Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 31,824
- 33,209
Nilikuwa nawasikiliza wazee fulani kwenye mjadala wao hapa mijini, wanashangaa maamuzi ya kujenga ofisi za Halimashauri ya Iringa Vijijini huko Ihemi, yaani kilomita 155 toka Mtera na kilometa 130 kutoka Ruaha Mbuyuni, ikimaanisha wananchi kutoka maeneo hayo mawili Mtera na Ruahambuyuni watasafiri mpaka Igumbilo, kisha wapande mabasi kwenda Ihemi, na wale wa Mtera watapanda bus kwa utaratibu huohuo kitu ambacho siyo rafiki kwa muda hata uchumi