Processor inafanyaje kazi

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,118
3,004
Habar wadau mdogo wenu leo nimeshuka chini kidogo upande wa hardware ili nijue processor inafanyaje kazi na sio kuandika tu program kila siku bila kujua huko chine kukoje

mm sijaja kuwasumbua humu wakuu nimehangaika sana nimesoma sana lakini kuna maeneo nimeyaelewa ila baadhi ya maeneo nimetoka kapa yaani zero kabisa

COMPONENTS ZA PROCESSOR
CONTROL UNIT
ALU
REGISTER

ALU ni almost km nimeielewa vile shida ipo kwa hao wengine nimesoma mpaka videos na tutorial lkn nimetoka kapa nahisi kuna sehemu ndogo sijaelewa na apo ndipo shida ilipo hope humu kuna mdau atanitoa tu

TUANZE TARATIBU KABISA ILI TWENDE SAWA
1.BINARY
kwanza kila mtu inabidi aelewe kuwa computer haitambui namba wala herufi yoyote unayo type kwenye keyboard yenyewe inatambua 0 ma 1
balaa linaanzia hapo nikajitahid kusoma nikaelewa baadhi ya vitu FUNGUA HII LINK ASCII - Wikipedia

Maswali ya kujiuliza kwanza km herufi au leter pia zina binary computer itawezaje kujua hii ni herufi na hii ni number

2.CONTROL UNIT
fetch and decode data hii process mm siielewi kabisa km kuna mtu ana mfano hai anielekeze

3. ALU
Excute hii process kidogo naielewa lkn shida ipo kwenye jibu jibu likipatikana si linakuwa ni binary sasa computer inafanyaje ili kuligeuza liwe namba

twenden taratibu wadau mwenzenu nimegota hapo
maana kuna vitu km
[C [rpgram counter
MAR memory address register
MDR memory data register

ma mambo mengine mengine kibao yamenishinda

Screenshot (66).png


Screenshot (65).png


Screenshot (64).png


Screenshot (63).png


Screenshot (62).png


Screenshot (61).png


Screenshot (60).png


Screenshot (59).png


Screenshot (58).png


Screenshot (57).png


Screenshot (56).png


Screenshot (55).png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom