kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Tindo

    Waziri Mkuu Majaliwa huu ni mwezi wa nane SGR kipande cha Dar-Moro kinaanza kazi lini?

    Kama uzi huu Safari za Treni ya Mwendokasi kuanza Agosti mwaka huu, 2021 unavyojionyesha, Waziri Mkuu alisema mwezi huu wa nane SGR kipande cha Dar-Moro kitaanza kazi. Je ni tarehe ngapi treni hiyo itaanza kazi? Badala ya serikali kujifichia kwenye kesi za kubambikiziana, watuonyeshe...
  2. YEHODAYA

    Kazi unazoweza kupata haraka ukifika Marekani

    Ukifika marekani sikiliza kazi unazoweza pata haraka
  3. Shujaa Mwendazake

    Aliyesimamishwa kazi asema video zilizosambaa zikionyesha hakuchomwa chanjo ya Covid-19 zimechezewa

    Arusha. Mkuu wa idara elimu msingi halmashauri ya Jiji la Arusha, Omary Kwesiga amesema ameshangazwa kusimamishwa kazi akidaiwa kufanya igizo la kuchomwa chanjo ya ugonjwa wa Covid-19 . Amesema picha za video zinazosambaa katika mitandao ya kijamii zikionyesha kuwa hakuchomwa chanjo hiyo...
  4. A

    Kilichomfukuzisha kazi Maulidi Kitenge Wasafi FM chajulikana

    Wadau, kichwa cha habari chajieleza. Mtangazaji Maulidi Kitenge hajaondoka Wasafi FM Radio bali amefurushwa kwa sababu ya safari zake za mara kwa mara nje ya nchi, hususan nchini Marekani. Kwa mujibu wa chanzo cha ndani kutoka Wasafi FM, Maulidi Kitenge amekuwa akienda nchini Marekani kwa mwaka...
  5. Sinanjema

    Nina Shahada katika masuala ya TEHAMA, natafuta kazi

    Habarini za asubuhi watu wote wa humu ndani. Mimi ni mdogo wenu nimejitokeza mbele yenu kuomba ajira yoyote itakayoniwezesha kupatapa kipato halali. Elimu yangu ni degree katika maswala ya TEHAMA. Nipo tayari kufanya kazi mahali popote ndani na nje ya Tanzania.
  6. Shangchi

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Chanika nguvu kazi

    Habari wanajf kiwanja kinauzwa maeneo ya chanika nguvu kazi,upande ule wa pili wa hospital karibu na mjasiriamali (mfugaji wa kuku) Mwendo wa nusu saa kutoka barabarani Urefu 70 upana 35 Bei ni 4.5 milion Hati bado haijalipiwa 0786180342 Note:mimi sio dalali bali mwanafamilia
  7. May Day

    Mnaofikiria kufanya kazi na Manara baada ya haya mjiulize mara mbili. Anachowafanyia Simba nanyi atawafanyia

    Waswahili wana usemi '"Jasiri haachi asili" hivyo wanachopitia Simba kwa sasa kupitia aliyekuwa anafanya kazi hapo ni fundisho tosha kuwa mkae nae kwa tahadhari kwani si Mtu wa staha. Mtu aliye tayari mpoteze yote mliyofikia kwa kuwa tu maslahi yake yamevurugika ni Mtu Mbaya na Msaliti. Manara...
  8. U

    Wapwaa! idea ni kazi au kazi ni idea ?

    Wakuu! nipo jiji la Makalla ,naeza fanya kazi yoyote inayohitaji IDEA(s) ili kazi ifanyike Nina ka-bachelor ka Philosophy with education (specialized in Philosophy and Linguistics) Tuinuane kwa lolote wakuu! iwe ni wazo la kupambana kitaa au connection etc
  9. malunde_mc

    Natafuta Kazi

    Natafuta kazi katika nyanja ya kilimo na mifugo nina Diploma ya General Agriculture wadau naomba msaada wenu.
  10. B

    Kufika Mahakamani ni Haki yetu, si kosa Kisheria

    Kamanda Muliro na kamanda Sirro mmeonekana mkitoa vitisho kinyume cha sheria: Vitisho hivi ni vya nini? Kesho tunakuja kwa amani kusikiliza kesi ya mmoja wetu. Tuna amini kila mtu mkiwamo nyie mtazingatia sheria za nchi. Tuna hata haja ya kutunishia misuli? Jambo moja la hakika, hatutakuwa...
  11. I

