UAE yatoa Dirham milioni 152 kama bonasi kwa wafanyakazi wa serikali

Mkirindi

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
6,750
4,958
Leo Mtoto wa Mfalme wa Dubai ametangaza kuwa, Wafanyikazi wote wa Serekali ya Dubai, watapata Bonus kutegemeana na Mafanikio yao kazini. Idadi ya Bunus hiyo ni AED 152,000,000/- sawa US$ 41,000,000/-. Asilimia (%) 75 ya Wafanyikazi wa Dubai sio wananchi wa Dubai bali ni wananchi wa nchi nyenginezo.

========

"We have approved the distribution of Dh152 million in performance-based bonuses to exceptional employees, aligning with the Dubai Government's strategy to cultivate human talent, foster creativity and innovation and empower individuals to implement their innovative ideas," Sheikh Hamdan said.

He added that "such efforts contribute significantly to consolidating Dubai’s developmental journey and enhancing its position as the world’s best city to work and live in".

"We have approved the distribution of Dh152 million in performance-based bonuses to exceptional employees, aligning with the Dubai Government’s strategy to cultivate human talent, foster creativity and innovation and empower individuals to implement their innovative ideas," Sheikh Hamdan said.

“We take immense pride in the exceptional performance of Dubai Government employees, and we commend the dedication of our workforce in consistently striving for excellence to provide the best services to Dubai’s residents.

"We hope that this reward serves as an additional motivation for every member of the government workforce.

"Our appreciation for outstanding achievements knows no bounds, and those who leave a lasting impact in their work deserve the utmost recognition," Sheikh Hamdan added.

The allocation of bonuses reflects the Dubai Government's commitment to acknowledging exceptional human competencies, said the media office.

The National
 
Sawa kwa kuwa ndio hao Dp world na wana-share na ikulu yetu huku pia tutapewa wafanyakazi wote ili ngoma iwe droo kama dubai!
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Leo Mtoto wa Mfalme wa Dubai ametangaza kuwa, Wafanyikazi wote wa Serekali ya Dubai, watapata Bonus kutegemeana na Mafanikio yao kazini. Idadi ya Bunus hiyo ni AED 152,000,000/- sawa US$ 41,000,000/-. Asilimia (%) 75 ya Wafanyikazi wa Dubai sio wananchi wa Dubai bali ni wananchi wa nchi nyenginezo.

"We have approved the distribution of Dh152 million in performance-based bonuses to exceptional employees, aligning with the Dubai Government's strategy to cultivate human talent, foster creativity and innovation and empower individuals to implement their innovative ideas," Sheikh Hamdan said.

Kuna Ufisadi huko? Hao wafanyakazi Offisini wanaenda kudiscus Yanga na Simba kama walivyo hawa wetu? wana dharau? Hawapokei simu za raia wa Dubai?

kwa hawa wetu sishauri kitu kama hicho,
 
Kuna Ufisadi huko? Hao wafanyakazi Offisini wanaenda kudiscus Yanga na Simba kama walivyo hawa wetu? wana dharau? Hawapokei simu za raia wa Dubai?

kwa hawa wetu sishauri kitu kama hicho,
Hakuna Ufisadi, Hapa kila mtu lazima atimize wajibu wake la sivyo BYE BYE
 
Kuna Ufisadi huko? Hao wafanyakazi Offisini wanaenda kudiscus Yanga na Simba kama walivyo hawa wetu? wana dharau? Hawapokei simu za raia wa Dubai?

kwa hawa wetu sishauri kitu kama hicho,
Nilienda office moja nika kaa saa moja Maada muda wote ni simba na yanga

Tena kwa sauti
 
Huyo Mfalme ana nafasi yake Peponi tena siti ya kulia alipo Masikini Lazaro 🤗

Kuna Kampuni moja mwisho wa Mwaka kama hivi ilikuwa wana-double mshahara

Kama ulikuwa unapokea 1.5M basi utajikuta unavuta 3M
 
Back
Top Bottom