kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkandarasi wa SGR ametoa majina wanaopunguzwa kazi, Serikali isaidie tupate haki zetu tunaopunguzwa

    Leo tarehe 21 mwezi wa 11 kumefanyika Kikao cha Wafanyakazi wanaojenga Mradi wa SGR na Maafisa Rasilimali Watu wa Kampuni ya Yapi Merkezi ambaye ni Mkandarasi Mkuu wa Mradi huo, hakuna muafaka ambao tumeufikiwa kati yetu. Kikubwa ambacho tumezungumza ni kuwa Wao wametoa orodha ya majina ya...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyatta: Serikali chapeni kazi msilaumu utawala uliopita

    Rais Mstaafu wa kenya Uhuru Kenyatta, ameiambia serikali iliyoko madarakani iache kuulaumu utawala wake kwa kushindwa kutimiza malengo iliyowaahidi Wakenya. Uhuru amesema serikali ya rais William Ruto inapaswa kushughulikia matatizo yanayowakabili Wakenya badala ya kutafuta sababu zisizo na...
  3. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Ni kweli imani katika Neno la Mungu inafanya kazi? Tupe ushuhuda wako!

    Hakikisha una uhakika na ushuhuda wenyewe, kwamba: 1. Umekutokea wewe binafsi, Au 2. Umeushuhudia kwa mtu mwingine, Au 3. Umesimuliwa na mtu ambaye unaamini hakukuongopea. Karibu🙏🙏🙏
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Eng. Mwanaisha Ulenge atoa vipaumbele katika kazi zake za Kibunge

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga, Mhe. Mhandisi Mwanaisha Ng'anzi Ulenge amezungumzia vipaumbele vyake kama Mbunge anayewakilisha Wanawake wa UWT mwaka 2020-2025 Bungeni kutokea Mkoa wa Tanga. Mhe. Eng. Ulenge amesema kuwa katika kuwajibika kwake na licha ya kuusemea Mkoa wa Tanga kwa ujumla...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi aina yoyote

    Mambo vipi ndugu zangu wa JF mko vema kabisa na mnaendelea na mapambano. Ombi langu Natafuta kazi yoyote tu mimi ni kijana miaka 27 sina ujuzi wowote, napatikana Mara. Natumaini ntapata kazi, Asante 🙏
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu Tanzania wanafanya kazi nzuri sana wapongezwe, waombewe kwa Mungu

    Ni dhahiri na ukweli usiopingika, Dr.Samia Suluhu Hassan, Rais na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalamaTZ, na safu yake nzima ya viongozi serikalini. Wanaiongoza nchi kwa umahiri mkubwa, uwazi sana, weledi wa viwango, upendo, bidii na mapenzi ya dhati sana. Mipango yao inachochea...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya uhasibu katika taasisi yoyote

    Habari, Mimi ni kijana wa miaka 24 nimehitimu katika chuo cha uhasibu Dar es salaam kwa ngazi ya Degree (Degree in accountancy) kwa sasa napatikana Dar es Salaam. Natafuta kazi ya uhasibu katika taasisi yoyote.
  8. JORDAN GADI TWARINDWA

    JamiiForums Tanzania Sifa na kazi za Mchungaji wa kanisa, huduma au taasisi ya dini

    Zab 23:1-7, Mithali 3:1-4, Zab 1:1-3, 1Kor 2;6-15, Kut 3:1-9 ========================= Mchungaji aliyeokoka anayeongoza kundi au waumini, ni lazima awe na sifa zifuatazo: i. Awe mfano kwa tabia na mwenendo. ii. Asitamani mali za anasa zitakazo mtoa nje ya kusudi alilopewa. iii. Aepuke fedha...
  9. Mandela5599

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Meneja Mauzo

    Nina uzoefu wa miaka 5 katika mauzo ya Sola kwenye kampuni ya offgrid electric power maarufu kama Zola. Mpaka sasa nafanya kazi katika kampuni hiyo Nilianza kama afisa mauzo wa kawaida na badae sales leader Kitaaluma ni mwalimu kwa ngazi ya degree Kusimamia teams za mauzo na motivations kwa...
  10. Sheillah Sheillah

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi fundi kupiga picha kazi aliyopewa aifanye, na kuitumia kujitangaza bila makubaliano na mwenye kazi?