    Natafuta kazi ngumu

    Habarini wapendwa poleni na majukumu. MIMI NI KIJANA JINSIA YA KIUME MIAKA 27. Natafuka kazi ngumu kama kupakia vifusi kwenye magari kama mchanga mawe n.k Ujuzi nilionao : *kutengeneza masai sandals (viatu vya kimasai) *Pia ni operator wa excavator, wheel loader na buldozer TUSAIDIANE HATA...
  12. Meneja Wa Makampuni

    Utendaji wa NACTE ni wa polepole sana, Waziri wa Elimu shughulikia hilo

    Barua ya Wazi kwa Waziri wa Elimu kuhusu utendaji wa NACTE Kwako waziri wa elimu, Utendaji wa NACTE haulizishi kabisa. Watoto wetu wanafuatilia AVN ili waweze kuapply vyuo vikuu hawapewi. Kama watendaji wa NACTE wanakuwa wazembe kiasi hicho kwanini msibadirishe na kuweka watu wengine...
  13. N

    Kama fundi anakosa kazi mkoani mshauri aje Dodoma

    Kuna fursa nyingi Sana za kazi dodoma kwa mafundi Kuna uhaba wa mafundi kila Kona ujenzi unaendelea hivyo Ni wazi kuwa fundi akiwa serious hakosi kazi. Unakuta fundi analalamika kuwa kazi siku hizi zimekuwa ngumu kumbe ye alichokosea Ni kwamba hayupo mahali sahihi.kwa ujenzi kwa kweli dodoma...
  14. I

    Operator wa excavator, wheel loader na bulldozer anatafuta kazi

    Poleni na majukumu. Mimi ni operator mwenye uzoefu kazini zaidi ya miaka 3. Kuna baadhi ya miradi nilifanya kazi Kama operator wa excavator sehem nyingine Kama operator wa bulldozer na sehem nyingine Kama operator wheel loader. Licha ya kuwa operator bado nina uwezo wa kufanya matengenezo...
  15. K

    Anataka Kuachana na Ualimu kwa ajili ya Kazi hii

    Wasalaam. Nina mdogo wangu hapa, ni mwajiriwa wa Serikali mwalimu sekondari kazi aliyoifanya karibia miaka 6 na juzi kapanda hadi daraja. Aliomba kazi UKaid na wamemwita kwenye interview mshahara ni 1m+, kwenye ualimu bado hajafikia hiyo pesa. Unamshauri nini? Aachane na hii ya serikali?
  16. Palamana Ntweko

    Nafasi za kazi kwa Watumishi wa Umma anaetaka kuhamia kufanya kazi katika Chuo Cha Utalii (NCT)- DSM

    Nafasi za kazi kwa Watumishi wa Umma wanaotaka kuhamia kufanya kazi katika Chuo Cha Utalii (NCT) Dar es salaam Kwa Mtumishi wa Umma anaehitaji kuhamia chuo cha Taifa cha Utalii kwa nafasi ya Mhasibu au Mkaguzi wa Ndani pls aje inbox 📨
  17. Ene magari

    Dereva wa Uber na Bolt natafuta gari la mkataba

    Kwa jina Naitwa Ernest ni dereva Uber na Bolt mwenye uzoefu katika kazii hii nina leseni yenye madaraja yote nilikuwa natafutaa Gari ya kazi iwe yenye private namba Au commercial kwa ajili ya kazi ' Kwa mawasailiano zaidi Ernest : +255628729873 Naomba ushirikiano wenu
  18. Africanism

    Afisa muuguzi II natafuta kazi au kujitolea

    Habari za wakati huu wanajamii? Mimi ni muuguzi, jinsia Me, umri miaka 25, naishi Bunju ,Dar es salaam nina leseni ya uuguzi, nina uzoefu wa kazi hii ya uuguzi wa mwaka mmoja. Naomba connection ya kazi kwenye hospitali, au kwenye mashirika ya Afya ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali au...
  19. Planeti

    Wakuu nawezaje kupata kazi ya CASINO hapa Dar

    Ndugu zangu maisha kwa kijana mimi yamekuwa changamoto. Natamani nirudishe mpira kwa kipa lakini imani inanijia kesho ni bora kuliko leo. Nisikate tamaa. Najua ni wengi tunapita katika kipindi kigumu, tupige moyo konde tusije jiingiza kwenye dili haramu tukajikuta kwny mikono salama.. Nimekaa...
Back
Top Bottom