Ninaangalia game ya JKU ya Zanzibar VS Simba SC ya Tanganyika kwenye michuano ya Mapinduzi CUP kwenye Uwanja wa Amani huko Zanzibar.
Kwenye mechi hii kulikuwa na Aliyeitwa Mgeni rasmi, huyu ametajwa cheo chake kuwa ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mjini Magharibi.
Swali langu ni hili, hivi kazi...
Nakumbuka DPW baada ya vuta nikuvute walisaini mkataba wa kuanza kazi. Swali langu. Je wameishaanza kazi?. Kama wameanza kazi wametulipa dollar ngapi?. Na kama bado kuna tatizo gani?.
Uchumi wa USA in GDP ni 27 trillion USA na China ni 18 trillion
Raia wa USA 🇺🇸 ni 333 million na China ni 1.4 billion
China ana safari ndefu Sana kumpita USA na inaweza kufika miaka 100. Ameachwa gape kubwa Sana. Mimi natabiri labda EU lakini kwa China bado
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, natangaza nafasi za Ajira Mpya za Askari wa Uhamiaji kwa Vijana wa Kitanzania wenye sifa zifuatazo:-
1. SIFA ZA MWOMBAJI
i. Awe ni raia wa Tanzania;
ii. Awe...
Eebwa heri za sikukuu wazee.
Hawa watu huwa wanakera sanaa. Unakuta jitu ni linywaji lenzio ila likikukuta tu umetoa teni unachukua safari zako tatu linataka chenji iliyobaki umuagizie na yeye. Unaweza ukamkuta yeye bar na kashalewa ila akikuona tu unaagiza konyagi ile ya kati uipige tayari...
Habari wana Jamii.. Nilikua na omba kujua namna ya kupata connection ya kazi/ajira Kwenye Mashirika ya kimataifa kama vile UN,Unicef na kadhalika .. Nina Degree ya Account na CPA.
Shukran..
Mimi ni Mwalimu, nina diploma masomo ya chemistry na Biology uzoefu katika kufundisha ni miaka minne, nina uzoefu kwa primary schools kufundisha science and mathematics na secondary schools mwenye shule ama anaejua shule inayoitaji Mwalimu Tafadhali tushirikishane haswa shule za Arusha na...
Sichagui kazi kikubwa iwe ya halali
Umri: 23
Elimu form 4, diploma
Niko na uzoefu wa kuuza Duka la chakula kwa miaka 4. Pia, nina uwezo mzuri kuhusu mipango ya biashara na pia natoa ushauri wa kibiashara kwa mtaji kuanzia million moja.
0622998765
Mimi ni muhitimu wa degree ya IT na biashara niliyohitimu mwaka 2020 katika chuo kikuu mzumbe kampasi kuu morogoro, nina uzoefu na mambo ya IT. Ni mkazi wa dar es salaam.
Ninaomba mwenye fursa ya kunisaidia kupata kazi ya aina yoyote nipo tayari kuifanya naomba wakuu tusaidiane kwa...
Habari za muda huu ndugu zangu.
Napenda kuandika ujumbe huu kwenu kuomba MSAADA wa mawazo, pesa ama kazi.
Mm Ni kijana wa kiume( msukuma), mhitimu wa chuo, course ya bachelor of science in taxation(TRA tax officer). Nmemaliza mwaka huu Bado Niko hapa dar kuzunguka kujikwamua kiuchumi.
HISTORIA...
Salaaaam wanajamvi Natafuta chimbo la kuweza kupata upepo mwanana wa kiyiyozi (AC) hili joto la mjini SALIDARAMA balaaaaaaa feni haifui Dafu hata sekunde chimbo liwe reasonable unazuga zuga pale huko unapiga kazi zako...JUICE /LUNCH
Kuna maeneo yenye Highway kama barabara ya Kimara - Mbezi, gari ni nyingi na kun amakutano ya Temboni na Suka na kwa Msuguri taa haziwakagi basi ajali hutokea sana kwasababu ya Madereva kutojali makutano hayo.
Mamlaka naona haijawajibika ipasavyo, taa haziwaki kwa wiki nzima na wamekaa...
Inawezekana niamke asubuhi na kwenda Kariakoo ikiwa Sina ofisi yeyote hapo???? Udalali huwa unafanywaje jamani!
Kazi gani unaweza kuifanya pale Kariakoo kwaajili ya kukuingizia chochote kitu ikiwa huna duka, huna chochote?
Mimi NI kijana wa miaka 23
Nahitaji kazi yoyote halali either ya nguvu au akili au zote kwa pamoja nimemaliz form four na nikisoma diploma miaka 2 wa tatu nimeshindwa kutoka na changamoto za ada hivyo nimeipata certificate course insurance and Risk management
Na Nina uzoefu wa kuuza Duka kwa...
Kwanza nawashukuru sana watu wote mlionishauri, kunikosoa, kunikejeli na kunielimisha kwenye andiko langu la " NAOMBA KUSHAURIWA, KUELIMISHWA NA KUKOSOLEWA" asanteni sana.
Pili napenda kusema kutoka moyoni kwamba nimeamini na nina imani kuwa wafrika itatuchukua miaka mingi sana...
Habari,
Naomba mtusaidie kuizungumzia kero yetu hii ya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi hususani Idara ya Elimu.
Na hii imekuwa kama kero sugu. Afisa Elimu amekuwa na kawaida ya kuwahamisha walimu vituo vya kazi na ukiomba ulipwe kwa kuwa amekuhamisha yeye atakuzungushwa muda mrefu mpaka mwisho...
Anonymous
Thread
habari
kazi
vituo
vituo vya kazi
wafanyakazi
wao
wilaya
Leo Mtoto wa Mfalme wa Dubai ametangaza kuwa, Wafanyikazi wote wa Serekali ya Dubai, watapata Bonus kutegemeana na Mafanikio yao kazini. Idadi ya Bunus hiyo ni AED 152,000,000/- sawa US$ 41,000,000/-. Asilimia (%) 75 ya Wafanyikazi wa Dubai sio wananchi wa Dubai bali ni wananchi wa nchi...
Kwa mfano kwa Uingereza wasemaji wa mambo yote ya club zao za soka ni Mameneja , hawa ndio wanaofanya mikutano yote na Waandishi wa Habari kuhusu timu zao , Masuala yote ya mechi ikiwemo Ufundi na mengine yote ya uwanjani na wachezaji .
Sasa hawa akina Ally Kamwe na wengine kama Masau Bwire...
Huku kwetu tunadanganywa sana eti mtu anakuwa padre, mchungaji au Pastor halafu hatoi sadaka kabisa ispokuwa waumini ndo wanaokamuliwa as if ndo Wana pesa.
Mapadre wanashinda Baa wanakunywa pombe lakini kutoa sadaka siyo jukumu lao Bali la waumini wanapwaita walaei. Uislamu ni dini ya haki na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.