Natafuta kazi nina Diploma ya Komputa na Teknolojia ya Habari

sekmic

Member
Nov 25, 2021
5
2
Habari Ndugu Zangu,

Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 24 nina ishi mkoa wa Dar es salaam.

Nilihitimu masomo yangu katika ngazi ya Diploma ya Komputa na Teknolojia ya Habari (Diploma in Computing and Information Technology) katika chuo xx.
Pia nina mafunzo na kuhitimu Kwa kuwa na professional certificates CISCO na CCNA.

Nina uzoefu wa maeneo kadhaa niliyowahi kufanya kazi,
Niliwahi kufanya kazi Mkoa xx kama BVR kit operator.

Niliwahi kufundisha College xx kama Mwalimu wa somo la Komputa.

Niliwahi kufanya kazi katika kampuni xx kama IT technician supporter.

Niliwahi kufanya kazi katika kampuni xx as a Network operator.

Kama nitaweza kupata kazi iliyo ndani ya taaluma yangu au hata iliyo nje ya taaluma yangu Nitashukuru Sana.
Asanteni Sana.
 
Kwa yeyote anaetafuta kazi yoyote ya kihalali na yupo tayari kujifunza awasiliane nami, naitwa Abdul Ghafur 0625249605.
Mimi ni msimamizi wa taasisi mpya iliolenga kuwezeshana (empowerment) watu kujipatia kipato cha halali.
Hakuna njia ya mkato katika kujipatia ajira au kujiajiri kihalali. Dunia inatoa fursa haitoi mafanikio. Mafanikio utajiletea mwenyewe baada ya kuziona na kuzitambua fursa.

Tupo Kibaha, Mkoa wa Pwani.
Huyu mtu ni tapeli.Kuweni makini sana! Anateka watu anawafungia ndani jela ndogo kubeba zege na tofali kama watumwa
 
Habari Ndugu Zangu,

Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 24 nina ishi mkoa wa Dar es salaam.

Nilihitimu masomo yangu katika ngazi ya Diploma ya Komputa na Teknolojia ya Habari (Diploma in Computing and Information Technology) katika chuo xx.
Pia nina mafunzo na kuhitimu Kwa kuwa na professional certificates CISCO na CCNA.

Nina uzoefu wa maeneo kadhaa niliyowahi kufanya kazi,
Niliwahi kufanya kazi Mkoa xx kama BVR kit operator.

Niliwahi kufundisha College xx kama Mwalimu wa somo la Komputa.

Niliwahi kufanya kazi katika kampuni xx kama IT technician supporter.

Niliwahi kufanya kazi katika kampuni xx as a Network operator.

Kama nitaweza kupata kazi iliyo ndani ya taaluma yangu au hata iliyo nje ya taaluma yangu Nitashukuru Sana.
Asanteni Sana.
bado unahitaji kazi?
Nitumie CV yako au tuwasiliane 0717157640
 
Tuna nafsi ya markerting cum customer care -Moshi institute of Technology
kama una interest tuwasiliane au tuma cv whatsap 0717157640
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom