea serikali ni hasara kwa taifa kupoteza mabilioni ya shilingi kuwalipa mishahara. Mmekaa mnapitisha tozo ambazo ni maumivu kwa Watanzania tena kwa kishindo mnagonga meza...
  6. dubu

    Mwanza: Polisi wazuia Kongamano la Katiba Mpya

    Polisi wa Nyakato Mwanza, wamezua kongamano la Katiba mpya kwa Sababu walioandaa Kongamano kawajatoa taarifa Polisi. Hivyo likifanyika bila kibali cha Polisi litakuwa ni batili.
  7. El ohinu

    Ndege zilizonunuliwa na Hayati Dkt. Magufuli zina kazi gani?

    Habari wakuu, Nauliza zile ndege zilizonunuliwa kwa mbwembwe na kejeli nyingi kwa wapinzani kwamba ni wapingaji Ndege ambazo CAG alisema hazjawahi kuingza faida ila hasara tu maana yake znaendeshwa kwa pesa ya mlipa kodi wa miamala ya simu nk Ndege hizi zmetengenezwa kwa matumizi ya...
  8. KIDTVTC

    Kazi ya mauzo, usambazaji na kufanya kazi za Stationary

    Tunahitaji yeyote mwenye uzoefu na kazi za staionary. Awe na uwezo wa kutumia computer hususani program zote za machapisho. Awe mzuri wa kutumia internet Aweze pia kuandaa na ku post matangazo mtandaoni. Awe na uwezo wa kusimamia kitengo cha mafunzo ya computer na kufanya digital markert na...
  9. S

    Mapolisi msiikumbatie CCM, fuateni sheria na weledi mliofundishwa -Wananchi watawaelewa hata mkifukuzwa kazi

    Polisi muache kujipitisha kwa kuikumbatia CCM hata mnafika kuvunja sheria ,mkae mkijua kikinuka Miccm haitawasaidia kitu na watakaa mbali sana na nyinyi,mnamuona Sabaya? Mnawaona wale mapolisi ambao miezi michache walitesa watu kule Zanzibar na kuwagaragaza ,waliokuwa wakilindwa (CCM) wote...
  10. H

    Elimu na harakati za kijana

    Elimu ni muhimu Sana ndiyo kauli ambayo ipo katika vichwa vya watu wengi ikiwemo watanzania Ili elimu iwe na Tija kwa kijana ni pale anapoitumia elimu yake katika harakati anazifanya kila siku. Kwa Sasa elimu ya Tanzania inapoteza sofa ya kuwa na uzito uke uliokuwepo mwanzo. Chanzo:Google...
  11. Tujisahihishe Tz

    Natafuta kazi nijikimu kimaisha

    Wadau kwema. Kijana wenu natafuta kazi niweze kujikimu kimaisha, nina hali mbaya sana kiuchumu hali ambayo inaniletea msongo wa mawazo kufikia hatua ya kuwaza mambo mabaya.. Kazi nazoweza kufanya Kazi ya sales Storekeeper Kusaidia fundi. Kazi ya kusimamia mradi Kazi ya usafi Na kazi nyinginezo...
  12. LellozWho

    Mungu alishamaliza kazi yake

    Sina maana yoyote juu ya kupotosha imani ya mtu. Umegundua mwisho wa kutafakari bila majibu ni Mungu anafuata? Tumwachie Mungu Mungu atatenda Nk.. Ulistukaga anatajwa wakati unakwepa jukumu lako!? Mfano: Huna kazi. Wanatuambia tumwombe atupatie ajira. Lakini ukweli ni mmoja tu. “MUNGU...
  13. A

    SoC01 Mapendekezo ili Kupunguza vitendo vya unyanyasaji kwa wadada wa kazi za ndani (House Girls)

    Habari wanajukwaa Tumeskia vitendo vya kuogofya vya wadada wa ndani, kuumiza hadi kuua Watoto, ushirikina n.k. Ila pia Kumekua na Habari nyingi za vitendo vya unyanyasaji vya wafanya kazi wa ndani, wengi wanapewa kazi nyingi, maslahi hafifu, kupewa mimba na ma boss wao kisha kukataliwa hizo...
  14. R

    Tuliwambia hii Nchi bila wapinzani kuitetea ni kazi bure. Mmeona wenyewe. Msilie sasa kaeni kwa kutulia.

    Ni miaka mingi sana wapinzani tumekuwa tukipigania maslahi ya taifa kwa udi na uvumba. Kwa miaka yote tumekuwa na matokeo chanya ikiwemo kuzipinga bajeti nyonyaji kwa wananchi. Ilifika mahali bajeti pendekezwa za Mbadala kutoka kambi ya upinzani Bungeni zinachanwachanwa kwenye makamera ili...
  15. ommytk

    Hivi kuna mtu anaishi maisha na kazi ya ndoto yake hapa Tanzania

    Hivi kwa Africa kweli kuna mtu anaishi kwenye ndoto zake yaani kama ulikuwa unatamani kuwa pilot ukawa pailot. Sijui hii ipo kweli mimi nilikuwa nandoto kuwa kapteni wa meli daah nikikumbuka hii ndoto wakati namuona mjomba zamani akija nyumbani basi nikawa nasema mimi nitakuwa kama wewe...
  16. Miss Zomboko

    Mahakama yaamuru Safaricom kumlipa jamaa kipofu KSh6M kwa kumnyima kazi

    Mahakama Kuu jijini Nairobi imeamuru kampuni ya mawasiliano ya Safaricom kumlipa mwanamume kipofu KSh 6 milioni kwa kukosa kumuajiri. Wilson Macharia alituzwa kima hicho cha pesa baada ya kushtaki Safaricom kwa kile alitaja kama kukiukwa kwa haki zake. Macharia alisema alinyimwa nafasi ya...
  17. David M Mrope

    Umakini katika kazi ni bora zaidi ya ubunifu

    🌺Hivi ulishawahi kuwaza kama inawezekana kwa muuza genge la nyanya, vitunguu, kabichi n.k akapata mafanikio zaidi ya mwenye duka hata la nguo au lingine lenye hadhi kubwa? 🌺Hapa ishu ni umakini. Katika kile kidogo ulichonacho kama utajitahidi kukipa umakini mkubwa unaweza ukawazidi wengi wenye...
  18. Jamii Opportunities

    Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba

  19. Jamii Opportunities

    Nafasi ya Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo

  20. M

    Natafuta kazi mashambani na viwandani

    Habari wakuu Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27 nipo dar Kwa miaka 10 sasa nimekuwa nikijishughulisha na Kazi za ukarani (tally clerk),operation manager, c&f agent na mtunza kumbukumbu za maghala katika makampuni mbali mbali Kutokana na mifumo ya Kazi nilizowahi kufanya nimekuwa...
Back
Top Bottom