    Habari? Unamtafuta fundi kisha unampa kazi yako na unampa malipo yake kama mlivyokubaliana. Akimaliza kufanya kazi yako anaipiga picha na kuianika mitandaoni akijitangaza kwamba ni yeye kaifanya. Hapa mfano mkubwa ni fundi wa ujenzi, deco, kupaua ,rangi nk. Wanafanya kazi kisha wanapiga...
  11. Cybergates

    JamiiForums Tanzania Founder na aliekua CEO wa Open AI (chatGPT) Sam Altman amafukuzwa kazi na management

    Haya sasa Kumekucha huko marekani CEO wa chatgpt sama mda huu amafukuzwa kazi na management kwa kuonekana hayupo competent kwenye position ya uongozi ( CEO ) Ikumbukwe kwamba idea nzima ya chatGPT ilikua yake, development na programming amefanya yeye na rafiki zake Kiufupi amafukuzwa kwenye...
  12. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kazi ya ushonaji nguo

    Fundi mzuri wa kushona nguo za kiume na kike, anahitajika; akiwa ni wakike itakuwa vizuri zaidi. Malipo: 3000 kwa siku + 10% ya faida katika mauzo kwa mwezi Faida zingine: Chai ipo (free) Chakula cha mchana kipo (free) Eneo la kazi: Arusha au Moshi Kama una huo ujuzi; utakutanishwa na...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mtu akiacha kazi bila sababu utumishi wa umma kisheria anastahiki alipwe mafao yake?

    Habari wanajamvi nilikua nauliza je mtu akiacha kazi utumishi wa umma bila sababu yoyote na kutoa taarifa anastahili kulipwa mafao yake
  14. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania D Voice ndio future ya muziki wa bongo: Wasanii wa kibongo kazini kwao kuna kazi

    Msanii wa kizazi cha leo na kesho aliyetambulishwa recently na lebo namba moja Africa ya WCB Wasafi. Kwa jina anaitwa D Voice aka Jini aka London Boy au Temeke Boy. Huyu ndio future ya muziki wa bongo kwa ujumla. Ndio anaenda kuibeba mabegani industry ya muziki wa bongo ni suala la muda tu...
  15. T

    JamiiForums Tanzania CCM kabla ya uteuzi wa Makonda ilikuwa imelala na kibaya zaidi ilikubali kirahisi kupokwa kazi za siasa na Serikali

    Leadership is not about authoritative role we hold in an organisation,rather it is about the choice of actions we prefer to take. Donald McGannon Ndani ya muda mfupi tokea alipoteuliwa kuwa Katibu wa Nec itikadi na uenezi taifa,Ndugu Paul Christian Makonda ameweza kufanya mambo ambayo...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwamwaja: Ni 53.8% tu ya nguvu kazi ndio wanatumia Huduma rasmi za Fedha

    Kamishna wa Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Dkt. Charles Mwamwaja, akionesha Nyenzo ya Kufundishia Elimu ya Fedha, wakati wa mkutano na waandishi wa Habari ulioangazia Maadhimisho ya Wiki ya Huduma ya Fedha Kitaifa, uliofanyika jijini Dodoma. Serikali imekusudia kuhakikisha Wananchi wengi...
  17. mambo_safi

    JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kazi za ndani! Jamani wanapatikana wapi?

    Awe bado ni binti ambaye hana mambo mengi na ni Mkristo! Kama atakuwa kamaliza kidato cha nne itapendeza zaidi! Ndio nasema kidato cha nne kwasababu wengi unakuta wako nyumbani hawana issue mwisho wa siku wanaenda kuuza Baa au kudanga wapate hela ya kula. Kazi kuu itakuwa kuuza dukani! Akiamka...
  18. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli hii pisi iko bize na kazi haina muda kuwa nami au ndo nikatafute hela kwanza?

    Wakuu Umuofia, Kuna pisi nimeielewa kiaina nimejaribu kuiimbisha walau tuonane uso kwa macho. Lakini mara zote napata kizuizi kutoka kwa hii pisi. Mara zote pisi inadai iko bize sana kiasi hana muda kabisa wa kuonana namimi. Sasa nimerudi humu Jf kuwalilia wakuu wangu. Najua humu kuna...
  19. Endasak Masqaroda

    JamiiForums Tanzania Makonda anafanya maonesho kuliko kazi

    Moderator hamjanitendea haki uzi wangu kwenda kuunganisha na uzi wa Makonda atakuwa Waziri/Rais. Mada yangu ni tofauti. Naomba niulize swali kabla sijasahau. Je, CCM, kinyago walichokichonga wenyewe kimeanza kuwatisha? Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za nchini kwetu na kwa kiasi fulani, naona...
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Balozi Kilima: Asilimia 40 ya mabinti wa kazi wanaofanya kazi Oman wanatoka Kondoa

    Akizungumza katika mkutano wa Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus na Vyombo vya Habari leo tarehe 15 Novemba, 2023, kuhusu ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alizozifanya nchini Morocco na Saudi Arabia, Balozi Abdallah Abasi...
Back
Top Bottom