DOKEZO Halmashauri ya Wilaya ya Bahi inazungusha kuwalipa watendaji wanaohamishwa vituo vya kazi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Habari,

Naomba mtusaidie kuizungumzia kero yetu hii ya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi hususani Idara ya Elimu.

Na hii imekuwa kama kero sugu. Afisa Elimu amekuwa na kawaida ya kuwahamisha walimu vituo vya kazi na ukiomba ulipwe kwa kuwa amekuhamisha yeye atakuzungushwa muda mrefu mpaka mwisho wa siku unakata tamaa
 
Back
Top Bottom