Kumuacha Mke kwaajili ya kazi au kuacha kazi kwaajili ya Mke?

Sidhani kama kuna mazingira ya hivyo? Kwamba hutakiwi kuoa kwaajili ya kazi? Sema vizuri tukushauri kwa hivi hutopata ushauri mzuri
 
Hahaa ha kaka umeua, yani hua wanaongea hivyo hivyo. Tehee he afu ukue kana degree afu kanavaa miwani kichwani wigi na kope bandia
Ngoja feminists waje wakushambulie hapa.

Utasikia wazee wangu wameangaika kunisomesha miaka yote Leo hii kamtu From nowhere aniambie niaache kaz
 
Ila ni kweli japo jamaa kachomekea nje ya mada kidogo ila mafeminist hua mnahulka ya kujibu kama alivyosema jamaa. Niongeze tu pia mafeminist ni mabinafsi KWA KIWANGO CHA PHD. Chanu chenu cha mume cha wote niongezee pia mnakwepa majukumu yenu ya nyumbani sijui hata hao wanaume wanawezaje kuishi na mijitu toxic kama wanaharakati mafeminist no wonder asilimia kubwa hawajaolewa.
Soma post vizuri bwana, mbona unatusimanga wanawake.

Ameuliza je aache yeye me kazi kwaajili ya mkewe? Au aache make kwaajili ya kazi?
 
Ila ni kweli japo jamaa kachomekea nje ya mada kidogo ila mafeminist hua mnahulka ya kujibu kama alivyosema jamaa. Niongeze tu pia mafeminist ni mabinafsi KWA KIWANGO CHA PHD. Chanu chenu cha mume cha wote niongezee pia mnakwepa majukumu yenu ya nyumbani sijui hata hao wanaume wanawezaje kuishi na mijitu toxic kama wanaharakati mafeminist no wonder asilimia kubwa hawajaolewa.
99.99999999% ya feminist hawajaolewa na hawaoleki
 
Hakuna cha kuacha hapo.

Ila kama kazi umepangiwa mbali na nyumban.

Ww nenda, fanya kazi Papaa.

Aftermath baada ya hapo ni majaliwa.

Kwasababu inazingatia uaminifu wa wote wawili mke na mume.

Ila kama umeshaoa na umepata kaz mbali na unawaza hivi, ww ndio utaanza kuwa tatizo.

Kila la kheri....
 
Back
Top Bottom