Ukiwa single kazi sana kupata mpenzi mpya

yuda75

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
492
1,000
Habarini wadau

Tokea nimekuwa single imekuwa kazi kweli kupata mpenzi mpya, kila napojaribu naona bila bila bila bila. Tumia nguvu ya pesa wapi ila nilivyo kuwa na mpenzi wengi walinishobokea nikatulia.

Ila hawa alaaniwe alimpotosha sana Adam na Delila alaniwe alimtesa sana Samson
 

George Barran

JF-Expert Member
Sep 2, 2015
353
1,000
Nakumbuka Kama miaka mi4 nyuma Kuna manzi alinizinguaga na tulikuwa kweny mahusiano Kam miaka miwil hiv aisee niliisoma namba Kila napogusa hola Hadi wale ambao co type na unajua kabs nikiingia hapa hachomoi lakin wap nikajipa mda kdgo nikatulia baad y mda kdgo niliwapga San mbupu hope mda mkuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom